Opposition Walks Out of Election Talks in DRC
Opposition parties walked out of talks on elections in the Democratic Republic of Congo Monday, saying their position on the order in which presidential and local elections should be held is...
View ArticleMuslims mark Eid al-Adha holiday
Muslims around the world have celebrated the Eid al-Adha holiday or the "festival of sacrifice." In Saudi Arabia, some 2 million people are wrapping up the final days of the annual hajj pilgrimage.
View ArticleKiongozi wa IS auawa kwa shambulizi za ndege za angani Syria
Pentagon imethibitisha kuwa kiongozi wa kundi la kigaidi lenye itikadi kali la dola la kiislam Abu Mohamed al-Adnani ameuawa katika shambulizi la anga huko kaskazini mwa Syria mwezi uliopita.
View ArticleRipoti yabaini viongozi Sudan Kusini wanafaidika na vita vinavyoendelea
Waziri wa habari Sudan Kusini amesema kuwa serikali haitajibu madai ya ripoti mpya inayodai kuwa viongozi wa nchi hiyo wananufaika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe vinayoendelea nchini humo.
View ArticleLooking at me?
Study in Botswana seems to show lions are put off killing livestock by simple ruse of placing false eyes around an animal's tail.
View ArticleObama to veto bill allowing 9/11 victims to sue Saudi Arabia
The White House has confirmed that US President Barack Obama is to veto the Justice Against Sponsors of Terrorism Act. The president's staff says the bill does not represent an effective response to...
View ArticleUS confirms key 'Islamic State' leader killed in Syria
The Pentagon has confirmed a top "Islamic State" leader was killed in an strike in Syria. IS said last month Abu Mohammed al-Adnani had been "martyred."
View ArticleHillary Clinton:Sina tatizo kubwa la kiafya
Msemaji wa mgombea kiti cha urais kutoka chama cha Democratic nchini Marekani Bi Hillary Clinton amesema kuwa hana matatizo yoyote ya kiafya zaidi ya uongojwa wa mapafu, na anaendelea na matibabu.
View ArticleGraffiti holidays
South Africa's tourism industry is using technology to expand the sector beyond traditional areas and appeal to modern independent travellers.
View ArticleMagazeti ya Tanzania September 13, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
September 13 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu...
View ArticleClinton, Trump to release medical records
Hillary Clinton's campaign has said it will disclose new medical records after the revelation she has pneumonia. Donald Trump is also expected to release his medical records in the coming days.
View ArticleUS nuclear-capable bombers fly in show of strength over ally South Korea
B-1 bombers escorted by US and South Korean jets have flown over the Osan Air Base in a show of strength aimed at North Korea. Meanwhile, the North has deployed troops to flood-stricken areas on its...
View ArticleUingereza yajishindia medali tatu za dhahabu Paralimkipi
Waingereza Sascha Kindred, Ellie Simmonds and Susie Rodgers wameshinda medali za dhahabu katika michuano ya kuogelea ikiwa ni siku ya tano ya michuano ya Rio Paralimpiki
View ArticleMaafisa watathmini athari za tetemeko Bukoba, Tanzania
Mazishi yanaendelea kufanyika na majeruhi wanaendelea kupata nafuu, wakati tathimini ikiendelea kufanyika pia juu ya athari kamili za tetemeko hilo siku ya Jumamosi.
View ArticleFahamu baadhi ya tamaduni zilizoanza kutoweka Tanzania
Maeneo ya mwambao wa pwani nchini Tanzania,kama vile Tanga, kwa muda mrefu yamekuwa yakisifika kwa kudumisha utamaduni wa kiswahili hasa katika mavazi, vyakula na mengineyo.Lakini katika miaka ya hivi...
View ArticleFamilia za wahanga wa shambulizi la Septemba 11 kuishitaki Saudi Arabia
Ikulu ya marekani imesema kuwa Rais Obama atapitisha muswada kwa bunge mbili za Marekani kuruhusu familia za wahanga waliokufa kwenye shambulizi la septemba 11 kuishtaki Saudi Arabia.
View ArticleKwa Picha: Tetemeko la ardhi Bukoba, Tanzania
Tetemeko la ardhi la nguvu ya 5.7 katika vipimo vya Richter lilitokea eneo la Bukoba, kaskazini magharibi mwa Tanzania Jumamosi na kusababisha maafa.
View ArticleSanamu mpya za Mugabe zazua ubishi Zimbabwe
Sanamu mbili mpya za kiongozi wa muda mrefu wa Zimbabwe Robert Mugabe zimezinduliwa mjini Harare.
View ArticleWabakwa kwa kula nyama ya ng'ombe India
Mwanamke mmoja nchini India amesema kuwa yeye pamoja na binamuye wa umri wa miaka 14 walibakwa na genge la watu baada ya kalaumiwa kuwa walikula nyama ya ng'ombe.
View ArticleBrazil's former speaker Cunha banned from politics for eight years over Swiss...
The lower house of Congress in Brazil has voted to strip former speaker Cunha of his seat and ban him from politics for eight years for lying about Swiss bank accounts. Cunha had engineered Roussef's...
View Article