Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Irene Uwoya Amwaga Ajira Kwa Vijana 30

$
0
0
Mwigizaji kiwango wa Bongo Movie, Irene Uwoya, ametoa ajira kwa vijana 30 wa Jiji la Dar es Salaam watakaohudumu katika baa yake mpya New Last Minute Pub itakayozinduliwa Februari 8, mwaka huu jijini Dar es Salaam.  Akizungumza baada ya usaili uliofanyika jana, Sinza Mori chini ya majaji, Johari na Miriam Ismail ‘Mama Kubwa’, Uwoya alisema mamia ya vijana wamejitokeza kuwania nafasi hizo za kazi na 30 wamebahatika katika nafasi za wahudumu, mhasibu na meneja. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>