Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live

WAIGIZAJI WA FILAMU ZA KIHINDI WALIOTIKISA ENZI HIZO

NA HENRY PAUL, PAMOJA na kwamba uigizaji wa filamu za Kihindi unaendelea hadi hivi sasa, lakini kamwe ubora na umahiri wake wa waigizaji hauwezi kufikia wa enzi hizo wa miaka ya 1960 hadi 1990....

View Article


BEN POL ALIVYOWAROGA WAREMBO DAR KWA MKWANJA

NA KYALAA SEHEYE, STAA wa Bongo Fleva, Benard Paul ‘Ben Pol’, ameonyesha jeuri ya fedha baada ya kununua kopi ya filamu ya Single Ziro kwa Sh 150,000 wakati wa uzinduzi uliofanyika mwishoni mwa wiki...

View Article


AJALI YA TRENI YAMPIGA ‘STOP’ BABA LEVO

NA ZAITUNI KIBWANA, MSANII wa Kigoma All stars, Clayton Revacatus ‘Baba Levo’, amesimamisha uzinduzi wa wimbo mpya wa Noma kutokana na ajali ya treni ya abiria ya Deluxe iliyokuwa safarini kutoka...

View Article

LINAH AMPIGA KIKUMBO WEMA ‘BIRTHDAY’ YA IDRIS

HABARI ZOTE NA ZAITUNI KIBWANA, NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’, ni kama amempiga kikumbo mlimbwende wa Tanzania, Wema Sepetu, baada ya kuongozwa kutajwa kwenye siku ya kuzaliwa...

View Article

‘Msamvu Airport’ kituo bora cha mabasi Afrika Mashariki

‘Mji kasoro bahari’ ndivyo wanavyouita wenyeji na wageni waingiapo ndani ya mkoa huu wenye vivutio vingi ikiwamo mbuga za wanyama Mikumi na Selous.

View Article


Lipuli, Singida Utd bado kidogo

KLABU zilizowahi kutamba kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Bara, Lipuli Iringa na Singida United zimeanza kunukia tena kwenye ligi hiyo baada ya mechi zao za mwishoni mwa wiki katika Ligi Daraja la...

View Article

Kamanda wa Jammeh akamatwa Senegal

Vikosi vya nchi za Afrika Magharibi vimemkamata kamanda mmoja wa cheo cha juu nchini Gambia, na kupata silaha kweye makao ya kibinafsi ya Yahya Jammeh.

View Article

VIDEO: Tazama Wabunge Anne Kilango Malecela na wengine walivyoapishwa Bungeni...

January 31 2017 Wabunge wanne wakiwemo watatu walioteuliwa na Rais Magufuli na mmoja wa jimbo la Dimani Znz walikula viapo vya uaminifu mbele ya bunge ambapo Wabunge wenyewe ni Abdallah Bulembo, Anne...

View Article


Ziara ya Kikazi ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Hamad Masauni...

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kushoto), akiongozwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando wakati...

View Article


Former Polish President Walesa did help secret police, experts say

A new report based on handwriting analysis has suggested that Walesa worked for Poland's secret police in the 1970s. The former president and hero of the bloodless revolution has denied the allegations.

View Article

Love tequila? Then raise your glass to bats

The next time you decide to purchase a bottle of tequila reflect on this phenomenon: cocktails would be a lot less interesting without the contributions of tequila bats.

View Article

Matokeo kidato cha nne, Shule za serikali hoi

MATOKEO ya mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana (2016) yametolewa leo ambapo shule za serikali zimeendelea kufanya vibaya huku zile za binafsi zikipeta, anaandika mwandishi wetu. Katika...

View Article

KOCHA CONGO APEWA UHAKIKA WA KIBARUA

LIBREVILLE, GABON RAIS wa Shirikisho la Soka wa DR Congo (Fecofa), Constant Omari,  amesema licha ya timu yao hiyo ya taifa kutolewa katika hatua ya robo fanali ya Afcon 2017, bado wameridhishwa na...

View Article


THE ROCK MCHEZA MIELEKA ALIYEPANIA KUGOMBEA URAIS MAREKANI

NA ALEX VULIVER, TSJ KWA wale wapenzi wa filamu za mapigano za kizungu na mchezo wa mieleka, ni wazi watakuwa wakimfahamu vizuri. Anajulikana kama The Rock ila kwa majina yake halisi anaitwa Dwayne...

View Article

Woman Fighter mabingwa Ligi Kuu Zanzibar

TIMU ya soka ya wanawake ya Women Fighter imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar kwa wanawake kwa ushindi wa mabao 13-0 dhidi ya timu ya Bungi, katika mchezo wa kumalizia ligi hiyo uliochezwa uwanja...

View Article


Skipa azipongeza timu za Bunge

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amezipongeza timu mbalimbali za michezo ya Bunge kwa kushiriki na kukiwakilisha vyema chombo hicho na nchi kwa ujumla katika mashindano ya michezo ya wabunge wa Jumuiya ya...

View Article

Mteule wa Trump katika nafasi ya Mwanasheria Mkuu kupitishwa leo

Mteule wa rais wa Marekani, Donald Trump katika nafasi ya mwanasheria mkuu, Seneta Jeff Sessions anatarajiwa kupitishwa Jumanne na Kamati ya Sheria ya baraza la Seneti.

View Article


VideoFUPI: Umeiona hii ya Pogba na Lingard wakicheza ngoma ya Wizkid ft Drake

Muziki wa Afrika inaonekana unazidi kufanya vizuri nje ya mipaka ya Afrika, leo January 31 staa ghali zaidi duniani anayeichezea Man United Paul Pogba na mchezaji mwenzake wa Man United Jesse Lingard,...

View Article

Oscar Pistorius prosecutor Gerrie Nel joins Afriforum

South Africa's "pitbull" shocks many by quitting prosecutor's role and joining Afrikaner lobby group.

View Article

UN: Millions of Children Caught in Conflict Risk Death From Malnutrition

The U.N. Children’s Fund is warning millions of children caught in conflict and other crises are at risk of dying from severe acute malnutrition if they do not receive life-saving therapeutic...

View Article
Browsing all 132783 articles
Browse latest View live