Polisi waeleza mtuhumiwa alivyombaka binti wa miaka sita
Polisi mkoani Tabora wanamshikilia mkazi wa kitongoji cha Utemini kata ya Ushokola wilayani Kaliua, Amos Zakaria kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka sita.
View ArticleKamati yabaini kasoro watumishi ATCL
Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kusimamia ipasavyo nidhamu ya watumishi wake kwa sababu kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wateja kuhusu ukosefu wa nidhamu...
View Article‘Bosi feki’ wa Necta kupanda kizimbani wiki hii
Ofisa feki wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) aliyekamatwa Januari 24, 2019 akiendesha ukaguzi katika Shule ya Sekondari Nuru atapandishwa kizimbani siku yoyote wiki hii.
View Article28 wakiwamo wafanyabiashara mbaroni kwa tuhuma za mauaji Njombe
Baadhi ya wafanyabiashara wa miji ya Njombe na Makambako mkoani Njombe ni miongoni mwa watu 28 wanaoshikiliwa na polisi wakituhusishwa na na mwendelezo wa matukio ya utekaji na mauaji ya watoto...
View ArticleClub Africain coach Chiheb Ellili quits after record loss
Club Africain coach Chiheb Ellili quits after record 8-0 loss to TP Mazembe in the African Champions League.
View ArticleFamed Finnish ski-jumper Matti Nykanen dies
The famed Finnish ski-jumper Matti Nykanen, who was dubbed the Flying Finn for his exploits, has died at the age of 55. While he was famous in his sport, in his private life he battled alcohol and...
View ArticleSugu aeleza aibu ya Uwanja wa Ndege Mbeya
KIPINDI ambacho Uwanja wa Ndege wa Songwe, Mbeya unapogubikwa na ukungu, rubani hupata tabu kutua na wakati mwingine hulazimika hurudisha ndege Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
View ArticleYara touts deal on soil research
Yara Tanzania, a Norwegian multi-national company that markets mineral fertilisers, farming tools and other inputs, said yesterday that its recently signed agreement on soil research and use of...
View ArticleDubai tycoon buys majority shares in TZ microfinance
Dubai-based billionaire Ricardo Badoer has made a major foray into Tanzania’s microfinance sector to unleash its untapped potential.
View ArticleSkendo ya Giggs kumsaliti mke wa kaka yake yaitesa familia
Kaka yake Ryan Giggs bwana Rodri Giggs amesema kama mdogo wake (Ryan) atamtafuta hana tatizo na hilo. Kwa kipindi kirefu familia ya Giggs imekosa ushirikiano mara baada ya skendo ile. Hii ni mara baada...
View ArticleVipigo vya Simba kimataifa Shaffih Dauda awajia juu Ma-Pro
Asilimia kubwa ya wachezani wa kigeni wanaokuja kucheza Tanzania viwango vyao vinafanana na wachezaji wetu wazalendo ndio maana sio jambo la kushangaza kuwaona baadhi yao hawapati nafasi kwenye timu...
View ArticleWaganga tiba asili Bariadi wapewa siku 16 kuwa na vitambulisho vya JPM
Derick Milton, Simiyu Waganga wa tiba asili waliopo wilayani humo, wamepewa siku 16 kuhakikisha kila mmoja anakuwa na kitambulisho cha wajasiriamali kilichotolewa na Rais John Magufuli. Agizo hilo...
View ArticleWapinzani Kulipeleka Sakata la Sh. 1.5 trilioni Kwa Wananchi
Wabunge wa kambi ya upinzani wamesema watalihamishia sakata la utata wa Sh.1.5 Trilioni majimboni kwao baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuhitimisha kuwa fedha hizo hazikuibiwa au...
View ArticleWafanyabiashara wa Dawa za kulevya Wabuni Mbinu Mpya za Kusafisha....Tazama...
Na Dixon Busagaga,Moshi Wafanyabiashara wa Dawa za kulevya aina ya Mirungi wamebuni mbinu mpya za kusafirisha Dawa hizo kwa kutumia magari ya Kifahari yakiwemo Toyota Land Cruser ,Toyota...
View ArticleWauguzi wagoma wakidai marupurupu yao Kenya
Wagonjwa nchini Kenya wameanza kujawa na hofu baada ya wauguzi kuapa kuendelea na mpango wao wa kutekeleza mgomo kuanzia leo Jumatatu.
View ArticleNdugai aitaka Serikali kutoa kauli mauaji ya watoto Njombe
Spika wa Bunge, Job Ndugai ameiagiza Serikali kutoa kauli kuhusu mauaji ya watoto yanayoendelea mkoani Njombe kabla ya kuahirishwa kwa mkutano wa Bunge Ijumaa Februari 8, 2019.
View ArticleKanuni bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji(kuku Asili)....Soma Hapa Uwe Tajiri
Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo...
View ArticleDr Mbalu: Bingwa Wa Tiba Asili Hutibu Matatizo Yafuatayo
NKURURU:-ni dawa inayotibu miguu kuwaka moto, kiuno tumbo kupooza kupoteza fahamu MALABALA; hutibu kisukari , uti wa mgogo, Change, pumu, busha, kaswende, kifua kikuu, muwasho sehemu ya siri NKURUNGU,:...
View ArticleWema Sepetu: Sijakatwa Utumbo, Nimekonda Kisa Stress
Msanii kiwango Bongo Muvi, Wema Sepetu ameibua jipya kuhusiana na ishu yake ya kupungua uzito ambapo amesema sababu hasa iliyomfanya awe hivyo ni msongo wa mawazo ‘stress’.Wema kwa mara ya kwanza...
View ArticleMolde yakubali kumwachia Solskjaer Man United
MANCHESTER, ENGLAND KLABU ya Molde ya Ligi Kuu Norway imemtaka kocha wa muda wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, abaki England kuendelea kuifundisha timu hiyo, baada ya mafanikio aliyoyapata...
View Article