Carola Kinasha anajulikana kama mwanamuziki msomi
Carola Kinasha amekuwa akijihusisha na masuala ya muziki tangu mwaka wa 1988
View ArticleMbunge Temeke ajiuzulu CUF ajiunga CCM
FREDY AZZAH-DODOMA ALIYEKUWA Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya CUF, Abdallah Mtolea, ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho na kujiuzulu ubunge, huku Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Magdalena...
View ArticleMexico rules military fight against cartels is unlawful
Mexico's top court has struck down a law that formalized the decade-old domestic deployment of the military. The miliary are widely seen as the only trustful agency capable of fighting against powerful...
View ArticleCambodian war crimes court says Khmer Rouge committed genocide
A UN-backed war crimes court in Cambodia says the Khmer Rouge was guilty of genocide during its rule from 1975-1979. The court found two former top officials guilty of genocide and crimes against...
View ArticleWhy children with diarrhoea now spend less time in hospital
A study involving three health facilities in Mwanza region has found that the duration of hospital stay for children suffering from acute diarrhoea has significantly been reduced in the last five years...
View ArticleShould pregnant women avoid cats? Get answers from TZ scientists
Scientists at the Catholic University of Health and Allied Sciences (Cuhas) have found that a significant number of pregnant women in Mwanza Region are at risk of suffering from a condition caused by a...
View ArticleWachezaji Stand watimuliwa nyumba wanayoishi
NA SAM BAHARI, SHINYANGA IMEELEZWA kwamba klabu ya Stand United ‘Wapiga Debe’ ya mkoani Shinyanga inadaiwa Sh milioni 21.6 kama kodi ya pango katika nyumba wanazoishi wachezaji. Madai hayo...
View ArticleHoja za CAG zazuia likizo za watendaji mkoa Iringa
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi amezuia likizo za watendaji wakuu wa halmashauri tano za mkoa huo huku akiwapatia siku 30 kujibu hoja za ukaguzi zilizoibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
View ArticleHofu yatajwa kuchangia mawaziri kushindwa kuchukua uamuzi
Isaack Kamwele ameeleza hofu aliyonayo dhidi ya uwezekano wa kuvuliwa uwaziri wakati wowote ule, lakini yawezekana hiyo ndiyo hofu waliyonayo mawaziri wengi.
View ArticleMoshi watoa ‘vifurushi’ vya majeneza, mazishi
Kama ulidhani vifurushi vya muda wa maongezi na data vinatolewa na kampuni za simu za mkononi pekee, utakuwa unakosea; sasa kuna vifurushi vya majeneza.
View ArticleKamati ya Bajeti Zanzibar yazuru MCL
Dar es Salaam. Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar leo Alhamisi Novemba 15, 2018 imetembelea ofisi za Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) zilizopo Tabata relini jijini Dar...
View ArticleLewandowski hatajwi lakini noma!
Mshambuliaji huyo wiki iliyopita alifunga bao lake la 57 dakika ya 31 kabla ya kuongeza la 58 dakika ya 64 katika mchezo wake wa 100 wa michuano ya klabu barani Ulaya.
View ArticleHaji Mwinyi hana chake Yanga
BEKI wa Yanga, Haji Mwinyi ‘Ngwali’ aliyeng’ara kikosi hicho kabla ya kupoteza nafasi ya kudumu amekiri mambo yake magumu Jangwani lakini anachoshukuru ni jinsi anavyokiamini kiwango chake.
View ArticleAndrew Vincent ‘Dante’ ajitosa mazima Simba
NYOTA wa Simba, Emmanuel Okwi, Middie Kagere na John Bocco wanaijua vyema kazi ya beki ya kati ya Yanga hasa Andrew Vincent ‘Dante’, lakini sasa unaambiwa beki hiyo ameamua kujitosa mazima Msimbazi.
View ArticleMbao FC haitanii kuzibana Simba, Yanga SportPesa Cup
KLABU ya Mbao FC imesema kuwa itatumia vyema fursa ya kushiriki michuano ya Sports Pesa kuhakikisha inaonyesha ushindani mkali na kuweza kutwaa ubingwa wa ligi hiyo.
View ArticleSomalia Struggles to Treat PTSD from War, Poverty
Somalia's 30 years of chronic conflict have left an estimated 1 in 3 people affected by mental health issues, such as post-traumatic stress disorder (PTSD). However, there are only three licensed...
View ArticleEbola Outbreak in DRC Could Stretch Well into Next Year
The Ebola outbreak in the Democratic Republic of Congo, which has already killed hundreds of people, could continue for several months. That's the latest warning from a senior World Health Organization...
View ArticleMwanza children with acute diarrhoea now spend less time in hospitals:...
A study involving three health facilities in Mwanza region has found that the duration of hospital stay for children suffering from acute diarrhoea has significantly been reduced in the last five years...
View ArticleUsijidanganye, Mourinho hasajili mtu Januari
MANCHESTER, England HUENDA mashabiki wa Manchester United wanalisubiri kwa hamu dirisha la usajili la Januari wakiamini watawaona wachezaji wapya watakaotua kuipa nguvu timu yao inayokabiliwa na mwendo...
View ArticleWaziri wa Ulinzi Israel ajiuzulu
JERUSALEM, ISRAEL WAZIRI wa Ulinzi nchini hapa, Avigdor Lieberman amejiuzulu kufuatia uamuzi wa Baraza la Mawazri kukubali kusitishwa mapigano yaliyodumu kwa siku mbili katika ukanda wa Gaza dhidi ya...
View Article