Mahakama yamuonya kutokiuka masharti ya dhamana
↧
Wema Sepetu aachiwa kwa dhamana
↧
Tanzania Yasaini Mkataba Wa Kupatiwa Fedha Za Msaada Bilioni 60 Za Kitanzania Kutoka Serikali Ya China
Tanzania imetia saini Mkataba wa kupatiwa fedha za Msaada wa Shilingi Bilioni 60 za kitanzania kutoka Serikali ya Watu wa China bila ya masharti yeyote ambapo Serikali ya Tanzania itaamua matumizi yake katika miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi wake. Mkataba huo umesainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi ambaye ameiwakilisha Serikali ya Tanzania na Makamu Mwenyekiti wa Shirika la Kimataifa la Misaada ya Maendeleo la China Bw. Zhou Liujun kwa upande wa Serikali ya China. Mkataba huo umesainiwa punde tu mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo kati ya Waziri Prof Palmagamba John Kabudi na Waziri wa Mambo ya Nje wa China na Mjumbe wa Baraza la Taifa Mhe. Wang Yi.Mazungumzo ya Mawaziri hao yalilenga kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia baina ya China na Tanzania sambamba na kuibua maeneo ya kipaumbele na kimkakati yatakayotekelezwa kwa ushirikiano baina ya China na Tanzania.Maeneo hayo ni pamoja na upembuzi yakinifu kwa ajili ya upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ili kuwa Taasisi Mahiri ya Tiba ya Moyo Kusini mwa Jangwa la Sahara, ujenzi wa mabwawa ya kuzalisha umeme ya Ruhudji (megawatt 358) na Rumakali (megawatt 222) mkoani yaliyoko mkoani Iringa na Njombe ambayo yote kwa pamoja yatakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme wa takribani megawati 580,pamoja na upembuzi yakinifu wa ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kimataifa (standard gauge railway) sambamba na ukarabati wa reli ya TAZARA.Aidha, katika mazungumzo yao, Serikali ya China imeahidi pia kuunga mkono katika ujenzi wa miundombinu muhimu katika mji mpya wa Serikali katika makao makuu Dodoma.Waziri wa Mambo ya Nje wa China na mjumbe wa Baraza la Taifa Mhe. Wang Yi amesifu mahusiano mema na ya kirafiki baina ya Tanzania na China na kuongeza kuwa Tanzania imekuwa Rafiki wa kweli wa China kwa wakati wote.Kwa upande wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi ameishukuru Serikali ya China sambamba na kueleza kuwa kipaumbele cha Tanzania ni kudumisha na kuendeleza mahusiano mazuri ya kidiplomasia,kisaiasa na kiuchumi yaliyopo baina ya Nchi hizo mbili kwa manufaa ya pande zote mbili.Pia Prof. Kabudi ameipongeza Serikali ya China na Nchi za Afrika kwa kuandaa mpango kazi wa kimkakati ambao umeanisha maeneo kumi ya kipaumbele yakiwemo uendelezaji wa sekta ya viwanda na miundombinu ambayo kwa nchi za Afrika hususan Tanzania ndio kipaumbele cha kwanza. Maeneo mengine ya kipaumbele ni pamoja na uendelezaji wa biashara na uwekezaji kati ya China na Afrika pamoja na ushirikiano katika maeneo ya ulinzi na usalama kwa kutaja machache.Halikadhalika, Prof Kabudi ameisifu Serikali ya China kwa kubainisha hatua kubwa nane zitakazosaidia utekelezaji wa Mpango Kazi wa Beijing (2019 – 2021). Miongoni mwa hatua hizo ni pamoja na kuanzisha program maalum ya ujenzi wa maeneo maalum ya viwanda (Industrial park), ujenzi wa miundombinu ya nishati, usafirishaji na mawasiliano,mpango maalum wa ujenzi wa vyuo vya ufundi na vituo vya kutolea mafunzo ya stadi kwa ajili ya kuandaa nguvu kazi ya kufanya kazi viwandani.Katika hatua nyingine Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi amehudhuria mkutano kati ya mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 53 za Afrika na taasisi za fedha za China ambazo ni pamoja na Mfuko wa Maendeleo kati ya China na Afrika (CAD FUND), Benki ya Exim ya China pamoja Benki ya Maendeleo ya China yenye lengo la kutoa ufafanuzi na utaratibu wa fedha kiasi cha Dola bilioni 60 zilizoahidiwa na Serikali ya China wakati wa Mkutano Mkuu wa Wakuu wa Nchi za Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika mwezi Septemba, 2018 jijini Beijing. Awali, katika ya ufunguzi wa mkutano huo,mchumi mkuu wa Benki ya Maendeleo ya China Liu Yong amesema China ina matumaini makubwa kuwa Afrika itaendelea kiuchumi na kwamba wataendelea kushirikiana na Nchi zote kwa kuwa malengo yao ni kuona nchi za Afrika zinaendelea kupitia ushirikiano baina ya China na Afrika.Imetolewa na:Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,BEIJNG - CHINA.24 Juni 2019
↧
↧
Uzoefu unaitesa Tanzania, Kenya Burundi AFCON
Wazungu hawakukosea waliposema 'experience is a good teacher' msemo ambao kwa lugha hadhimu ya Kiswahili unatafsiriwa kama uzoefu ni mwalimu mzuri wenye lengo la kuonyesha faida na umuhimu wa uzoefu wa mtu juu ya jambo fulani.
↧
Mogela atoa ya moyoni kipigo cha Taifa Stars
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imecheza mchezo wake wa kwanza katika kombe la Mataifa Afrika dhidi ya Senegal 'Simba wa Telanga' na kukubali kufungwa mabao 2-0 katika Kundi C.
↧
Kambi ya makapera Mwadui yapata pigo Mobby aopoa jiko
Beki wa Mwadui Fc, Idd Mobby amefunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu Ilham Tungu.
↧
↧
Ethiopia: Amhara attorney general dies after coup effort
The top prosecutor of Ethiopia's Amhara region died from wounds he sustained during a coup attempt, media and medics report. The reported mastermind of the coup, General Asamnew Tsige, was also killed, state media said.
↧
What's Changed Since Same Sex Marriages Became Legal
Four years ago on June 26, 2015, the U.S. Supreme Court ruled that same sex couples have the right to marry, a right guaranteed by the Constitution’s equal protection clauses. The landmark ruling accelerated a growing public acceptance of LGBTQ marriage, which includes lesbian, gay and other diverse sexual orientations. But as VOA’s Brian Padden reports, while opposition to same sex marriage is declining, it is still a strong political force in the country.
↧
Domestic Quarrel Disrupts Boris Johnson’s Britain Leadership Bid
A plate-hurling, screaming quarrel with his latest girlfriend has turned the spotlight fully on where Boris Johnson’s advisers didn’t want it — on his character and chaotic private life, which even his friends have described as “unruly.”The altercation, recorded by neighbors in south London who phoned the police, has thrown a wrench into Johnson’s smooth-running campaign to succeed Theresa May as Britain’s prime minister, which commentators say is his race to lose.His bid to win a leadership contest, which is now in its final stages after lawmakers whittled down in knockout ballots the succession choice to two candidates for the party’s 160,000 members to vote on by mail, has been built on avoiding television debates and dodging journalists.Johnson has refused to answer questions about the screaming match in the apartment of his girlfriend, 31-year-old Carrie Symonds, but calls are mounting on the 55-year-old to address questions about the altercation on Friday.Johnson ended a 25-year-long marriage, his second divorce, to move in last year with the younger Symonds, but his unruly private life has been marked by serial relationships, children fathered out of wedlock and terminated pregnancies.The quarrel has allowed his remaining opponent in the leadership race, the country’s current and normally mild-mannered foreign minister, Jeremy Hunt, to pile on the pressure and to launch Monday an uncharacteristically personal attack on his rival, accusing him of being a “coward” by trying to avoid public scrutiny and “slink through the back door” of Downing Street.Johnson, who was finally backed by more than half of Conservative lawmakers to be the new party leader has appeared on only one TV debate and granted a single short broadcast interview and one newspaper interview. Hunt says the public want a “fair and open contest, not one that one side is trying to rig to avoid scrutiny.”He added: “One of the strengths of our system is that we scrutinize our politicians with more intelligent ferocity than anywhere else in the World. But in this case it just isn’t happening. Nothing could be worse for a new prime minister in these challenging times than to come to power with a fake contest.”FILE - Britain's Foreign Secretary Jeremy Hunt leaves 10 Downing Street, London, Britain, Nov. 13, 2018.Hunt’s aides say it is especially important for May’s successor to be scrutinized closely as they will be entering Downing Street not via a general election but through a party vote with their democratic legitimacy questioned because the country as a whole would not have had any say in their selection.Hunt says he doesn’t want to quiz Johnson, a former two-term London mayor and short-lived foreign minister, about his private life, but about his claim that he can “guarantee” Britain will leave the European Union by October 31, the latest deadline for the country’s exit from the bloc.But while Hunt is avoiding focusing directly on Johnson’s character, some of his aides are happily fanning the flames and briefing reporters behind the scenes that the frontrunner’s highly colorful private life represents a security risk. It could leave him vulnerable to leaks about past behavior and even open to blackmail by foreign powers, they charge.The accusation has infuriated Johnson supporters, who say the explosive argument between Symonds and Johnson was just a normal domestic “tiff” apparently provoked by Johnson spilling red wine on a sofa. They maintain the quarrel was blown out of proportion by neighbors who are politically motivated. The police left without charging anyone.Nonetheless, the dispute, which is depressing Johnson’s poll numbers, is contributing to a picture of a Conservative party in disarray and fearful that it is facing an existential crisis because of Brexit. It comes as pro-European Union Conservatives have started to plot a strategy to wreck a Johnson-led government, if he seeks to take Britain out of the European bloc without an exit deal approved by Brussels.Sharp divisions between Brexiters and pro-EU lawmakers wrecked Theresa May’s prime ministership and there are growing signs that it might quickly upend Johnson’s, too, if he wins the leadership race.Britain's Prime Minister Theresa May speaks to the media outside her official residence of 10 Downing Street in London, April 18, 2017.May’s fate was sealed when the British House of Commons declined three times to approve a Brexit Withdrawal Agreement she negotiated with Brussels — a deal vehemently opposed by a third of her own parliamentary party on the grounds it would keep Britain subservient to EU regulations and rules and prevent it from negotiating trade deals bilaterally with non-EU countries.
Europhiles are also opposed to the deal. Several top Conservatives who want to retain close ties with the EU have warned they could join opposition parties in a non-confidence vote in the House of Commons and bring down a Johnson government.A former Conservative attorney-general, Dominic Grieve, said: “If the new prime minister announces that he is taking the country on a magical mystery tour towards an October 31 crash-out, I don’t think that prime minister is going to survive very long.”Even Britain’s current top finance minister, Philip Hammond, has warned the next prime minister “will not survive,” if they seek to leave the EU without a deal. He has declined publicly to rule out that he would vote with opposition parties against Johnson, if he sought a no-deal Brexit.Britain’s fractious Conservatives are ruling as a minority government, and they rely on the support of a Northern Irish party to give them a working majority of just three in the House of Commons. A handful of Conservative standouts could trigger a chain of events leading to an early election the Conservatives are unlikely to win.Johnson’s supporters say he remains the favorite of party activists because he has the star quality the party needs to win elections and curb both the populist threat from Nigel Farage’s new Brexit party and combat Labour’s Jeremy Corbyn.They also claim he has the political inventiveness to break the Brexit deadlock that has turned traditional British politics upside down and might even have the ability to persuade hardline Brexiters to accept a compromise and something short of their objective to break completely with the EU.
↧
Ethiopia Amhara 'coup ringleader killed'
Police shoot dead the general following Saturday's foiled coup in Amhara region, state media reports.
↧
↧
Bata la Paul Pogba usipime unaambiwa
MAISHA yanahitaji nini tena kwa Paul Pogba. Anaishi kwenye jumba la Pauni 2.9 milioni. Ana ndege yake maarufu na ndinga za kifahari kama zote, zikiwa na thamani ya Pauni 1.6 milioni.
↧
Kucheza samba mnashindwa, mnataka nini tena...!
Karibuni tena kwenye jamvi la Anti K, kama kawaida huwa tunakutana hapa siku ya Jumapili kupeana mawili matatu yahusuyo masuala ya huba na mengine ya kijamii.
↧
Neymar pasua kichwa Barcelona
PHILIPPE Coutinho na Ousmane Dembele huenda wakatumika na Barcelona kama kete yao katika kumnasa Neymar kutoka Paris Saint-Germain ili kumrudisha Nou Camp, kwa mujibu wa ripoti zinavyodai.
↧
Liverpool wataka kumrudia Coutinho
LISEMWALO ni kwamba Liverpool wanapiga hesabu za kuangalia uwezekano wa kumrudisha kiungo wa Kibrazili, Philippe Coutinho kwenye chama lao dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi huko Ulaya.
↧
↧
HE! Pogba kampigia simu Sarri huko
UTASIKIA mengi kwenye kipindi hiki cha usajili. Kinachosemwa kwa sasa ni kiungo Paul Pogba amempigia simu Kocha Maurizio Sarri akimtaka afanye kweli kumsajili ili aachane na Manchester United dirisha hili la majira ya kiangazi huko Ulaya.
↧
VIDEO: Lugola atoa maelekezo ukaguzi wa wanawake polisi
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola amesema mtuhumiwa mwanamke anayefikishwa kituo cha polisi hapaswi kukaguliwa na askari wa kiume, kwamba kazi hiyo inapaswa kufanywa na askari wa kike, mgambo wa kike au mke wa askari aliyepo karibu na eneo husika.
↧
Iran yadai shambulizi la mtandao la Marekani halikufanikiwa
Waziri wa Mawasiliano wa Iran, Mohammad Javad Azari amesema kuwa mashambulio ya mtandao yaliyofanywa na Marekani dhidi ya mifumo yake ya komputa inayotumika kufyatua makombora hayakufanikiwa
↧
Boris ‘akacha’ mdahalo wa kampeni Uingereza
Mgombea wa kiti cha Waziri Mkuu nchini Uingereza, Jeremy Hunt amemtupia lawama mpinzani wake Boris Johnson kuwa anakwepa kushiriki midahalo ya ana kwa ana kuhusu hatma ya mchakato wa Brexit.
↧
↧
VIDEO: CCM yajihakikishia ushindi chaguzi zijazo, yataja mikoa ya Arusha, Kilimanjaro
Ikiwa imesalia miezi kadhaa kufikia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2019, Chama cha Mapinduzi (CCM) imejihakikishia ushindi wa kishindo kutokana na mtaji mkubwa wa wanachama wake.
↧
Waziri Kamwelwe asema Serikali ya Tanzania kuwapa mikopo wataalamu wa anga
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema yupo katika hatua za mwisho ya mazungumzo na Wizara ya Elimu ili itoe mikopo kwa wataalamu wanaosomea sekta ya anga.
↧
'Kiongozi wa mapinduzi' Amhara, Ethiopia auawa na polisi
Bendera zinapepea nusu mlingoti ,Waziri Mkuu atangaza siku moja ya maombolezo.
↧