Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho Jumanne Februari 5, 2019 itaendelea kusikiliza kesi ya utakatishaji fedha na kumiliki mali zilizozidi kipato chake, inayomkabili aliyekuwa mhasibu mkuu wa Takukuru, Godfrey Gugai.
↧