Baadhi ya wafanyabiashara wa miji ya Njombe na Makambako mkoani Njombe ni miongoni mwa watu 28 wanaoshikiliwa na polisi wakituhusishwa na na mwendelezo wa matukio ya utekaji na mauaji ya watoto yanayoendelea wilayani Njombe.
↧