Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Matano ya kufahamu baada ya kadi za UDART kuanza kutumika

$
0
0
Abiria wa mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es salaam leo June 20 2016 wameanza kutumia kadi maalumu za kielektroniki badala ya tiketi. Mfumo huu ambao utamuwezesha abiria kuweka fedha katika kadi hio kwa kutumia mitandao ya simu na utasaidia kupunguza msongamao katika vituo vya ukataji tiketi. HAYA NI MAMBO MATANO YA KUFAHAMU  1.Unapokwenda kununua kadi utapewa […] The post Matano ya kufahamu baada ya kadi za UDART kuanza kutumika appeared first on MillardAyo.Com.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>