MBUNGE wa Muleba Kaskazini,Charles Mwijage kwa mara ya kwanza ameuliza swali bungeni baada ya kuvuliwa wadhifa wa uwaziri wa viwanda na biashara na Rais John Magufuli Novemba 10 mwaka huu. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Leo tarehe 16 Novemba 2018 bungeni jijini Dodoma, Mwijage aliuliza swali kwa Wizara ya Nishati, akisema kuwa, kuna baadhi ya ...
↧