Wakulima wa kahawa wilayani hapa mkoani Songwe wameeleza sababu za kushuka kwa bei ya zao hilo kutoka Sh4,000 mwaka jana hadi Sh2,800 kwa kilo mwaka huu, kuwa imetokana na kukosekana kwa ubora unaosababishwa na mamlaka zinazosimamia kutotimiza wajibu wake.
↧