Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live

Chama cha wenye ulemavu wa Ngozi Tanzania (TAS) chalaani vitendo vya ufukuaji makaburi.

$
0
0
Chama Cha Watu Wenye Ualbino Tanzania kwa masikitiko kinauarifu umma kuhusu tukio la kaburi la marehemu Aman Anywelwisye Kalyembe mwenye Ualbino, aliyezikwa mwaka 2015 kufukuliwa usiku wa kuamkia tarehe 23/4/2019 katika kijiji cha Ibililo kata ya Nkunga wilayani Rungwe ambapo wahusika waliondoka na masalia ya viungo vya marehemu. Tukio hili la tatu kwa mkoa wa Mbeya limeibua simanzi na hofu kwa  Watu Wenye Ualbino na familia zao, kwa uzoefu kuwa linahusishwa na imani za kishirikina hasa kipindi hiki tunapoelekea mwaka wa uchaguzi 2020. Ni ishara wazi ya ukatili kwa Watu Wenye Ualbino si tuu wakiwa hai bali hata wakiwa wafu.Chama cha watu wenye ualbino Tanzania kinaungana na wadau na wote wenye mapenzi mema kukemea vikali tukio hili ovu. Ni tukio ambalo limejitokeza wakati baadhi ya wenzetu wako katika vituo maalum, huku kiu yao na jitihada za serikali na wadau wengine ikiwa ni kuona wanarejea kuishi na familia zao, ndugu zao, marafiki na jamii zao katika maeneo yao. Tukio hili  linarejesha hofu kwa Watu Wenye Ualbino na familia zao kwani ni tukio la 23 la vitendo ovu vya ukiukwaji wa heshima ya makaburi ya watu wenye ualbino likihusishwa na imani za kishirikina.Watu Wenye Ualbino na familia zao watafurahi kuona serikali inachukua hatua stahiki kwa wakati ili matokeo mazuri tuliyokuwa tumeyafikia, yakiwemo: watoto wenye ualbino kuanza kuandikishwa shule za kawaida ndani ya maeneo yao na vituo vingi vikiwepo Buhangija (Shinyanga) na Kabanga (Kigoma) kuanza kupunguza idadi ya watoto na watu wazima wenye ualbino, yawe endelevu. Tunamwomba Mhe. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuingilia kati suala hili, ikiwa ni kutumia nafasi yake kukemea uovu huu na kuwezesha kifedha mikakati iliyopo na itakayokuwepo yenye nia ya kukomesha uovu huu dhidi ya Watu Wenye Ualbino na zaidi  jamii ipate hamasa na kuziacha fikra potofu na matendo ya kishirikina. Miongoni mwa mipango tunayoomba iwezeshwe na serikali ni pamoja na:1.    Mpango kazi wa kutokomeza mauaji na ukatili wa watu wenye ualbino Tanzania uliondaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa kushirikiana na wadau wengine.2.    ‘Cross-Border Cooperation Plan on Preventing and Combating Trafficking and the Protection of Persons with Albinism in Malawi, Tanzania and Mozambique’ Ulioandaliwa na International Organisation for Migration (IOM), serikali kwa uwakilishi kupitia wizara ya Mambo ya Ndani  na wadau wengine.3.    ‘Joint Programme for the Protection and Wellbeing of People with Albinism in Tanzania’ Ulioandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kwa uratibu wa UNESCO kwa ushirikiano na wadau wengine. 4.    ‘ACTION STRATEGY: Minorities and Other Vulnerable Groups’ ulioandaliwa na Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) kwa ushirikiano na wadau wengine.    5.    ‘Regional Plan of Action on Albinism adopted on May 22, 2017 by the African Commission on Human and Peoples' Rights’ ulioandaliwa na mtaalamu wa kujitegemea wa UN akisimamia haki za watu wenye ualbino.Tunaitaka serikali katika ngazi zote wakati huu wa kuelekea chaguzi za serikali za vijiji na mitaa na kwenye uchaguzi mkuu mwakani 2020 kuweka ajenda ya hamasa kwa jamii kuhusu ualbino na athari za vitendo vya kishirikina kwenye kampeni zao.  Jeshi la Polisi limefanya kazi nzuri na ya kupongezwa kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita. Juhudi zao zimechangia kupungua kwa matukio. Mafanikio haya yamechangiwa pia na jamii kutoa ushirikiano hivyo tunaomba mtu yeyote mwenye taaifa yoyote kuhusiana na matukio haya afikishe jeshi la polisi au awasiliane nasi kwa wakati ili kufanikisha kuwakamata watu hawa waovu. Tunamsihi sana IGP Simon Sirro kuongeza kasi hasa katika upelelezi na kushiriki katika mchakato wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kulinda na kuheshimu utu na uhuru wa Watu Wenye Ualbino na familia zao. Mahakama zina mchango mkubwa kukomesha mauji kupitia adhabu kali ili iwe kama elimu na fundisho kwa jamii. Watu Wenye Ualbino wana imani na Mheshimiwa Jaji Mkuu na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ujumla wakitarajia kwamba kesi zilizochukua muda mrefu zitashughulikiwa ziishe kwa wakati sanjari na adhabu stahiki kutolewa kwa watakaobainika kuwa na hatia.Kutokana na matukio haya, Watu Wenye Ualbino na familia zao ni vyema kuendelea kuchukua tahadhari stahiki kwa ajili ya ulinzi wao wakati wote. Toa taarifa polisi na au mamlaka za karibu mapema iwezekanavyo uonapo kiashiria chochote cha uhalifu ili jitihada za kuzuia zifanikiwe. Vyombo vya habari, viongozi wa dini, serikali kupitia viongozi wa kisiasa, Wizara na taaisi nyingine za kiserikali na za kiraia tuongeze juhudi hasa katika elimu kwa jamii kwa njia mbalimbali ambazo ni endelevu, hii itasaidia sana kuibadili jamii kifikra  ili hatimaye utu wa mtu mwenye ualbino uthaminike.Mungu ibariki TanzaniaNemes Colman TembaMwenyekiti – TaifaChama cha watu wenye Ualbino TanzaniaAprili 27, 2019Kwa mawasiliano Simu (ofisi): 022 2110527Mob. (Mwenyekiti): 0784 874 592Email:   info@tas.or.tz

Tuziache stori za waamuzi, Simba ni timu bora hapa Tanzania

$
0
0
Moja ya ratiba ambazo nilikuwa naziona ngumu kwa Simba ni yeye kwenda kucheza katika viwanja vya kanda ya Ziwa. Hii ndiyo ratiba ngumu sana ambayo nilikuwa naitazama kwangu mimi. Ugumu wa ratiba hii haukuja tu kwa sababu anaenda kucheza ugenini.…The post Tuziache stori za waamuzi, Simba ni timu bora hapa Tanzania appeared first on Tanzania Sports.

In Wake of Cyclone Kenneth, Flooding in Mozambique

$
0
0
Flooding began Sunday in parts of northern Mozambique that were hit by Cyclone Kenneth three days ago. The government has urged many people to immediately seek higher ground, with hundreds of thousands of people at risk.    Authorities have said at least five people died after the storm arrived Thursday evening with the force of a Category 4 hurricane, stunning residents of a region where a cyclone had not been recorded in the modern era. Kenneth came six weeks after Cyclone Idai ripped into central Mozambique and killed more than 600 people. The remnants of Kenneth could dump twice as much rain as Idai did, the U.N. World Program has said. It was the flooding after Idai that caused most of the deaths. Heavy rain was falling in the main city of Pemba, which had lost power. As much as 250 millimeters (9 inches) of torrential rain, or about a quarter of the average annual rainfall for the region, is forecast over the next few days.  Pouring in Pemba Nearly 700,000 people could be at risk in the largely rural region, many left exposed and hungry as waters rise. Some rivers in the region have burst their banks in the past, notably in 2000. With streets nearly deserted in Pemba, a few braved the pouring rain. One woman held a plastic dish over her head, negotiating a flooded street.  “I have never seen such rains in my life, this doesn’t happen in Pemba. The storms we sometimes have, but such rains, never,” said a 35-year old resident, Michael Fernando. Flattened towns Aerial photos taken on Saturday showed several coastal communities flattened by the storm in Mozambique’s northernmost Cabo Delgado province. “Not a single house is standing anymore,” Saviano Abreu, a spokesman with the U.N. humanitarian agency, told reporters after the aerial assessment.   With many houses built of mud, wooden poles and metal roofs destroyed, families have begun wading through rising waters to what they hope are safer areas or huddling under impromptu shelters.   This was the first time in recorded history that the southern African nation has been hit by two cyclones in one season, again raising concerns about climate change.   The International Federation of Red Cross and Red Crescent Societies has reported heavy damage to Cabo Delgado province, with the communities of Macomia, Quissanga and Mocimboa da Praia of highest concern.   About 3,500 homes in parts of Cabo Delgado were partially or fully destroyed by the cyclone, with electricity cut, some roads blocked and at least one key bridge collapsed. Some schools and health centers were damaged. 

OPINION: Are hyenas in Ngorongoro Crater a bane or a boon?

$
0
0
Officials of the Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) and researchers from the Tanzania Wildlife Research Institute (Tawiri) are worried by the increasing number of hyenas in the Ngorongoro Crater.

EDITORIAL: Avoid populist politics for good governance

$
0
0
The Republic of South Africa (RSA) is to hold the General Election on May 8 this year in which 400 legislators for the National Assembly and members of the nine Provincial Legislatures will be elected.

OPINION: Another Happy Birthday to Tanzania as it clocks 55 years

$
0
0
We are 55 years old this year. Those who were born when the country was formed have reached the age of voluntary retirement.

Prime Minister invites tourist investors from Israel

$
0
0
The government announced yesterday that doors are open for potential investors in the hospitality industry from Israel.

Instagram yamponza Neymar, Uefa yamfungia

$
0
0
Mshambuliaji wa Paris St-Germain, Neymar amekutana na rungu la Shirikisho la Soka Ulaya, (Uefa) na amefungiwa mechi tatu za msimu ujao.

Klopp awanyooshea kidole Salah na Mane

$
0
0
Juzi usiku Liverpool imeitandika Huddersfield mabao 5-0 mechi ya Ligi Kuu England na kukaa kileleni, lakini kocha wa timu hiyo, Jurgen Klopp amewaangalia mastaa wake, Mohamed Salah na Sadio Mane akaonya vikali waache mambo wanayofanya uwanjani.

Pogba azidi kuichanganya Man United, agomea viza

$
0
0
Mshambuliaji wa Manchester United, hamu yake ya kubakia Old Trafford ni kama imemalizika, na wanachopasa mabosi wa klabu hiyo ni kumwacha tu aondoke japo Ole Gunnar Solskjaer hataki.

Nahodha Alliance hajakata tamaa

$
0
0
Nahodha wa Alliance FC, Siraji Juma amewaambia wachezaji wenzake kuwa wanachotakiwa ni kusahau makandokando mengine na kupambana ili wabaki Ligi Kuu.

Mingange ajipa matumiani kuiua Yanga

$
0
0
Kocha wa Azam, Meja mstaafu, Abdul Mingange amesema wamejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo wao wa kesho Jumatatu dhidi ya Yanga huku akitamba kuwa wachezaji wa zamani wa wapinzani wao hao ndio watakaoimaliza timu hiyo.

Wamuoza binti yao wa 'miaka mitano' kwa dola 3,500

$
0
0
Nazanin alichumbiwa akiwa na mika mitano na alipofikisha mika kumi alikua mke wa mtu.

Mambo 6 ya utamaduni wa sokwe wanaopoteza kwasababu ya binaadamu

$
0
0
Huenda tunafikiria utamaduni ni wa binaadamu pekee, lakini sokwe wanadhihirisha tabia za kitamaduni zinazopungua kutokana na muingiliano na binaadamu.

LIVE: Rais Magufuli Akiwa Kwenye Ibada Ya Kusimikwa Askofu Mteule Mbeya

$
0
0
LIVE: Rais Magufuli Akiwa Kwenye Ibada Ya Kusimikwa Askofu Mteule Mbeya

SIMBA SC YAZIDI KUIBANA PUMZI YANGA

$
0
0
NA MAREGESI NYAMAKA -MUSOMA WEKUNDU wa Msimbazi, Simba, wamezidi kuwabana pumzi wapinzani wao Yanga katika vita ya kuwania ubingwa baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United, mchezo uliochezwa Uwanja wa Karume, Musoma. Baada ya ushindi dhidi ya Biashara United, Simba imefikisha pointi 69, baada ya kucheza michezo 27, ikishinda 22, sare tatu na kupoteza michezo miwili na kuendelea kukomaa katika nafasi ya pili. Uongozi wa ligi hiyo unashikiliwa na Yanga yenye pointi 74, baada ya kushuka dimbani mara 32, ikishinda michezo 23, sare tano na kupoteza michezo minne. Hata hivyo, kwa kuangalia rekodi hiyo ya michezo, Simba ina akiba ya michezo mitano mkononi ili kulingana na Yanga. Dakika 10 za mwanzo timu hizo zilishambuliana kwa zamu, huku kipa wa Simba, Deogratias Munishi, akiokoa hatari mbili zilizoelekezwa langoni mwake. Dakika ya 27, mkwaju mkali wa Saidi Ndemla wa Simba ulipaa juu ya lango la Biashara United.  Dakika ya 33, mshambuliaji, John Bocco, aliifungia Simba bao la kuongoza baada ya kupokea pasi ya Mzamiru Yassin na kuwazidi kasi mabeki wa Biashara United na kufyatua fataki la mguu wa kushoto na mpira kutinga wavuni. Dakika ya 40, Bocco aliendelea kusababisha maumivu kwa Biashara United, baada ya kuifungia Simba bao la pili kwa kichwa, akipokea pasi ndefu ya Asante Kwasi. Dakika 45 za kipindi cha kwanza zilikamilika kwa Simba kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United. Kipindi cha pili kilianza kwa kila upande kuzidisha kasi ya mashambulizi kwa lengo la kupata bao. Dakika ya 52, mwamuzi wa mchezo huo, Ally Simba wa Geita, alimlima kadi ya njano, Taro Donald, baada ya kumchezea madhambi, Mohamed Ibrahim. Simba ilifanya mabadiliko dakika ya 53, alitoka Bocco na kuingia Emmanuel Okwi. Dakika ya 67, Biashara ilifanya mabadiliko alitoka, Makanga na kuingia Juma Mpakala. Dakika ya 70, Haruna Niyonzima, alionyeshwa kadi ya njano baada ya kumchezea madhambi Taro kabla ya dakika moja baadaye kulimwa kadi nyekundu kutokana na kuonyesha mchezo usio wa kiungwana na kupinga uamuzi wa mwamuzi. Dakika ya 74, Simba ilifanya mabadiliko alitoka Kagere na kuingia Hassan Dilunga, kabla ya dakika ya 76, Biashara United kufanya mabadiliko ambapo alitoka Taro na kuingia Kauswa Benard. Dakika ya 78, James Kalimba wa Biashara alilimwa kadi ya njano kwa kumchezea madhambi Dilunga. Kocha wa Simba, Patrick Aussems, alilazimika kufanya mabadiliko mengine dakika ya 85, alimtoka Kwasi baada ya kuumia na kumwingiza, Yusuph Mlipili. Pamoja na mabadiliko yaliyofanyika kila upande kipindi cha pili, dakika 90 za pambano hilo zilikamilika kwa Simba kutakata kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara. Baada ya mchezo huo, Aussems, alisema wanarejea Dar es Salaam kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa kesho kutwa.

Mwarobaini kwa wakopaji benki wasiorejesha fedha wapatikana

$
0
0
Na SHEILA KATIKULA –MWANZA WATU waliokuwa na mazoea ya kukopa fedha benki tofauti kwa wakati mmoja na bila kukamilisha marejesho yote, sasa wamewekewa kibano baada ya Taasisi ya Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania Ltd kupewa jukumu la kuwadhibiti. Kauli hiyo ilitolewa jijini hapa jana na Meneja Biashara na Maendeleo wa Dun & Bradstreet, Josephine Temu, katika semina kwa wafanyabiashara, vikundi vya saccos na mameneja wa benki mbalimbali.  “Ili kuweza kukopesheka kwa urahisi ni vema kujua deni lako katika benki fulani  kabla ya kukopa sehemu nyingine, tukizingatia hayo tutalinda taasisi zinazotoa mikopo ili zisiweze kufilisika.  “Tumekuja na mpango huu wa ufuatiliaji wakopaji na tumefanya maboresho ili ukikopa benki fulani uonekane benki nyingine, awali watu walikuwa wakichukua mikopo katika taasisi moja na kwenda kwingine tena bila kujulikana, lakini sasa watajulikana.  “Kibaya zaidi wakopaji wa namna hiyo walikuwa wanazifanya benki kutokuwa salama, lakini hivi sasa hautakopa sehemu tofauti bila kujulikana, pia kuna watu walikuwa hawajui kama taarifa zao za mikopo zilikuwa zitatunzwa,” alisema. Alisema hivi sasa taasisi yoyote iliyojisajili kupitia kampuni hiyo inaweza kuzipata taarifa za mkopaji na kufanya tathimini ili kuona kama mteja anaweza kukopesheka ama hakopesheki. Kwa upande wake, Meneja Msaidizi Kitengo cha Ubadilishaji wa Taarifa za Ukopaji kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mkanwa Magina, alisema mbali na kuwa na mfumo wa utunzaji wa kumbukumbu za mkopaji, lakini pia ni muhimu kutambua mienendo ya wakopaji. Magina alisema katika kuhakikisha hilo linafanikiwa, taasisi hiyo imepewa jukumu la kuchakata taarifa za wakapoji na aliwataka wananchi na wakopaji wakawa na taratibu za kufuatilia taarifa zao kwa sababu zina faida kwao. Naye Mkurugenzi wa Taasisi ya Vanson Microfinance, Higini Mwacha, alipongeza uwepo wa mfumo huo kwa sababu unakusudia kuondoa changamoto na taarifa zisizo za kweli kutoka kwa wakopaji.

Mbunge ataka mawaziri waungwe mkono

$
0
0
Na MWANDISDHI WETU -DODOMA MBUNGE wa Kilindi, Omary Kigua (CCM), amesema Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inafanya kazi nzuri licha ya kukabiliwa na changamoto mbalimbali. Kutokana na hali hiyo, amewataka wabunge wengine wawaunge mkono mawaziri wanaoongoza wizara hiyo kwa kuwa wanafanya kazi zinazoonekana. Kigua aliyasema hayo bungeni jana alipokuwa akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2019/2020. “Kwanza kabisa nawapongeza mawaziri wa wizara hii kwa sababu wanafanya kazi nzuri inayoonekana, na hata Watanzania ni mashahidi kwa sababu wanaona ni kwa kiasi gani ajali na uhalifu zimepungua kwa kiasi kikubwa.  “Hapo zamani, watu walikuwa wanashuhudia uhalifu unafanyika katikati ya Jiji la Dar es Salaam kama maeneo ya Kariakoo.  “Lakini kwa sasa umepungua, hivyo ni lazima Jeshi la Polisi lipongezwe katika hilo kwa sababu linafanya kazi nzuri.  “Pamoja na hayo, naipongeza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa jitihada inazochukua na kuhakikisha inajenga vituo vya polisi pamoja na magereza. “Najua bado changamoto ni nyingi na ziko kila maeneo, hasa hasa kwa wilaya mpya, lakini namshukuru Waziri kwa kuwa tumepata shilingi milioni 150 kwa ajili ya kujenga nyumba za polisi katika Wilaya ya Kilindi.  “Pamoja na hayo, bado tuna changamoto ya kupata kituo cha kisasa kwa kuwa wilaya yetu ni ya muda mrefu, yaani tangu mwaka 2002 hakuna kituo hicho.  “Kwa maana hiyo, namuomba Kangi (Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola), aiangalie wilaya yetu ili iwe na kituo cha kisasa cha polisi na vituo vya kata vilivyobaki tutavijenga wenyewe,” alisema. Alisema katika vitambulisho vya taifa kuna shida kutokana na mchakato huo kwenda taratibu.  “Na hili linakwenda taratibu, juzi tumepata taarifa kwamba kuanzia Mei Mosi kila mwenye kitambulisho cha taifa ndiyo atakayesajiliwa laini, sasa hili ni tatizo.  “Ukiangalia mwenyekiti, wizara iliingia mkataba na Kampuni ya Iris Corporation uliosainiwa Septemba, 2014 na mkataba ulikuwa hadi mwaka 2016,” alisema. Alisema lakini waliongezewa tena mkataba hadi Septemba mwaka jana jambo linalopaswa kufanyiwa kazi na wizara husika. “Vitambulisho vya taifa ni haki ya kimsingi, ni lazima muongeze kasi ili kuhakikisha kwamba vinapatikana kuanzia ngazi za vijiji hadi mkoa. Nalisema hili maana tunapata malalamiko huko vijijini kwamba bado,” alisema Kigua.

91,108 waomba ajira, Serikali yatoa kibali waajiriwe 4,549

$
0
0
Na AZIZA MASOUD DAR ES SALAAM  OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imepata kibali cha kuajiri walimu 4,549 kwa shule za msingi na sekondari. Walimu hao ni miongoni mwa waombaji 43,770 waliobainika kuwa na vigezo ambao ni sawa na asilimia 48.04 ya waombaji wote 91,108 waliowasilisha maombi yao. Akizungumza jana, Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo, alisema waombaji 91,108 walijitokeza kutuma maombi ya nafasi mbalimbali za ualimu zilizotangazwa na ofisi hiyo. Alisema kati ya hao, 43,770 sawa na asilimia 48.04 ya waombaji wote walikuwa na viambatanisho vyote vilivyohitajika wakati 47,338 sawa na asilimia 51.96 maombi yao hayakuwa na vigezo. “Kati ya waombaji  43,770 wenye vigezo, wizara imepata kibali cha kuajiri walimu 4,549. Kati ya walimu hao, walimu 3,059 sawa na asilimia 67.25 wamepangwa kufundisha shule za msingi wakati walimu 1,490 sawa na asilimia 32.75 wamepangwa kufundisha sekondari,” alisema Jafo. Alisema kutokana na mahitaji makubwa ya walimu katika shule za msingi na sekondari kwa masomo ya sayansi, wizara imefanya uchambuzi na kutoa vipaumbele katika ajira za walimu daraja la tatu A (wenye cheti) kwa ajili ya kufundisha shule za msingi. “Walimu wa daraja la tatu B (wenye stashahada) wa masomo ya sayansi wamechukuliwa kwa ajili ya kufundisha shule ya sekondari kidato cha kwanza hadi nne na walimu daraja la tatu C  shahada wa masomo ya sayansi, kwa ajili ya kufundisha kidato cha tano na sita,” alisema. Alisema walimu daraja la tatu C, shahada wa masomo ya elimu maalumu, biashara, uchumi, kilimo na maarifa ya nyumbani, wamechukuliwa kufundisha shule ya sekondari. “Mchakato wa kupitia maombi ulijumuisha uhakiki wa uhalali wa vyeti vya elimu ya taaluma vya waombaji na ukamilishaji wa nyaraka zilizohitajika,” alisema Jafo. Alisema kwa waombaji  wa masomo ya sayansi na sanaa ambao walitimiza vigezo lakini hawakufanikiwa kupata nafasi kwa kipindi hiki, maombi yao yalichambuliwa na yamehifadhiwa katika kanzidata ya Tamisemi ili waweze kupewa kipaumbele wakati ujao. Aidha Jafo ametoa angalizo kwa wazazi ambao wanapeleka vimemo vya maombi kwa wakurugenzi wa halmashauri, ambavyo vinawaombea watoto wao kupata kazi maeneo ya mijini na kuacha shule za vijijini zikiwa hazina walimu. “Wazazi ambao wanasambaza vimemo kwa wakurugenzi kutaka watu wakae katikati ya halmashauri hatutawabadili, mkurugenzi hatakiwi kubadilisha mtu bila kibali kutoka kwa Katibu Mkuu wa Tamisemi, tumepanga walimu kulingana na mahitaji,” alisema Jafo. Akizungumzia kuhusu wingi wa waombaji wa nafasi hizo, Jafo alisema inatokana na walimu wengi wa shule za binafsi kutamani kufanya kazi katika shule za Serikali. “Kwa sasa waombaji wamekuwa wengi kwa sababu walimu wengi waliokuwa katika sekta binafsi wametamani kuingia serikalini, wapo pia waliowahi kufundisha serikalini zamani wakaacha, lakini kwa sasa wanataka kurudi tena serikalini baada ya kuona kazi nzuri inayofanywa na Serikali katika kuwahudumia walimu,” alisema Jafo.

Magufuli awapa maagizo mazito wakuu wa mikoa

$
0
0
Na AGATHA CHARLES RAIS Dk. John Magufuli ametoa maagizo kwa wakuu wa mikoa mitano ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Singida na Arusha kujenga kituo cha soko la ununuzi wa madini katika mikoa yao ndani ya siku saba. Katika hilo, Rais Magufuli pasipo kufafanua alimtaka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kuacha kwanza dhambi zake za kutamanitamani na kutamani kujenga kituo hicho huku akitoa siku saba kikamilike kisha akaombe na kutubu. Rais Magufuli aliyasema hayo jana katika mkutano wake uliofanyika Chunya mkoani Mbeya akiwa katika ziara yake. Alisema maagizo hayo aliwahi kuyatoa alipokutana na viongozi wa madini pamoja na wa mikoa yote ya Tanzania bara. Rais Magufuli alisema licha ya kutoa maelekezo kuwa wakafungue … Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>