Kwenye kabati lake kuna mwonekano tofauti na kabati za makocha wengi nchini England. Kwenye maeneo ya viwanja vya mazoezi vya klabu yake kuna mabadiliko makubwa wa ajili yake. Hata huduma zake zipo tofauti ili kuhakikisha kuwa klabu inaendana na “addiction” au ulevi wake.
↧