TIMU ya soka ya wanawake ya Women Fighter imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar kwa wanawake kwa ushindi wa mabao 13-0 dhidi ya timu ya Bungi, katika mchezo wa kumalizia ligi hiyo uliochezwa uwanja wa Amaan.
↧