CPJ ni kamati maalumu ya kuwalinda wanahabari duniani, imeomba kuanzishwa uchunguzi mpya kuhusu kutekwa kwa mwandishi wa kujitegemea kwa Kampuni ya Mwananchi Communications (MCL) mkoani Pwani, Azory Gwanda
↧