Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live

Suspected Islamic State Fighters Attack Central Libyan Town

$
0
0
At least four people were killed and seven kidnapped when suspected Islamic State fighters attacked a town in central Libya, a military official and lawmaker said. The raid on the desert oasis town of al-Foqha south of Jufra late on Sunday lasted several hours, during which the fighters set local government and security offices on fire, the military official, who asked not to be named, said. Ismail al-Sharif, a lawmaker in the eastern-based House of Representatives, said the attack had probably come as revenge because some town youths had helped catch a local Islamic State leader this month. The town lies in an area marked by poor security deep in the desert where Islamic State had withdrawn to after losing in December 2016 its stronghold Sirte, a city on the central coast. Forces allied to Khalifa Haftar, who controls much of eastern Libya had boosted its presence in the area, have moved into al-Foqha as part of efforts to push south.

Mexico to pursue new strategy in 'war on drugs'

$
0
0
Mexico's new president has declared war on the drug mafia – and is putting citizens at the heart of his approach. Drug use will also be regarded not so much as a security problem in future but more as a health issue.

Tunisia: Explosion in central Tunis, several police wounded

$
0
0
Tunisia's interior ministry said that a woman blew herself up in a central area of the Tunisian capital. Authorities warned people to stay clear as they assess the situation.

Kilichomuua Isack Gamba hiki hapa

$
0
0
KILICHOSABABISHA kifo cha aliyekuwa Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW), Isack Gamba, ni tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo lililotokana na presha ya damu. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Hayo yamesemwa na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) Regina Mziwanda wakati akisoma wasifu wa marehemu Gamba katika ibada ya kuuaga mwili wake ...

Residents call for construction of more maternity wards

$
0
0
Residents of Mbeya Region have asked the leadership of Mbeya Referral Hospital to construct more maternity wards to reduce congestion for both expectant mothers and patients.

MMACHINGA ALIINUSURU YANGA KUFUNGWA NA COFFEE 1998

$
0
0
NA HENRY PAUL UNAPOZUNGUMZIA wachezaji wa zamani waliopata mafanikio katika soka, kamwe huwezi kuacha kulitaja jina la mshambuliaji wa Yanga, Mohamed Hussein ‘Mmachinga’. Mmachinga aliyejiunga na Yanga katika  miaka ya 1990 akitokea Klabu ya Bandari ya Mtwara, ambaye alikuwa mshambuliaji mahiri wa kutegemewa kwa kupachika mabao muhimu katika timu hiyo na kupata mafanikio. Miongoni mwa mafanikio nyota huyo aliyofanya ni kuiwezesha timu hiyo kupata sare ya mabao 2-2 dhidi ya Coffee FC ya Ethiopia, mchezo uliochezwa Aprili 26, 1998  kwenye Uwanja wa Taifa, mjini Addis Ababa, Ethiopia. Mechi hiyo ambayo ilikuwa ni kali na ya kusisimua muda wote wa dakika 90, ilikuwa ni ya kwanza raundi ya pili, michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Matayarisho ya mchezo huo yalikuwa ni mazuri, kwani Yanga walifanya mazoezi ya kutosha takribani mwezi mmoja hivi chini ya kocha wao mkuu, Tito Mwaruvanda aliyekuwa akisaidiana na Fred Felix ‘Majeshi’. Mechi hiyo ilianza kwa kasi huku timu ya Coffee ikilishambulia lango la Yanga kwa mashambulizi makali kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo na mashabiki wa timu hiyo ambao walikuwa wamejazana uwanjani siku hiyo, wakiishangilia kwa nguvu timu yao. Baada ya Coffee kuishambulia Yanga kwa kipindi kirefu kidogo, dakika ya 15 walifanya shambulio moja la nguvu na kufanikiwa kupata bao la kuongoza. Baada ya timu hiyo ya Ethiopia kupata bao hilo, hawakuishia hapo, kwani waliendelea kulisakama lango la Yanga huku mabeki wakionekana kuwa na kazi moja ya kudhibiti mashambulizi hayo. Mashambulizi hayo yalizaa matunda kwani dakika ya 30, Coffee walifanya shambulizi jingine la nguvu langoni kwa Yanga na kufanikiwa kupata bao la pili ambalo lilipatikana baada ya washambuliaji wa timu hiyo kugongeana vizuri. Baada ya bao hilo, Yanga walizinduka  dakika ya 40 na kuanza kulishambulia lango la wapinzani wao. Katika mashambulizi hayo, winga wa kulia, Akida Makunda, alichukua mpira pembeni na kupiga krosi iliyomkuta Sekilojo Chambua aliyefunga bao la kwanza kwa kichwa. Mpaka dakika 45 zinamalizika timu zilikwenda mapumziko Coffee wakiwa mbele kwa mabao 2-1. Kipindi cha pili kilianza kwa Coffee kupunguza kasi tofauti na walivyoanza, hivyo kuwapa mwanya Yanga kufanya mashambulizi ya mfululizo. Mashambulizi ya Yanga yaliwanufaisha, kwani dakika ya 65 walifanya shambulizi zuri langoni kwa wapinzani wao na kufanikiwa kusawazisha. Bao hilo lilifungwa na Mmachinga  aliyefunga kwa kiki kali lililokwenda kutinga wavuni, huku kipa wa Coffee akijitahidi kudaka bila ya mafanikio. Baada ya Yanga kusawazisha bao hilo, mchezo ulibadilika kwa timu kushambuliana kwa zamu. Yanga: Joseph Katuba (marehemu), Mzee Abdallah, Kenneth Mkapa, Paul John, Abdallah Msheli, Banza Tshikala, Akida Makunda, Iddi Moshi ‘Mnyamwezi’, Sekilojo Chambua, Mohamed Hussein ‘Mmachinga’ na Edibily Lunyamila. The post MMACHINGA ALIINUSURU YANGA KUFUNGWA NA COFFEE 1998 appeared first on Bingwa.

JIDE, ZAHARA, KANYOMOZI WAKONGA NYOYO VOCALS NIGHT

$
0
0
NA CHRISTOPHER MSEKENA NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, ameongoza mashabiki wa muziki nchini katika tamasha la Vocals Night lililofanyika kwa mafanikio makubwa mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. Tamasha hilo la kila mwaka lenye lengo la kuwainua waimbiaji wa kike nchini, lilikuwa na ugeni mzito wa wanamuziki kama vile staa wa wimbo Loliwe, Zahara kutoka Afrika Kusini, Juliana Konyomozi wa Uganda waliokonga nyoyo za mashabiki wa muziki sambamba na wanamuziki wa nyumbani Damian Soul, Mwana Fa, AY waliojitokeza kumuunga mkono Lady Jay Dee. Akizungumza na Papaso la Burudani, Lady Jay Dee, alitoa shukrani kwa mashabiki waliojitokeza kwa wingi pamoja na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kumpa ushirikiano katika suala zima la vibali kwa wasanii kutoka nje. “Sapoti ya Basata ilikuwa kubwa, imenipa moyo kama msanii wao bila kusahau niwashukuru uhamiaji na maofisa wote walionipigania na kuhakikisha UTI kutoka Nigeria anaingia Tanzania dakika za mwisho kuweza kufanikisha Vocals Night,” alisema Jide. The post JIDE, ZAHARA, KANYOMOZI WAKONGA NYOYO VOCALS NIGHT appeared first on Bingwa.

Africa not Creating Enough Jobs for Booming Youth Population

$
0
0
A new report says African nations are failing to create enough jobs for a booming young population even as some countries have seen strong economic growth. The latest Ibrahim Index of African Governance sounds a warning for a continent where the sub-Saharan population is projected to double by 2050.   The report released Monday says Africa's overall GDP has risen nearly 40 percent over the past decade but the continent's average score for sustainable economic opportunity has increased just a fraction of 1 percent. Africa is seeing the rise of young opposition leaders in countries like Uganda, Zimbabwe and Cameroon who are impatient with some of the world's oldest or longest-serving heads of state. Earlier this month, some in East Africa said they would unite with like-minded colleagues in West and southern Africa to form a movement to challenge the misrule that has plagued the continent.   Experts warn of coming turbulence as about 60 percent of Africa's population is under age 25, with birth rates among the highest in the world and health conditions improving for many. The United Nations says sub-Saharan Africa is projected to be the source of more than half of the world's population growth between now and 2050, straining countries' abilities to provide good education, jobs and health care.   "Africa has a huge challenge ahead. Its large and youthful potential workforce could transform the continent for the better, but this opportunity is close to being squandered," Mo Ibrahim, the Sudan-born billionaire who leads the foundation behind the new report, said in a statement. "The evidence is clear — young citizens of Africa need hope, prospects and opportunities. Its leaders need to speed up job creation to sustain progress and stave off deterioration."   Strong economic growth doesn't necessarily lead to more opportunities, the new report says. Nigeria, Angola, Sudan and Algeria have some of the highest GDP in Africa but are among the lowest for job creation.   The report also warns that education in 27 countries across the continent is now on the decline, further hurting the young population's future.   And "alarmingly, citizens' political and civic space in Africa is shrinking," the report adds, meaning less room for an increasingly connected, tech-savvy population to express concerns and seek solutions, with potentially explosive results.      

MWANAMKE KUWA NA TABIA HII NI HATARI SANA KATIKA MAHUSIANO

$
0
0
NA RAMADHAN MASENGA KIASILI na kitamaduni, mwanaume hupenda kutawala ama kuhisi anatawala. Mwanaume akiona ama akihisi anatawaliwa na mwanamke, hata akiacha kusema hujikuta akianza kujihisi vibaya kuhusu nafsi yake na hatimaye kuhusu huyu mwanamke anayehisi anamtawala. Katika uhusiano wanawake wengi hukosea kwa kuamini, ukali ama kuwa na maneno mengi ya kuudhi ni njia nzuri ya kupambana na wanaume zao katika yale mambo wanayowahisi. Kitu wanachosahau kukiwaza ni kwamba wanaume huchukia kufokewa, kufanywa wajinga na kuhisi wanatawaliwa na wanawake. Na mwanamke mwenye tabia hizo za kufoka kwa mume ama mpenzi wake, tabia ya kujihisi anamtawala mume wake sio tu anamtesa mume wake kifikra ila pia anatengeneza mazingira ama ya huyu mwanaume kuachana naye, kuwa na mwanamke wa pembeni ama kupenda kukaa mbali na mwanamke huyu. Wanaume wengi wakiwa kazini wanajikuta wako huru na amani zaidi kuliko wakiwa na wake zao. Pia wako wanaume wengi msisimko wa kihisia na wapenzi wao umeisha ama umepungua kwa asilimia kubwa kwa sababu ya kauli na tabia za ubabe walizonazo wanawake wao. Nimewahi kuandika mada hapa kuhusiana na namna mwanamke anavyotakiwa kuwa. Nilisema silaha ya mwanamke si kauli kali wala ubabe. Mwanamke kajaliwa ngozi laini, sauti nzuri na uwezo mkubwa wa kucheza na hisia za mwanaume. Vitu hivi mwanamke anapaswa kuvitumia vema ili kumfanya mume wake abadilike na si kujifanya mjuaji karibu kwa kila kitu. Hakuna mwanamke aliyeshinda katika vita ya kutunishiana misuli na mume wake. Mwanamke hajaumbwa hivyo. Sifa ya mwanamke ni kudeka, kumfanya mwanaume ajihisi mwenye hatia kwa sauti ama matendo yake. Ukileta ujuaji kwa mwanaume si tu unashindwa kufanikiwa katika lengo lako  pia unamfanya naye awe juu zaidi na kusababisha mahusiano mengi katika gharika. Wanawake ni vema wakafahamu kwamba wanaweza kubadili tabia na misimamo ya wanaume kwa matendo yao ya kike sio kuiga tabia za kiume. Mwanaume anapofokewa na mwanamke mambo mawili huja akilini kwake haraka. Kwanza atafikiri mwanamke husika anamfanya mjinga. Pili atafikiri kutafuta sehemu nyingine apate utulivu na amani. Ijulikane pia kwamba mwanamke anapokuwa na tabia zinazomkwaza sana mwenzake, ni sababu pia hata kiwango cha muhusika kujali na kuheshimu kupungua kama si kuisha kabisa. Mwanaume anapokuwa na mwanamke, hutegemea mwanamke huyo kuonesha uanamke wake katika tabia kauli na maamuzi yake. Sio anakuwa mwanamke kwa jinsia huku matendo na tabia zinakuwa za kiume hapana. Sifa ya mwanamke ni kubembeleza na kunyenyekea. Mwanamke anapokosewa harushi ngumi kwa mumewe ila hutenda ama husema mambo ambayo yatamfanya mwanaume husika ajihisi mkosaji ama mjinga. Ukileta ubabe kwa mwanaume, mwanaume husika atataka kukuonesha  wewe na yeye nani mbabe zaidi. Sasa hayo mahusiano gani? Kauli na maneno ya kuudhi sio sifa ya mwanamke. Tathmini zinaonesha wanawake wengi wakorofi huwa hawadumu katika mahusiano na wachache wenye kudumu huwa hawako katika mahusianio yenye kuleta raha na furaha. Matarajio ya mwanaume kwa mwanamke ni kusikia sauti ya kubembelezwa, kuona akiulizwa kwa upole na kwa heshima, ni kuona akipapaswa huku wakicheka kwa pamoja. Sasa mwanaume anapokutana na ubabe kama anauona mtaani ama kazini kwake, hujiona kakosea sana kuwa na mwanamke husika ama anakosewa mno na mwanamke husika. Wanaume wengi hukutana na mazingira ya kibabe na kifedhuli katika harakati zao za kimaisha. Hufokeana na mabosi ama wafanyakazi wenzao, hukutana na utata karibu kila eneo la maisha yao. Mwanaume huyu anataka akifika nyumbani akutane na hali tofauti. Zile kero, maneno makali ya kazini ama katika biashara zake anataka yaje kumalizwa kwa kusikia sauti ya upole na iliyojaa utani kutoka kwa mwanamke anayempenda na kumuheshimu. Sasa akifika nyumbani na kukutana na balaa kama lile alilokutana nalo katika harakati zake za maisha unafikiri atawaza nini? Kila binadamu anahitaji faraja. Na kwa zaidi ya asilimia 70 tunategemea faraja hizo kutoka kwa watu tunaowapenda na kuwajali. Sasa tunapokutana na kinyume cha faraja kwa watu hao, tunajikuta hata ule msisimko tuliokuwa nao juu yao huisha na kujiona tuna bahati mbaya sana. The post MWANAMKE KUWA NA TABIA HII NI HATARI SANA KATIKA MAHUSIANO appeared first on Bingwa.

Kifo cha Gamba kimegusa wengi

$
0
0
Mkuu wa idara ya kiswahili ya shirika la utangazaji la Ujerumani DW Deutsche Welle Andrea  Schmidt amesema kifo cha Gamba  kimegusa watu wengi ndani na nje ya Afrika.

Gabon Leader Has Stroke, Sources Say, Govt Says it's Fatigue

$
0
0
Gabon's President Ali Bongo was hospitalized last week in Saudi Arabia after suffering a stroke, two sources told Reuters, while Gabonese authorities said he was admitted only because of fatigue. Bongo on Monday was still under observation at the King Faisal hospital in Riyadh where he was taken on Oct. 24. A medical and a diplomatic source both told Reuters that the president suffered a stroke. Government spokesman Ike Ngouoni denied this and said that Bongo instead had "severe fatigue" after months of strenuous work. The president was in Saudi Arabia to attend the Future Investment Initiative conference where he was scheduled to speak alongside other African leaders. Bongo, whose family has ruled the central African oil producer for nearly a half century, has been president since succeeding his father Omar in 2009. He narrowly won re-election in 2016 in a poll that the opposition claimed was marred by fraud. Mass protests broke out, during which the national parliament was gutted by fire.        

Brazil: Experts warn of Bolsonaro threat to the Amazon

$
0
0
Brazil's president-elect Jair Bolsonaro has threatened to close environment agencies and throw open indigenous territories to development. But he would stay in the Paris Agreement. What fate for the lungs of the Earth?

EU needs more time before ending clock changes

$
0
0
EU transport ministers have expressed concern at a European Commission proposal to stop daylight savings next year. One of the major issues is that the EU could end up with a patchwork of time zones.

Upinzani wadai EAC imeshindwa kusuluhisha mgogoro wa Burundi

$
0
0
Kikao cha 5 cha mazungumzo ya kumaliza mgogoro wa Burundi kimemalizika Jumatatu mjini Arusha ambapo upande wa upinzani wamedai kuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeshindwa kusuluhisha mgogoro wa Burundi.

Mwakyembe Aagiza Wamiliki Na Wahariri Wa Gazeti la Tanzanite Wahojiwe

$
0
0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb), amesema habari iliyochapishwa na gazeti la kila siku la Tanzanite la leo Jumatatu tarehe 29 Oktoba, 2018 lenye habari zenye tuhuma za kisiasa dhidi ya Viongozi kadhaa, haziakisi msimamo wa Serikali na ameagiza mmiliki na Bodi ya uhariri ya gazeti hilo waitwe mara moja Idara ya Habari (MAELEZO) kujieleza kuhusu msingi wa habari hiyo.Dkt. Mwakyembe ametoa ufafanuzi huo leo mchana, mara baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kuelezea kushtushwa kwake na mwenendo wa gazeti hilo kuchapisha habari zinazoibua tuhuma za kisiasa dhidi ya baadhi ya Viongozi nchini, wakiwemo Wabunge na kusababisha taharuki kubwa katika jamii.Gazeti la Tanzanite linatolewa na kampuni ya CZ Information and Media Consultant LTD ya Dar es Salaam na leo katika toleo lake Na. 254 limeandika katika ukurasa wake wa mbele  habari yenye kichwa kinachosomeka “Vigogo 14 hatari kwa nchi watajwa” ambayo inawataja viongozi kadhaa wa kisiasa na wafanyabiashara.

Dk Chegeni, Polisi wavutana

$
0
0
Mbunge wa Busega (CCM) Dk Rafael Chegeni amesema hajawahi kukamatwa polisi na wanaoeneza uzushi huo wana lengo la kumchafua.

Uchaguzi Simba: Mkwabi awaongoza wagombea 11 kumwaga sera

$
0
0
Wagombea wa uchaguzi wa Simba wameendelea kupiga kampeni katika maeneo mbalimbali. Wagombea 11 Leo Jumatatu walikuwa katika ukumbi wa CCM Magomeni wakifanya kampeni kwa kumwaga sera zao.

Tunis attack: 'Woman blows herself up' in Tunisia

$
0
0
Nine people are injured in the blast, which police suspect was a terrorist attack.

Cameroon’s Opposition Moves to Safe, Holy Ground for Anti-Biya Protests

$
0
0
Security forces in Cameroon have been cracking down on street rallies protesting the October 7 re-election of President Paul Biya. To avoid beatings and arrest, protesters have taken their message to safer, even holy grounds such as schools and churches. Opposition protesters sang on Monday in front of the University of Yaounde in the capital of Cameroon.   The lyrics say that opposition leader Maurice Kamto won the October 7 presidential election and that longtime President Paul Biya should hand over power.   A massive deployment of police stopped the protesters from singing on the campus itself.   Twenty-six-year-old teacher Boniface Onana says they will continue demonstrating against Biya’s re-election.   He says Biya should know that the time he was ruling Cameroon with an iron fist, using divide and conquer tactics, is over. Onana says Cameroonians should know that a new nation with a new leader has been born and he will do everything possible to pass on the message.   Police say they detained four of the protesters and are investigating others who ran onto the university grounds disguised as students.   Opposition supporters are seeking safe areas to protest as Cameroon security forces have been cracking down on street rallies since the election.   Tens of protesters on Sunday entered the Our Lady of Victories Cathedral in Yaoundé, interrupting a service to sing that Biya should hand over power.   Sosthene Lipot is the information officer for Kamto’s Cameroon Renaissance Movement party. He says they took their protests to the university and the church because of the crackdown. He says the military should know that Biya has not even won wars he declared on two fronts — against Boko Haram and against separatists fighting for the creation of an English-speaking state — yet he is sending his military to attack innocent people who are simply protesting for their rights.   Archbishop Jean Mbarga condemned the protesters who entered the church, calling it a desecration of a religious body.   He says the Yaoundé archdiocese is scandalized at the disrespect that some politicians have shown towards the church. He says the church is apolitical and should never be used for any political activity, reason why he totally condemns such acts that are instilling doubts in the minds of Christians as to the neutrality of the Catholic church.   The Roman Catholic church in Cameroon has issued conflicting comments on the presidential election. Mbarga on Sunday saluted Biya as the winner, while the head of the national Catholic bishops conference expressed suspicion at the official results. Officials said Biya won the election with 71 percent of the vote. Kamtos, his main challenger, received 14 percent.   Opposition parties accused Biya’s ruling Cameroon People’s Democratic Movement (CPDM) party of massive electoral fraud.

Hawa hapa wana viatu vya Samatta

$
0
0
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania'Taifa Stars' Mbwana Samatta ataukosa mchezo wa kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) dhidi ya Lesotho utakaofanyika Novemba 18 kutokana na kuwa na kadi tatu za njano.
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live