ROMAN Abramovich huwa hataki masikhara na pesa zake. Muda wowote anaamua anachoamua bila ya kusita. Na sasa inadaiwa kwamba kimya kimya ameelekeza nguvu zake katika kumchukua kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino msimu ujao.
↧