Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live

Cyclone Kenneth 'wipes out' Mozambique villages

$
0
0
A month after Cyclone Idai made landfall in Mozambique, Cyclone Kenneth has wreaked havoc in the country.

Heavy rains cause massive flooding in cyclone-hit Mozambique

$
0
0
Serious flooding has wreaked havoc in parts of Mozambique, as houses have collapsed in many parts of the area. Rescue efforts are underway to help people trapped by rising floodwater in the country's northern region.

It was great Easter holiday with tourists from Israel

$
0
0
Northern Tanzania tourism zone received a major boost this past Easter weekend after 1000 international tourists from Israel jetted in at the Kilimanjaro International Airport (KIA).

Ways to involve children in house chores

$
0
0
Getting children to do chores at home can be challenging. Some give an excuse of stomach pain, others headache and some tell you, “Mummy I am still young.” Children can spend the day playing and take more than 40 minutes to wash one cup.

On dating older men with money

$
0
0
Rahma* lives a life that’s an envy of many. She shops at some of the city’s most exorbitant malls and is always at an exclusive party every weekend. At the age of 22, the university student has explored the most scenic parts of the country.

Rahma’s story of inspiration to the youth

$
0
0
Knowledge is limitless, as such, youth should keep learning and shouldn’t remain contented with the knowledge they have – this was said by Rahma Baajuni, 30, founder and creative Director of MnM clothing line, a popular Afro-Centric clothing brand in Tanzania.

'Job done' for Guardiola despite title uncertainty

$
0
0
London. Pep Guardiola has insisted his Manchester City players have already done their jobs this season -- regardless of whether they succeed in becoming the first team in a decade to retain the Premier League title.

Failuna ashinda medali Hamburg marathoni, avunja rekodi

$
0
0
Failuna amevunja rekodi ya muda wake aliokimbia nchini Afrika Kusini kwenye mbio za Sanlam Cape Town marathon wa saa 2:29:59 uliomuwezesha kufuzu kushiriki mashindano ya dunia yatakayofanyika Septemba nchini Qatar sanjari na kutwaa medali ya fedha.

Benin holds vote with no opposition candidates

$
0
0
Parties failed to met the electoral requirements, including a fee of $424,000 to field candidates.

Prof. Lipumba aunda safu yake mpya ya uongozi CUF

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameteua Wakurugenzi na Manaibu wakurugenzi wapya. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Prof. Lipumba amesema uteuzi huo ni hatua ya kutekeleza majukumu na mamlaka aliyopewa na Katiba ya chama hicho ya 1996 (toleo la 2014) ibara ya 91(1)(f) ambayo inamtaka kuteua wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa, Wajumbe wa ...

Morals and meritocracy

$
0
0
So when we think about the college admission scam, and about legacy admissions, it makes me wonder.

How headmistress created secret team to catch me red-handed

$
0
0
Folks, I am told that writers are born and not made. I mean that good writing is 90 percent training and 10 percent talent.

Govt determined to ban sale of underwear ‘clothes’

$
0
0
It embarrasses us when we come across a text in which a scribbler has penned “watanzania” instead of Watanzania (capital w).

Yearning!

$
0
0
Yearning is often seen as a negative word, indicating a sense of lack or absence of something.

Agriculture still most effective road in addressing poverty

$
0
0
The challenges of rural poverty and underdevelopment in Tanzania and Africa at large cannot be ignored.

TCRA yatumia magulio kutoa elimu usajili wa laini za simu

$
0
0
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki, Lawi Odioro amesema zoezi la usajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole halitaathiri huduma za kifedha zinazotolewa na mitandao ya simu na kwamba kwa sasa wameamua kutoa elimu kuhusu zoezi hilo ili kuwatoa hofu wananchi.

Cheche afichua tatu ngumu kwa Azam na Yanga kesho

$
0
0
Kocha wa Azam FC, Iddi Cheche alisema kuna mambo matatu ambayo yanaweza kuufanya mchezo huo kuwa mgumu na timu ambayo itayatekeleza vizuri ndio itaondoka na ushindi.

Aussems ataka ubingwa wa Simba na rekodi ya kutisha Ligi Kuu Bara

$
0
0
Simba watacheza mechi ya Ligi Kuu Bara Jumanne dhidi ya JKT Tanzania baada ya kucheza mechi tano mfululizo ugenini.

London Marathon 2019: Eliud Kipchoge ashinda London Marathon mara ya nne mfulululizo

$
0
0
Mkenya Eliud Kipchoge ameshinda London Marathon kwa mara ya nne mfululizo.

Ummy Mwalimu aitaka jamii kusaidia matibabu ya watoto wanaoumwa moyo

$
0
0
Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, Wazee na watoto, Ummy Mwalimu, ameitaka jamii kujitoa kusaidia matibabu ya watoto wanaosubiri kutibiwa katika Taasisi Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Akizingumza leo April 28, katika mbio za kuchangisha fedha za matibabu ya moyo ya watoto 200, Ummy amesema jamii ijenge utamaduni wa kushirikiana na JKCI kuwasaidia kupata matibabu . Amesema taasisi hiyo itaendelea kushirikiana na wadau wengine wanaokuwa tayari katika kuchangia matibabu hayo kwa ajili ya kuokoa maisha ya watoto nchini. Naye  Mkurugenzi wa Taasisi ya JKCI, Professa Mohamed  Janabi, amesema fedha zinazohitajika ni  sh milioni 200 kwa watoto 200 pekee wanaotakiwa kufanyiwa matibabu ya Moyo.  “Wakitibiwa hao 200, watoto wengine  512 wataendelea kusubiri kupatiwa matibabu hayo. “Niiombe jamii kuwa maradhi haya ya moyo ni makubwa hivyo  mle kwa wastani na kufanya mazoezi ya kukimbia kusudi kuepuka maradhi haya,” amesema professa Janabi. Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Mazingira, kutoka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa),  Mhandisi Modesta Mushi, ambaye alishiriki mbio hizo za Kilomita 10, pamoja na kuchangia damu alisema watoto hao ni sehemu ya jamii hivyo Dawasa watajitoa kuokoa maisha yao. “Dawasa tumeshiriki kama wadau na wazazi katika ngazi ya familia, nimeona kuna umuhimu mkubwa wa kuchangia damu kwa kuwasaidia waliopo vitandani huko Hospitali,” alisema Modester.
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>