Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live

Wanafunzi wajengewe mbinu kukabiliana na unyanyasaji kijinsia

$
0
0
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Femina Hip, Dk Minou Fuglesang amesema ni muhimu kwa wanafunzi kuendelea kujengewa uwezo wa kukabiliana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vinavyoendelea kutokea nchini.

Starlets kuingia kambini leo, Mastaa wa ligi kuu ya Wanawake

$
0
0
Kenya inashiriki michuano hii kwa mara ya pili mtawalia, wakipata nafasi baada ya Equitorial Guinea kufungiwa, imepangwa katika Kundi B, Nigeria, Afrika Kusini na Zambia. Kenya ina kibarua kizito cha kukabiliana na Nigeria, ambalo ni taifa lenye mafanikio makubwa zaidi katika michuano hii, baada ya kuibeba mara 10 tangu mwaka 1991.

Mwendwa: Nitagombea tena muda wangu ukiisha

$
0
0
Mkutano huo ulikuwa ni wa tatu kufanyika chini ya uongozi wa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (FKF), Nick Mwendwa. Kwa mujibu wa kauli yake wakati wa kufunga mkutano huo, alisema katika mkutano mkuu ujao utakuwa ni rasmi kwa uchaguzi.

VIDEO: Mwakinyo amchapa Sinkala kwa TKO

$
0
0
Bondia Hassan Mwakinyo ameendelea kutamba kwenye mapambano ya nyumbani baada ya jana usiku kumchapa Joseph Sinkala kwa Technical Knock Out {TKO) raundi ya pili.

Kelvin John: Sifikirii kabisa nitafeli Denmark

$
0
0
MWENDO na uwezo wa Kelvin John wa kuulinda mpira vilimfanya afananishwe na Kylian Mbappé wa Paris Saint-Germain ambaye alijipatia umaarufu kwenye medani ya soka akiwa na umri mdogo.

'Woman blows herself up' in Tunis

$
0
0
An explosion rocks the centre of the Tunisian capital, Tunis - reports say a woman has blown herself up.

African Champions League: 60,000 fans to see Al Ahly in final

$
0
0
Egypt's Al Ahly confirm that 60,000 fans will be allowed into watch the first leg of the African Champions League against Tunisia's Esperance

Andrew Harding: Why Cape Town's trains are on fire

$
0
0
Residents say travel is a "nightmare" as half the city's trains have been set alight, causing road traffic to double.

Idris Elba writes stage show about life after Nelson Mandela

$
0
0
The Luther star co-writes a show for the Manchester International Festival about life after Mandela.

Pastor's televised rape trial shocks South Africa

$
0
0
A televised rape trial in South Africa of a Nigerian televangelist prompts a furious backlash.

Video - Maadhimisho Siku ya Umoja wa Mataifa Duniani UN. Hoteli ya Serena Zanzibar.

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Msimu wa Mwaka 2018/2019 Kati ya Zimamoto na Mafunzo ,Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan. Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bila Kufungano 0-0.

$
0
0
Wapenzi na Vionfozi wa ZFA wakifuatilia Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar kati ya Zimamoto na Mafunzo mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya bila ya kufungana mchezo uliofanyika saa 8 mchana. Mchezaji wa Timu ya Zimamoto na Mafunzo wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila ya kufungana.0-0. 

Three Dead in Nigeria After Shiites and Army Clash

$
0
0
Three supporters of an imprisoned Shiite cleric were killed over the weekend in the Nigerian capital Abuja after clashes with the army, a military spokesman said. According to Nigeria's military, soldiers transporting weapons and ammunition were "attacked" by members of the Islamic Movement of Nigeria (IMN) at the Zuba Bridge on Saturday afternoon. The IMN members had established an "illegal roadblock denying motorists free passage" and when the military tried to clear the barrier they were met with "stiff opposition", James Myam said in a statement released on Sunday. Soldiers opened fire on the IMN members after they "pelted the troops with stones" and attempted to "cart away the ammunition and missiles the troops were escorting", the statement said. "Unfortunately, during the encounter three members of the sect were killed while two soldiers sustained various degrees of injuries," Myam said. But the IMN disputed the claim, calling the military account "false" and "unsubstantiated". Spokesman Ibrahim Musa said the army had attacked a peaceful mourning procession. "We categorically refute the storyline of the Nigerian army," he added. Pro-Iranian cleric Ibrahim Zakzaky has been in government custody since bloody clashes between his supporters and the army broke out in December 2015. Rights groups have accused Nigeria's military of killing more than 300 IMN supporters and burying them in mass graves during the 2015 confrontation, a charge the military strongly denies. Zakzaky has been at loggerheads with Nigeria's secular authorities for years because of his call for an Iranian-style Islamic revolution. Northern Nigeria is majority Sunni Muslim. His supporters have held a series of protests in Abuja over the past year to demand his release and have had a series of standoffs with police.

USAID partners with Jet to train environmental journalists

$
0
0
The United States Agency for International Development (USAID) in collaboration with the Journalists Environmental Association of Tanzania (Jet) has provided a capacity building training to journalists on how to report news relating to environmental conservation and wildlife protection through Promoting Tanzania's Environment, Conservation, and Tourism Project (PROTECT).

Dar women win Bajaj RE in SportPesa Promotion

$
0
0
Dar es Salaam. Hidaya Juma of Dar es Salaam becomes the second women to win Bajaj RE in the ongoing Sportpesa Tanzania luck draw promotion dubbed “Shida Zaidi na SportPesa”.

Tributes, mourning as Leicester's Thai boss killed in helicopter crash

$
0
0
Leicester, United Kingdom | AFP/. Leicester City's Thai billionaire boss was among five people killed when his helicopter crashed and burst into flames in the Premier League side's stadium car park moments after taking off from the pitch, the club said on Sunday.

Brazil’s Polarizing New President, Jair Bolsonaro, in His Own Words

$
0
0
Jair Bolsonaro’s climb to power has been marked by divisive rhetoric and offensive speech that has thrilled followers and appalled critics in equal measure. The far-right former army captain’s rise has left some baffled. Bolsonaro served seven consecutive terms in the Brazilian Congress, with little to show for his time there — very few of his bills were approved. But many Brazilians, angered by their country’s economic crisis, soaring violence and corruption scandals interpreted his long list of caustic remarks as blunt but bracingly honest talk from a man willing to say — and do — whatever was necessary to bring about the change they craved. — On Women, Race and Sexual Orientation Bolsonaro has described having a female child as a “weakness,” and has said he would not treat or pay women the same as men in the workplace. “Because women get more labor rights than men, meaning they get maternity leave, the employer prefers to hire men … I would not employ [women equally]. But there are a lot of competent women out there.” In 2014, he told a fellow lawmaker: “I would not rape you because you are not worthy of it.” In 2013, he said that he would “rather have a son who is an addict than a son who is gay,” and that he was “proud to be homophobic.” In June 2011, he said he would “rather his son die in a car accident than be gay,” adding: “If a gay couple came to live in my building, my property will lose value. If they walk around holding hands, kissing, it will lose value! No one says that out of fear of being pinned as homophobe.” In April 2017, Bolsonaro spoke about visiting traditional Afro-Brazilian communities. He described the weight of the residents using the word “arrobas,” an outdated unit used to weigh cattle and agricultural products. “The lightest Afro-descendant there weighed seven ‘arrobas’. They don’t do anything. They are not even good for procreation.” — Torture Bolsonaro advocates it: “I am in favor of torture — you know that. And the people are in favor of it, too.” In April 2016, when President Dilma Rousseff’s impeachment was put to a vote in Congress, Bolsonaro dedicated his vote to a colonel who ran a torture center during the country’s military dictatorship in which Rousseff was tortured in her youth: “In memory of Col. Carlos Alberto Brilhante Ustra, the terror of Dilma Rousseff … I vote YES.” — Democracy After criticizing Brazil’s government during a 1999 interview, Bolsonaro was asked whether he would shut down Congress if he were president. He said: “There is no doubt. I would perform a coup on the same day. [Congress] doesn’t work. And I am sure that at least 90 percent of the population would celebrate and applaud because it doesn’t work. The Congress today is useless … let’s do the coup already. Let’s go straight to the dictatorship.”

'Tropical Trump' Bolsonaro elected Brazil president

$
0
0
Former army captain Jair Bolsonaro was elected president of Brazil on Sunday, promising a fundamental change in direction for the giant Latin American country, the latest to take a turn to the far-right.

MASTAA WAPAMBA MIAKA 20 YA TWANGA PEPETA

$
0
0
NA CHRISTOPHER MSEKENA NYOTA kutoka sekta mbalimbali wamejitokeza kwa wingi kupamba onyesho maalumu la miaka 20 ya bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, iliyofanyika juzi katika eneo la Life Park, Mwenge, jijini Dar es Salaam juzi. Onyesho hilo lililoanza saa moja jioni kwa wanamuziki na madansa wa Twanga Pepeta kupanda jukwaani wakiwa wamevaa kininja, lilihudhuriwa na wageni wa heshima kama Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa, Godfrey Mngereza, Katibu Mkuu wa Chama cha Muziki wa Dansi, Hassan Msumari na Rais wa Shirikisho la Filamu, Simon Mwakifwamba. Mbali na viongozi hao, mastaa wa muziki na filamu kama vile JB, Ray Kigosi, Steve Nyerere, Dude, mama mzazi wa Diamond Platnumz na Nyosh el Sadaat, walijitokeza kushuhudia onyesho hilo lililoongozwa na rapa Msafiri Diouf, Charlz Baba, Kalala Jr, Luizer Mbutu, Super Nyamwela na wanenguaji wengine. Akizungumza kwa niaba ya wasanii na mashabiki, Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale, alisema kuna kipindi kinafika Mkurugenzi wa bendi hiyo, Asha Baraka, anakufa moyo hivyo anapaswa kuungwa mkono katika jitihada zake za kuurudisha muziki wa dansi. “Mama Asha Baraka aliwahi kumsimamia msanii wetu, Diamond Platnumz zamani, alikuwa na nia ya kumpa bendi wakati anaanza muziki, kwa hiyo aliposema Twanga inatimiza miaka 20 tukasema ngoja tukupigie kelele watu wasikie, tusipomsapoti sisi vijana wenye nafasi mjini wakati huu wengine hawataweza kumsapoti,” alisema Babu Tale. Naye mama Asha Baraka, aliwashukuru mashabiki waliojitokeza kwa wingi kuiunga mkono Twanga Pepeta katika onyesho hilo pamoja na vyombo vyote vya habari vilivyojitoa kulipaisha tukio hilo. The post MASTAA WAPAMBA MIAKA 20 YA TWANGA PEPETA appeared first on Bingwa.

Fei Toto, Ninja arudishwa Taifa kibabe

$
0
0
  Achana na mechi ya 'dabi' inayopigwa leo Jumatatu Uwanja wa Kambarage, Shinyanga, mzunguko wa 12 wa Ligi Kuu Bara utaendelea tena kesho Jumanne katika viwanja viwili.
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>