Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Rapper Darasa mbele ya waandishi wa habari June 30, 2016….

$
0
0
Ni June 30, 2016 ambapo rapper kutoka Bongoflevani, Darasa anayetamba na wimbo uitwao Heya Haye alikutana na waandishi wa habari kwaajili ya kuzinduzi single yake mpya iitwayo Too Much. Wimbo huo mpya umeandaliwa kwenye kipindi cha miezi sita iliyopita kupitia studio ya Mr. T Touch na kwenye upande wa video mikono ya director Hanscana imehusika. […] The post Rapper Darasa mbele ya waandishi wa habari June 30, 2016…. appeared first on MillardAyo.Com.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>