KIPINDI ambacho Uwanja wa Ndege wa Songwe, Mbeya unapogubikwa na ukungu, rubani hupata tabu kutua na wakati mwingine hulazimika hurudisha ndege Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ndege hushindwa kutua kutokana na kutokuwepo kwa taa hizo ambazo ni utaratibu wa kawaida kuwepo kwenye viwanja vyote. Kukosekana kwake husababisha kuvuruga ratiba za abiria pale wanaposhindwa ...
↧