Licha ya uamuzi wa Serikali kununua korosho kuonekana kuwanufaisha wakulima, uamuzi huo umeibua maswali kuhusu uhai wa mfumo mzima wa biashara ya korosho nchini, kwa mujibu wa uchunguzi wa Mwananchi.
↧