Ofisa feki wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) aliyekamatwa Januari 24, 2019 akiendesha ukaguzi katika Shule ya Sekondari Nuru atapandishwa kizimbani siku yoyote wiki hii.
↧