Hatimaye Serikali imeamua kununua korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma. Ni uamuzi uliotokana na kile kinachoonekana kama kususa kwa wanunuzi wa zao hilo ambao hawakuwa tayari kununua kwa bei ya zaidi ya Sh 3,000.
↧