STRAIKA wa Mtibwa Sugar, Juma Liuzio ‘Ndanda’ ambaye amekuwa akipishana na mechi za CAF, amesema bahati aliyokutana nayo msimu huu inamfanya ajipange ili afanye kweli katika mashindano ya Kombe la Shirikisho akiwa na kikosi hicho.
↧