KESHO Ijumaa wagombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Klabu ya Yanga wataanza kufanyiwa usaili huku ikielezwa fomu za wagombea hao baada ya kukosekana mhuri wa Yanga, zimesainiwa na Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo.
↧