Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783

RWANDA-FDLR: DRC-Rwanda: mgawanyiko ndani ya kundi la FDLR

$
0
0
0 Wajumbe wa kundi la waasi wa Kihutu wa Rwanda la FDLR wameamua kuondoka katika kundi hilo na kuunda vuguvugu jipya la kisiasa, linalojulikana kama CNRD. Waasi wa Kihutu wa Rwanda wa FDLR, kilomita 150 kaskazini mashariki mwa Goma, mwaka 2009. AFP/ Lionel Healing Standard

Viewing all articles
Browse latest Browse all 132783


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>