Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kidao Wilfred (41) ameileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa tangu awe Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF mwaka 2013, mpaka 2017, hajawahi kuona maombi kuhusu taasisi hiyo kukopeshwa fedha na mtu binafsi.
↧