Ali Kiba alia na mwamuzi #CoastalVsYanga
Star wa BongoFleva na mshambuliaji wa Coastal Union Ali Kiba amesema waamuzi waliochezesha #CoastalVsYanga timu yao ilionewa na waamuzi. “Uonevu ulikuwa LIVE yani”-Ali Kiba. Kocha wa Yanga ZAHERA...
View ArticleKiongozi wa upinzani DRC, Martin Fayulu akataa mwito wa maridhiano wa Tshisekedi
Kiongozi wa upinzani nchini DRC, Martin Fayulu amekataa juhudi za Rais mpya, Felix Tshisekedi za kutaka maridhiano, baada ya uchaguzi mkuu wa kwanza wa kidemokrasia kumalizika.Mwito huo wamaridhiano...
View ArticleMchezaji ghali Afrika anakipiga Ligi Kuu China
KWA muda mrefu sasa mastaa wa Afrika wamekuwa na soko kubwa barani Ulaya huku wakinunuliwa kwa bei mbaya na klabu mbalimbali zinazohitaji huduma zao.
View ArticleIrene Uwoya Amwaga Ajira Kwa Vijana 30
Mwigizaji kiwango wa Bongo Movie, Irene Uwoya, ametoa ajira kwa vijana 30 wa Jiji la Dar es Salaam watakaohudumu katika baa yake mpya New Last Minute Pub itakayozinduliwa Februari 8, mwaka huu jijini...
View ArticleMAJANGA! : Mastaa twanga wanusirika kifo
TASNIA ya burudani imepata janga lingine. Ikiwa zimepita siku sita tu baada ya ajali ya gari iliyochukua uhai wa wanamuziki wawili wa bendi ya Mapacha Watatu na wengine kujeruhiwa, jana alfajiri...
View ArticleGOZI LA NG'OMBE: Abramovich anatafuta gunia la Maurizio Sarri
Kwenye kabati lake kuna mwonekano tofauti na kabati za makocha wengi nchini England. Kwenye maeneo ya viwanja vya mazoezi vya klabu yake kuna mabadiliko makubwa wa ajili yake. Hata huduma zake zipo...
View ArticleMakipa wanaovuna pesa nyingi Ulaya
Moja maeneo magumu kucheza katika soka ni nafasi ya kipa ambayo muda wowote unaweza kubebeshwa zigo la lawama endapo timu yako inaweza kukutana nayo.
View ArticleSportPesa Super Cup bado ngumu kwa klabu za Tanzania
Kwa mwaka wa tatu mfululizo, klabu za Tanzania zimechemka kwenye mashindano ya SportPesa Super Cup tangu kuanzishwa kwake.
View ArticleAbramovich sasa amtaka Pochettino Stamford Bridge
ROMAN Abramovich huwa hataki masikhara na pesa zake. Muda wowote anaamua anachoamua bila ya kusita. Na sasa inadaiwa kwamba kimya kimya ameelekeza nguvu zake katika kumchukua kocha wa Tottenham,...
View ArticleMabeki waliotupia nyavuni mwao TPL
KAMA hujui tu, kabla ya mechi ya jana ya Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na wenyeji wao, Coastal Union, jumla ya mabao 399 yalishatinga nyavuni katika michezo 221 za ligi hiyo.
View ArticleKesi ya aliyekuwa mhasibu Takukuru kuendelea kesho
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho Jumanne Februari 5, 2019 itaendelea kusikiliza kesi ya utakatishaji fedha na kumiliki mali zilizozidi kipato chake, inayomkabili aliyekuwa mhasibu mkuu wa...
View ArticleEU nations recognize Venezuela's Juan Guaido as acting president
International pressure on Venezuela's President Nicolas Maduro to call early elections is increasing, as the list of EU countries recognizing opposition leader Juan Guaido as interim president gets...
View ArticleHow African entrepreneurs can beat negative stereotypes
Investor Trésor Chovu on how African business can overcome the negative perceptions of some outsiders.
View ArticleAttacks Hit Two Somali Cities
A gunman has shot dead the manager of a Dubai-owned port in Somalia's semi-autonomous region of Puntland. Mohamad Dahir, a local security official, told the French news agency (AFP), "An armed man shot...
View ArticleHivi Sarri anawafahamu vizuri wachezaji wa Chelsea?
ADAM MKWEPU-DAR ES SALAAM TIMU ya Chelsea ilianza msimu huu wa Ligi Kuu England kwa ushindi mfululizo na kufanya wasifungwe hadi ilipofika Novemba mwaka jana. Ushindi huo ulifanya kuwapo kwa...
View ArticleTaarifa Kwa Umma Kuhusu Siku Ya Wanawake Duniani 2019
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto) inapenda kuwajulisha wadau wa maendeleo ya jinsia na wanawake pamoja na Watanzania...
View ArticleReli Ya Zamani Yaanza Kukarabatiwa.....Treni Sasa Kukimbia Km 70 Kwa Saa
Reli Ya zamani imeaanza kukarabatiwa ambapo hadi sasa ukarabati umefikia asilimia 10. Baada ya zoezi hilo,Treni Sasa itaweza kubeba mizigo mingi zaidi na kukimbia Km 70 kwa Saa badala kim35 za...
View ArticleJuve hawakomi kwa Paul Pogba
JUVENTUS bado haitaki kabisa kusikia habari za kwamba wataachana na mpango wa kumfukuzia kiungo wa Manchester United, Paul Pogba.
View ArticleEmery afichua usajili Arsenal
KOCHA, Unai Emery amesema Arsenal ilipanga kusajili wachezaji watatu kwenye dirisha la Januari, lakini kwa bahati mbaya wanampata mchezaji mmoja tu, Denis Suarez.
View ArticleOle apewa mikoba yote Man United
MANCHESTER United imeelezwa kwamba itamwaamini kocha Ole Gunnar Solskjaer na kuamua nani wa kusajiliwa kwenye kikosi hicho hata kama hatapewa kibarua cha kudumu huko Old Trafford.
View Article