Sababu za wanawake kuota ndevu, wanaume matiti zajadiliwa bungeni
MBUNGE wa Viti Maalum, Zainab Mndolwa ameitaka serikali kufanya utafiti kuhusu madai ya baadhi ya wanawake kuota ndevu na wanaume kuota maziwa kutokana na kula nyama na mayai ya kuku wa kisasa....
View ArticleSwali la kwanza la Mwijage baada ya kuvuliwa uwaziri
MBUNGE wa Muleba Kaskazini,Charles Mwijage kwa mara ya kwanza ameuliza swali bungeni baada ya kuvuliwa wadhifa wa uwaziri wa viwanda na biashara na Rais John Magufuli Novemba 10 mwaka huu. Anaripoti...
View ArticleFellaini bila nywele ageuka kituko
MANCHESTER, England KITENDO cha kiungo wa timu ya Manchester United, Marouane Fellaini, kunyoa nywele zake zilizokuwa kwenye mtindo wa ‘afro’, kimeonekana kuwa kituko kwa wanasoka wenzake na mashabiki...
View ArticleRooney aibuka na mpya kuhusu Man United
MANCHESTER, England WAYNE Rooney amefunguka kwamba kabla ya kuondoka England alitamani kustaafu soka akiwa na klabu ya Manchester United, lakini anaamini uamuzi alioufanya wa kuikacha ulikuwa ni...
View ArticleMFALME Reus wa Dortmund anatukumbusha Cantona wa Manchester United
DORTMUND, Ujerumani HISTORIA inaonesha kwamba timu iliyoweza kufanya makubwa ikiwa na vijana wadogo ilikuwa ni Manchester United ya msimu wa 1995/96, ambayo hata hivyo ilianza Ligi kwa kichapo cha...
View ArticleWatu 7 wanaotuhumiwa kwa ujambazi wauawa Mwanza
Watu saba wanaodaiwa kuwa majambazi wameuawa katika mapambano ya kujibizana kwa risasi na askari polisi katika tukio lililotokea alfajiri ya kuamkia leo eneo la Kishili jijini Mwanza.
View ArticleSerikali inahofia nini kupiga marufuku mifuko ya plastiki?
Kwa muda mrefu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) imekuwa ikiahidi kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki ili kuhamasisha mbadala wake.
View ArticleSerikali isiwasahau wanaowadai wakulima
Hatimaye Serikali imeamua kununua korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma. Ni uamuzi uliotokana na kile kinachoonekana kama kususa kwa wanunuzi wa zao hilo ambao hawakuwa tayari kununua kwa bei...
View ArticleHukumu ya Tido Mhando Desemba 18
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Desemba 18 itatoa hukumu ya kesi inayomkabili aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando.
View ArticleMwijage aanza kuwapigania wananchi wake bungeni
Mbunge wa Muleba Kaskazini (CCM), Charles Mwijage ameitaka Serikali kuharakisha inapeleka umeme katika jimbo lake ili wananchi wanufaike na miradi ya umeme vijijini (Rea).
View ArticleWakulima kahawa watupia lawama wasimamizi
Wakulima wa kahawa wilayani hapa mkoani Songwe wameeleza sababu za kushuka kwa bei ya zao hilo kutoka Sh4,000 mwaka jana hadi Sh2,800 kwa kilo mwaka huu, kuwa imetokana na kukosekana kwa ubora...
View ArticleChirwa apora mtu jezi Azam FC
STRAIKA mpya wa Azam FC, Obrey Chirwa ameanza mambo mapema Chamazi baada ya kumpora jezi mshambuliaji chipyukizi wa timu hiyo, Waziri Junior anayejiandaa kutolewa kwa mkopo klabuni hapo.
View ArticlePogba amkosesha raha Dybala
Asema anaamini ataungana tena na Pogba na kucheza katika timu moja inga wahajui ni lili na watakuana katika timu ipi ila alicho na matumaini ni kuwa watajacheza pamoja.
View ArticleLiuzio hesabu zake zipo CAF
STRAIKA wa Mtibwa Sugar, Juma Liuzio ‘Ndanda’ ambaye amekuwa akipishana na mechi za CAF, amesema bahati aliyokutana nayo msimu huu inamfanya ajipange ili afanye kweli katika mashindano ya Kombe la...
View ArticleNyota wa Southampton aikana England, Nigeria
Obafemi alizaliwa mjini Dublin, Ireland na kukulia jijini London, lakini wazazi wake wakiwa na asili ya Nigeira ambao walikwenda Ireland kwa ajili ya kutafuta maisha na mchezaji huyo alikuwa na fursa...
View ArticleWinga Yanga anukia Prisons
WINGA EMMANUEL Martin ambaye amegeuka ‘mtumishi hewa’ ndani ya Yanga kwa kutopewa nafasi na Kocha Mwinyi Zahera anajiandaa kuchomoka klabu hapo ili akatafute maisha Prisons Mbeya.
View ArticleTorres afichua kuhamia Japan
Torres alitamba kuwa ametwaa kila kitu katika maisha ya soka barani Ulaya ndiyo maana akakubali kuondoka Atletico Madrid na kujiunga na timu hiyo ya Ligi Kuu Japan.
View ArticleUchaguzi Mkuu Libya kufanyika mwakani
TRIPOLI, LIBYA MAKUNDI yanayopingana nchini hapa yamekutana kwa mara ya kwanza kwa muda wa zaidi ya miezi mitano mjini Sicily hapo jana huku Waziri Mkuu wa Italia, Giuseppe Conte akiwasilisha mpango wa...
View ArticleMay aungwa mkono na mawaziri kujitoa EU
LONDON, UINGEREZA WAZIRI Mkuu Theresa May ameungwa mkono na baraza lake la mawaziri kuhusiana na rasimu ya makubaliano kati ya Serikali yake na Umoja wa Ulaya (EU) juu ya masharti ya kujiondoa ndani ya...
View ArticleTASAF yapiga marufuku walengwa kuchukuliwa fedha
Na DERICK MILTON MFUKO wa Mandeleo ya Jamii (TASAF) umepiga marufuku utaratibu wa walengwawa mpango wa kunusuru kaya maskini kuchukuliwa fedha zao wanaposhindwa kuhudhuria kwenye uhawilishaji....
View Article