To pray or not to pray - at university
The idea of prayer rooms in publicly funded universities is an increasingly contentious issue in Germany - where state institutions are meant to be secular. In search of a solution, we hear both sides...
View ArticleWanafunzi waliochafua picha ya Rais na kuandika matusi wasimamishwa masomo...
Jeshi la Burundi limewasimamisha masomo Wanafunzi wa darasa la nane baada ya kuzichorachora vibaya picha za raisi wa Burundi Pierre Nkurunziza ambapo waliosimamishwa ni zaidi ya 300 ambapo pamoja na...
View ArticleAfrican top 10 ya Trace tv ina ngoma kali 2 kutoka Tanzania, June 2 2016.
Trace Urban imeendelea kuwa kituo kikubwa cha burudani ambayo imesambaa kwenye huduma ya kulipia iliopo ndani ya mataifa mengi barani Afrika ikiwa na watazamaji wengi kutokana na kupiga ngoma kali...
View ArticleMke wa Rais anusurika kubakwa
ABIDJAN, IVORY COAST MKE wa zamani wa Rais wa Ivory Coast, Simone Gbagbo juzi alikana mashtaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu wakati wa machafuko ya kisiasa ya mwaka 2010 na alisema kuwa alinusurika...
View ArticleRWANDA-FDLR: DRC-Rwanda: mgawanyiko ndani ya kundi la FDLR
0 Wajumbe wa kundi la waasi wa Kihutu wa Rwanda la FDLR wameamua kuondoka katika kundi hilo na kuunda vuguvugu jipya la kisiasa, linalojulikana kama CNRD. Waasi wa Kihutu wa Rwanda wa FDLR, kilomita...
View ArticleAngola leader's daughter made oil boss
Angolan President Jose Eduardo dos Santos names his billionaire daughter new boss of the state oil company, after sacking the entire board in April.
View ArticleVIDEO: Egypt's sunken cities
A new exhibition shows treasures from two cities which have been underwater for more than 1,000 years.
View ArticleRICH MAVOKO - IBAKI STORY (Official Video )
This song"IBAKI STORY"Has Been Produced By Tuddy Tomas & Lizer classic (WASAFI RECORDS) From Tanzania And Writen By Rich Mavoko 'The Video Was Shot In South Africa Directed by NIKI follow me...
View ArticleTB Joshua katoa msaada kwa Watanzania na kumkabidhi mama Magufuli
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli amemshukuru nabii TB Joshua wa Nigeria kwa msaada alioutoa kwa Tanzania baada ya kuongea nae na kumueleza maono yake. Mama Janeth amesema ‘Namshukuru kwa msaada huu...
View ArticleEXCLUSIVE: Jibu alilotoa Aunty Ezekiel kuhusu ndoa na Mose Iyobo
Mwigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na moja ya maswali ameulizwa ni kuhusu ndoa na Baba mtoto wake aitwae Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz,...
View ArticleDunia imepata msiba wa Bondia wa zamani wa Marekani Mohammad Ali
Bondia wa zamani ambaye alijiita ‘the greatest’ ambaye alikuwa ni miongoni mwa watu maarufu na wenye wapenzi wengi duniani, Mohammad Ali amefariki akiwa na umri wa mika 74. Bingwa huyo wa dunia wa...
View ArticleLightning injures dozens at German rock festival, as flooding sweeps Europe
A lightning strike has left over 40 people injured at a rock music festival in Germany. Deadly weather has swept across Europe, leaving over a dozen dead in Germany, Romania, Belgium and France.
View ArticleBoxing legend Muhammad Ali dies
Muhammad Ali has died at the age of 74. The boxing legend had been admitted to hospital in Phoenix, Arizona with respiratory problems last week.
View ArticleMUHAMMAD ALI AFARIKI DUNIA
Boxer mahiri wa zamani wa uzito wa juu ulimwenguni Muhammad Ali amefariki dunia huko katika hospitali ya Phoenix iliyopo jimbo la Arizona nchini Marekani. Muhammad Ali (74) maarufu kwa jina la ‘The...
View ArticleParis yakumbwa na Mafuriko
Mto Seine ulioko mjini i Paris Ufaransa umejaa na kufikia kima cha juu zaidi kuwahi kutokea kwa zaidi ya miaka 30 iliyopita
View ArticleMohammed Ali Afariki
Aliyekuwa bondia maarufu duniani Mohamed Ali amefariki leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 74 baada ya kuugua kwa muda mrefu
View ArticleMwanamume asimulia alivyonusurika mauti Tanga
Siku chache baada ya mauaji ya watu wanane mjini Tanga, kaskazini mwa Tanzania, maswali mengi bado hayana majibu sana kuhusu nani amehusika na shambulio hilo.
View ArticleMuhammad Ali afariki akiwa na miaka 74
Muhammad Ali, bingwa wa ndondi katika uzito wa juu zamani, amefariki Ijumaa usiku dunia akiwa na umri wa miaka 74. Ali alishika ubingwa wa dunia mara tatu katika maisha yake. Kifo chake kilithibitishwa...
View ArticleIMF releases $1.5 billion loan to Sri Lanka
The IMF has approved a three-year $1.5 billion (1.32 billion euro) loan to support Sri Lanka's economic reform agenda. Sri Lanka received $2.6 billion from the IMF to boost its financial reserves in 2009.
View ArticleMTAZAMO WAKO KWA YALIYOJIRI WIKI HII: DRC kuadhimisha miaka6 ya mauaji ya...
Mawakili wa upande wa utetezi wakisikiliza kesi ya mauaji ya Chebeya, Agosti 29 2014 mjini Kinshasa. AFP PHOTO / Junior D. Kannah Katika makala hii tumeangazia matukio kadhaa yaliyogonga vichwa vya...
View Article