KOCHA, Unai Emery amesema Arsenal ilipanga kusajili wachezaji watatu kwenye dirisha la Januari, lakini kwa bahati mbaya wanampata mchezaji mmoja tu, Denis Suarez.
↧