MBUNGE wa Viti Maalum, Zainab Mndolwa ameitaka serikali kufanya utafiti kuhusu madai ya baadhi ya wanawake kuota ndevu na wanaume kuota maziwa kutokana na kula nyama na mayai ya kuku wa kisasa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Mndolwa ametoa wito huo leo tarehe 16 Novemba 2018 bungeni jijini Dodoma, ambapo amedai kuwa, ufugaji wa kuku ...
↧