Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live
↧

Nyalandu akomalia tume huru ya uchaguzi

Kada wa Chadema, Lazaro Nyalandu ameitaka Serikali kuifumua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kabla ya chaguzi kubwa zijazo.

View Article


Nay wa Mitego Katupa Jiwe Gizani....."Oyaa Nataka Kuona List Ya Wasanii Heavy...

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego ameamua kuvunja ukimya na kutoa ya moyoni kuhusu vuguvugu linaloendelea baina ya matamasha makubwa yanayotarajiwa kufanyika wikiendi hii nchini...

View Article


German thrill-seeker Dominik Loyen dies during BASE jump in Portugal

BASE jumper Dominik Loyen died after his parachute failed to open after his leap from a 100-meter cliff on the coast of Portugal. The German was a well-known daredevil and BASE jumping instructor.

View Article

Mkomola huyooo, anasepa Namungo

JUMAPILI iliyopita, Yanga ilienda Ruangwa Lindi kucheza mechi ya kirafiki na Namungo FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza na wakashindwa kutambiana kwa kutoka sare ya bao 1-1, lakini ndani yake kuna...

View Article

Kidao aanika ukweli wote Kisutu

KESI inayowakabili viongozi wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeanza kunoga baada ya Katibu Mkuu wa sasa wa Shirikidho hilo, Wilfred Kidao kutoa ushahidi akiieleza Mahakama ya Hakimu...

View Article


'It's a dream come true' - AFOTY 2018 nominee Thomas Partey

BBC Sport profiles Ghana and Atletico Madrid midfielder Thomas Partey, a nominee for the BBC African Footballer of the Year award 2018.

View Article

Kampuni zalalamikia zabuni ya Sh1.7 bilioni ya posta

Baadhi wa washiriki wa zabuni ya Sh1.7 bilioni ya magari matano ya Shirika la Posta Tanzania (TPC) wamedai kuwapo kwa harufu ya rushwa kwenye mchakato huo. Madai hayo yametolewa pia na watumishi wa...

View Article

Maswali matano sakata la korosho

Licha ya uamuzi wa Serikali kununua korosho kuonekana kuwanufaisha wakulima, uamuzi huo umeibua maswali kuhusu uhai wa mfumo mzima wa biashara ya korosho nchini, kwa mujibu wa uchunguzi wa Mwananchi.

View Article


Lingalangala asaini kugombea Yanga

KESHO Ijumaa wagombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Klabu ya Yanga wataanza kufanyiwa usaili huku ikielezwa fomu za wagombea hao baada ya kukosekana mhuri wa Yanga, zimesainiwa na Kaimu...

View Article


Yanga yanasa visu matata

YANGA ipo Shinyanga na jioni ya leo Alhamisi inavaana na Mwadui katika mechi ya kiporo cha Ligi Kuu Bara, huku ikiwakosa nyota wake, lakini kama kuna jambo linafanya na mabosi wao na huenda litawapa...

View Article

Mchezaji wa raga mpenzi wa jinsia moja Kenneth Macharia apewa hifadhi ya muda...

Mchezaji huyo wa timu ya Bristol Bisons Keneth Macharia alisema ikiwa ombi lake ya kuomba hifadhi litakataliwa na arudishwe Kenya anaweza kunyanyaswa

View Article

Solar-powered Suitcases Bring Light to Darkened Classrooms

Solar-powered suitcases are bringing light to darkened classrooms and struggling students in rural Kenya. Before solar power, the alternatives were small tin kerosene lamps that are not only expensive...

View Article

Usafiri chanzo Sethi, Rugemalira kutofikishwa mahakamani

Imeelezwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Novemba 22, 2018 kuwa kukosekana kwa usafiri ndio sababu ya washtakiwa Harbinder Seth na mfanyabiashara James...

View Article


Mwongozo malipo hospitali binafsi

Baada ya malalamiko kuhusu viwango vikubwa vya malipo ya matibabu kwa hospitali binafsi nchini, Serikali imesema itatoa mwongozo wa gharama za matibabu kwa hospitali hizo.

View Article

Chelsea yamuweka pabaya Drinkwater

Huwezi kutaja mafanikio ya Leicester City bila kutaja jina la mchezaji nyota wa kiungo Danny Drinkwater.

View Article


Mwameja, Mogella wamtaja mrithi wa Kapombe

Siku chache baada ya Kocha wa Simba Patrick Aussems kupiga hesabu ya kusajili mchezaji atakayeziba pengo la beki Shomari Kapombe aliyeumia, nyota wa zamani Mohammed Mwameja na Zamoyoni Mogella wamempa...

View Article

Siku 53 za moto Yanga

Yanga inapitia kipindi kigumu kwa sasa, lakini wiki saba zijazo zitakuwa moto zaidi kwa klabu hiyo kwa kuwa ndizo zitaamua kuipa neema au kilio katika msimu huu unaoendelea.

View Article


Kidao afunguka kesi ya vigogo TFF

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kidao Wilfred (41) ameileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa tangu awe Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF mwaka 2013, mpaka 2017, hajawahi kuona...

View Article

CPJ wataka uchunguzi mpya kutoweka mwanahabari Azory Gwanda nchini Tanzania

CPJ ni kamati maalumu ya kuwalinda wanahabari duniani, imeomba kuanzishwa uchunguzi mpya kuhusu kutekwa kwa mwandishi wa kujitegemea kwa Kampuni ya Mwananchi Communications (MCL) mkoani Pwani, Azory...

View Article

Francis Kifukwe: kuweni watulivu tamko zito laja

MJUMBE wa Baraza la Wadhamini la Yanga, Francis Kifukwe amewaomba wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kuwa watulivu na kufuata katiba inayowaongoza, huku akiwataka kuachana na matamko yanayotolewa na...

View Article
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>