Siku chache baada ya Kocha wa Simba Patrick Aussems kupiga hesabu ya kusajili mchezaji atakayeziba pengo la beki Shomari Kapombe aliyeumia, nyota wa zamani Mohammed Mwameja na Zamoyoni Mogella wamempa mchongo mbelgiji huyo.
↧