JANJA yake imebainika. Inadaiwa kocha wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane anaitolea macho nafasi ya kuwa kocha mkuu wa Manchester United kama klabu hiyo itaamua kuachana na kocha wake wa sasa, Jose Mourinho.
↧
Zidane ainyatia nafasi ya Mourinho
↧
Sh530bn project to improve Arusha City’s water services
The government is planing to spend Sh530 billion to put up networks for clean water and sewage in Arusha City.
↧
↧
Waitara: Democracy isn’t cheap
Former Ukonga Member of Parliament Mwita Waitara yesterday unequivocally defended the ongoing wave of party hopping and the subsequent by-elections, saying democracy was always expensive, dismissing the suggestion by many that the repeat polls were just unnecessary losses of taxpayers’ money.
↧
Italy's populists dismissed Genoa bridge fears as 'fairytale' in 2013
One of Italy's governing parties claimed several years ago that an imminent bridge collapse was a "fairytale." Calls for the resignations in the wake of Genoa's disaster are being resisted by road operator Autostrade.
↧
Over Sh6tr spent on calls, messages in three months
Forty-one million telecommunication subscribers in Tanzania spent nearly Sh6.1 trillion on calling and text messaging during the second quarter of this year alone.
↧
↧
TBL Group urges govt to drop e-tax stamps
Less than three weeks before the country unveils electronic tax stamps (ETS), TBL Group has urged the government to reconsider the decision, saying it will have a negative impact on the beer industry.
↧
Loans App to avail Sh570m
Mobile money-lending App, Branch, plans to avail a total of Sh570 billion for issuing out as loans by the end of this year, it was revealed in Dar es Salaam yesterday.
↧
HILI LA UDHAMINI NI PIGO KUBWA KWA LIGI NA KLABU TANZANIA
MSIMU mpya wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, unatarajiwa kuanza Jumatano ijayo kwenye viwanja mbalimbali hapa nchini baada ya kufunguliwa kwa pazia la ligi hiyo kwa mchezo wa Ngao ya Hisani ambao utachezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba baina ya mabingwa wa Ligi Kuu, Simba na mabingwa wa Kombe la Shirikisho, Mtibwa Sugar.
Hata hivyo, ligi hiyo inaanza huku kukiwa na taarifa za kutokuwa na mdhamini mkuu hasa baada ya waliokuwa wadhamini wakuu wa ligi hiyo kwa miaka kadhaa, Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania kukaa kimya baada ya mkataba wake wa miaka mitatu kumalizika.
Kukosekana kwa mdhamini wa ligi hiyo, ni pigo kubwa kwa klabu zinazoshiriki na ligi yenyewe kwa ujumla hasa kutokana na ukweli kwamba kunarudisha nyuma jitihada kubwa za ushindani ambazo zilikuwa zikipatikana kutokana na uwezeshaji mkubwa uliokuwa ukifanywa na mdhamini mkuu.
BINGWA tunaona pigo hili litaziumiza timu zote za ligi kuu hasa katika kipindi hiki ambacho Shirikisho la Soka Tanzania, limeongeza idadi ya timu kutoka 16 hadi 20 hivyo gharama za usafiri na mambo mengine ambazo zilikuwa zikitolewa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo zitakuwa changamoto kubwa hasa kwa kuzingatia mahitaji ya timu katika maandalizi na jiografia ya usafiri.
Tukiwa kama wadau wa mchezo wa soka hapa nchini, tungependa kuona ligi yetu inaendelea kupata wadhamini zaidi na si kuondoka kwa wadhamini kama ambavyo inaonekana hivi sasa kwani tunaamini soka letu bado linahitaji kushikwa mikono na wadau wengi zaidi.
Kwa hali hiyo tunaitaka TFF na Bodi ya Ligi kubungua bongo zaidi ili kuhakikisha mdhamini mkuu mwingine mpya anapatikana na pia kuongeza wadhamini wenza wengine ili kufanikisha uendeshaji wa ligi ulio bora na kuifanya ligi kuwa na msisimko na ushindani.
Kwa kuamini kwamba udhamini ni chachu ya maendeleo endelevu kwenye soka, ni vyema TFF na Bodi ya Ligi wakaweka mambo wazi ili makampuni mengine yenye nia ya kutaka kudhamini ligi hiyo yakajitokeza mapema pengine hata baada ya msimu kuanza.
Ni imani yetu kwamba, makampuni yatajitokeza kuidhamini ligi hiyo, hivyo jambo la msingi ni TFF kujenga mazingira mazuri ya kuwezesha uwekezaji ikiwa ni pamoja na kuhakikisha uwepo wa udhibiti wa matumizi ya fedha zinazotolewa, kuziba mianya ya rushwa na ulaji fedha na zaidi kuepuka ubabaishaji kwenye uendeshaji wa ligi, kwani wadhamini wengi hawatapenda kujihusisha na ligi yenye migogoro, inayonuka rushwa na kila aina ya baya.
The post HILI LA UDHAMINI NI PIGO KUBWA KWA LIGI NA KLABU TANZANIA appeared first on Bingwa.
↧
SINGIDA UTD WAPATA MDHAMINI MPYA
NA WINFRIDA MTOI
KLABU ya Singida United imetangaza jezi mpya zitakazotumika katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao, ambazo zimetengenezwa na wadhamini wao wapya, Kampuni ya Sports Master ya jijini Dar es Salaam.
Jezi hizo ni tofauti na zile zilizotumika msimu uliopita, ambapo ya ugenini itakuwa na rangi ya njano na nyumbani itatumika bluu yenye mistari ya rangi nyeusi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana wakati wa uzinduzi wa jezi hiyo, Mkurugenzi wa Klabu ya Singida United, Festo Sanga, alisema wameingia mkataba wa mwaka mmoja na Kampuni ya Sports Master, itakayokuwa inawatengenezea na kuwauzia vifaa vya michezo.
Aidha, alisema katika mkataba huo, Singida watakuwa wanapata vifaa vyote vya michezo na vile ambavyo vitauzwa vyenye nembo yao watapata asilimia 60 ya mapato.
“Wadhamini wetu wa msimu uliopita bado tuko nao, lakini huyu wa sasa atakuwa anahusika na utengenezaji na usambazaji wa vifaa vya michezo kwa timu, mkataba wa sasa ni mwaka mmoja, ila utakuwa unaendelea kwa makubaliano,” alisema Sanga.
Kwa upande wake, Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Sports Master, Fadhili Msemwa, alisema wamekuwa wakijihusisha na utengenezaji na usambazaji wa vifaa vya michezo na moja ya klabu walizofanya nayo kazi ni Mbeya City.
The post SINGIDA UTD WAPATA MDHAMINI MPYA appeared first on Bingwa.
↧
↧
NIYONZIMA AMKATAA CLETUS CHAMA
NA MWANDISHI WETU
KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Haruna Niyonzima, amewaomba mashabiki wa timu hiyo nchini kutomlinganisha na Cletus Chama, ambaye ni kiungo mpya machachari wa timu hiyo mwenye udambwidambwi.
Chama alisajiliwa na Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara, akitokea Lusaka Dyanamos ya Zambia, akiwa ni pendekezo la Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Masoud Djuma.
Akizungumza na BINGWA jana, Niyonzima alisema anawaomba Watanzania, hasa wapenzi wa Simba, kuacha kumfananisha na Chama, kwani wao ni wachezaji wawili tofauti, japo wanacheza nafasi moja.
Alisema wote wawili wana uwezo mzuri, lakini yeye ni mchezaji ambaye anajiamini kuliko mchezaji mwingine na anapopata nafasi ya kucheza huwa hapendi masihara, hivyo ni suala la kujifua na mwalimu mwenyewe kujua ni mchezaji yupi anahitaji kumtumia kwa wakati huo.
“Msinifananishe na Chama, sisi sote ni wachezaji, mimi pia ni mchezaji mwenye vitu vyangu muhimu katika timu, siwezi kuhofia nafasi yangu, kwa sababu kucheza au kutocheza ni maamuzi ya kocha, ataona nani anafaa kwa wakati maalumu,” alisema.
Kiungo huyo Mnyarwanda aliongeza kuwa, yeye ni mchezaji wa Simba na hakuna timu ambayo inamhitaji, hata kama ipo ni lazima kufuata sheria za timu ambayo ina mmiliki.
Niyonzima aliongeza kuwa, tatizo kubwa na uongozi wake lilikuwa ni kuchelewa kwake kujiunga na timu, kama ambavyo walikuwa wamekubaliana na hakuna lingine zaidi ya hilo, lakini tayari wameshayazungumza.
The post NIYONZIMA AMKATAA CLETUS CHAMA appeared first on Bingwa.
↧
'Islamic State' youth fighters keep the faith in prison
Iraqi youngsters are doing time for their roles in the "Islamic State" terror group. Some will leave jail even more radicalized. As one of the first foreign journalists, Judit Neurink visited Irbil's juvenile prison.
↧
US media fight back against Trump attacks
US newspapers have launched a concerted campaign to counter President Donald Trump's attacks on the press dubbed #EnemyOfNone. Over 350 media outlets are carrying editorials stressing the importance of free journalism.
↧
Afghanistan: Gunmen attack spy training center in Kabul
An Afghan official has described an "ongoing" attack on the training center. Afghan security forces have joined the battle, according to authorities.
↧
↧
LUGOLA KUPAMBANA NA POLISI WALARUSHWA
Na Felix Mwagara – Mwibara
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema hatawaonea huruma polisi watakaokamatwa wakichukua rushwa na wale wanaonyanyasa wenye magari, bodaboda na wananchi.
Lugola ambaye ni mbunge wa Mwibara, alisema anapokea taarifa mbalimbali zikilalamikia tabia za baadhi ya polisi kuwaonea wananchi wasio na makosa kwa kutumia nguvu na kuwalazimisha kuwaweka mahabusu hata kama kosa halistahili kuwekwa ndani.
Akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Victoria, Mji mdogo wa Kisorya, Jimbo la Mwibara, Wilaya ya Bunda mkoani Mara, jana, Lugola alisema atahakikisha anapambana na askari ambao wamechoka kufanya kazi kwa mujibu wa sheria.
“Serikali ya awamu ya tano si ya mchezo mchezo, nawahakikishia wananchi wa hapa Kata ya Nansimo na pamoja na kote nchini, mimi Lugola sitamwangusha mheshimwa Rais Magufuli, sitawaangusha nyie wananchi, ninawaahidi hii tabia nawahakikishia kwa mara nyingine nitaimaliza,” alisema Lugola huku akishangiliwa.
Aliongeza kuwa magari na bodaboda ambazo hazina makosa, hazipaswi kubughudhiwa kwa sababu wamefuata taratibu zote za usalama barabarani.
“Kitendo cha askari akiwa na masilahi yake binafsi au ametumwa na mtu mwenye masilahi naye kwenda kukamata gari fulani au bodaboda kwa lengo la kujipatia rushwa tabia hiyo inapaswa kulaaniwa.
“Muda mwingine utakuta mwananchi mmoja ambaye ana masilahi na polisi anakamata gari au bodaboda yake na mmiliki wa chombo hicho cha moto huwekwa mahabusu na ukiuliza ‘nimefanya kosa gani’ wanakujibu ‘kaa ndani kwanza’, na ukiingia bure, lakini wanapokutoa unawapa rushwa, nalijua hilo vizuri sana, tabia hii haivumiliki, na nitahakikisha wananchi wa jimbo hili pamoja na Tanzania nzima mtakuwa salama,” alisema Lugola.
Alifafanua kuwa kuna baadhi ya polisi uwaweka mahabusu wananchi hovyo ili kuwatisha kwa lengo la kujipatia rushwa.
“Si kila kosa mwananchi awekwe mahabusu, yapo makosa ambayo polisi wanaweka mahabusu wananchi kwa mujibu wa sheria, lakini kitendo cha askari kumkamata mwendesha bodaboda akimlazimisha atoe rushwa au awekwe mahabusu hilo halitakubalika,” alisema.
Pia alisema wananchi wanapoonewa mara kwa mara kunatengeneza chuki dhidi ya Serikali, kwa sababu wanastahili kuishi katika mazingira ya amani na utulivu, hivyo tabia ya baadhi ya askari hao haiwezi kuvumilika.
“Hii tabia ya baadhi ya askari wanasema ‘injika ugali mke wangu mboga inakuja’ akielekea barabarani au mahali popote na kuanza kutafuta rushwa kwa nguvu zote kwa wenye magari, bodaboda au mazingira yoyote.
“Mimi Kangi Lugola naapa nitaisambaratisha haraka iwezekanavyo tabia hii, sitakuwa na huruma katika hilo na nitakuwa nafanya ziara ya kushtukiza ili niwakamate hao wenye tabia hiyo chafu katika nchi yetu,” alisema Lugola.
Hata hivyo, Lugola aliwataka polisi nchini kuwakamata waendesha magari na bodaboda ambao hawafuati sheria za barabarani.
Alitoa mfano baadhi ya waendesha bodaboda wanaovunja sheria kwa makusudi kwa kupakia abiria zaidi ya wane, jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa dereva na abiria wake.
“Polisi wangu wengi wanafanya kazi kwa umakini na uaminifu mkubwa, ila wachache sana ndio wenye tabia hizo mbaya, nawataka askari hao wafuate sheria na pia kuendelea kuzikamata kama ni magari au bodaboda au wananchi wowote ambao wanavunja sheria za nchi,” alisema Lugola.
↧
Baada ya ma-DC Jafo awageukia ma-DED
Siku moja baada ya kukemea tabia ya baadhi ya wakuu wa wilaya kutumia vibaya mamlaka waliyonayo na kuwaweka watu ndani, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amewageukia wakurugenzi watendaji wa halmashauri.
↧
Zidane amtia moto Mourinho Man. Utd
Kocha wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane ameanza kumtia presha kocha wa Manchesster United, Jose Mourinho akisema kuwa anataka kuinoa timu hiyo msimu ujao, taarifa kutoka Ufaransa zinasema.
↧
VIDEO: Waitara aeleza alivyokuwa ‘jembe’ Chadema
Aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amejisifu kuwa alikuwa ‘jembe’ ndani ya Chadema kwa kuwa ameshiriki kwenye chaguzi ndogo nyingi na harakati za chama hicho.
↧
↧
Vodacom yashusha presha klabu Ligi Kuu
Siku moja baada ya Bodi ya Ligi kutangaza Ligi Kuu Bara kuanza bila mdhamini na kutaka timu zijitegemee, waliokuwa wadhamini wa ligi hiyo, Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom imeshusha presha timu na kusema watulie kwanza.
↧
Hivi hapa vichwa vitano vilivyocheza na mastaa Ronaldo na Messi
KILA mtu anafahamu mjadala ambao ukianzishwa hauwezi kufika mwisho. Mjadala wa nani mkali baina ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.
↧
Pogba, Hazard lolote linaweza kutokea
KAMA unadhani dirisha la usajili limefungwa basi utakuwa unajidanganya.
↧