Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live

VIDEO: Kagere alivyofunika Simba Day Taifa

$
0
0
Klabu ya Simba imewafurahisha mashabiki wake baada ya kuilaza Power Dynamos ya Zambia mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, yakifungwa na Meddie Kagere.

Mgogoro: Nyumba, mbuzi vyachomwa moto

$
0
0
NYUMBA ya Tryphone Jeremiah, mkazi wa kijiji Kijiji cha Kishanda B, kilichopo kwenye Kata ya Kibale, Kyerwa mkoani Kagera imechomwa moto. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea).   Pia wanyama wake wameuawa pamoja na migomba, mikahawa yake kukatwakatwa. Waliofanya tukio hilo ni wanakijiji wenzake kutokana na mgogoro wa ardhi. Taarifa zaidi kutoka kijijini humo zinaeleza, wanakijiji hao zaidi ya 250 ...

Tanta sign Cranes midfielder Taddeo Lwanga

$
0
0
Tanta the newcomer to the Egyptian premier league Tanta Sc have signed 3-year-contract with Uganda international midfielder Taddeo Lwanga From Vipers SC. Lwanga has played for three local Ugandan teams throughout his professional career including Express FC, SCV Kampala and more recently Vipers SC. Moreover  his most successful stint came with  Vipers SC as he guided them to the 2017/18 League title, a quarterfinal slot in the Cecafa Kagame Cup and finished second in the Uganda Cup in the same season. The 25-year-old made two appearances against Zimbabwe and Egypt in the 2019 AFCON when Now after joining  Tanta, Lwanga became their 15th signing during this transfer window. Taddeo Lwanga Cranes midfielder

Watu wasiojulikana wafanya mauaji Kahama, huku Imani za kishirikina zikihusiswa na mauaji hayo

$
0
0
NA SALVATORY NTANDUWatu wasiojulikana wamemvamia na kumuua papo hapo Mwenyekiti wa kitongoji cha Nyambula kata ya Ngongwa, Halmashauri ya mji wa Kahama Hamisi Kadilanha Salehe(58) kwa kumkata na kitu  chenye ncha kali wakati akiwa amelala na mkewe Shija Mkela Maziku(45).kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa  Shinyanga ACP Richard Abwao, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo nakusema kuwa,tukio hilo jana  majira ya saa mbili usiku ambapo watu hao walitekeleza mauaji hayo na kisha kumjeruhi shija Mkela Maziku.Amesema chanzo cha tukio hilo kinasadikiwa ni imani za kishirikina kutokana na tukio la kupigwa na radi mwezi wa Februari mwaka huu ambapo ilisababisha kifo cha mdogo wake na marehemu Mhoja Kadilanha Salehe(45) na mkewe Pili Tabu Mabula(36)na wengine waliokuwa nao hawakupata madhara kutokana na radi hiyo.Amefafanua mbinu iliyotumika ni kuvunja mlango na kumvamia akiwa amelala chumbani kwake na mkewe nakuongeza mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya Halmashauri Mji wa Kahama.Kamanda Abwao amesema  katika tukio hilo watu waliwajeruhi watu wawili ambao ni mke wa marehemu Shija Maziku na Dada yake Pili tabu Mabula ambao wote wanaendelea kupatiwa matibabu kwenye Hospitali ya Halmashauri ya mji.Ameongeza kuwa jeshi la polisi kwa kushirikina na wananchi linaendelea kuwatafuta watu hao walifanya mauji na watakapobainika watachukuliwa hatua za kisheria kama ambavyo wamekuwa wakichukuliwa watu wengine wanaojichulia sheria Mkononi.

Wafanyabiashara Washauriwa Kuwekeza Kwenye Viwanda Vya Mafuta Ya Kula Na Sukari

$
0
0
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-SimiyuWafanyabiashara nchini Tanzania na nje ya nchi wametakiwa kuwekeza katika viwanda vya uchakataji wa mazao mbalimbali yakiwemo miwa na alizeti.Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo leo Tarehe 6 Agosti 2019 wakati akizungumza kwenye hafla ya ufunguzi wa kongamano la fursa za Kilimo biashara katika viwanja vya Nyakabindi kwenye maonesho ya Sikukuu ya wakulima (Nanenane) katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.Mhe Hasunga amesema kuwa endapo wakulima watawekeza katika Kilimo cha alizeti ni wazi kuwa wataimarisha upatikanaji wa mafuta ya kula yanayotokana na zao hilo hivyo kuondokana na dhana ya uagizaji wa mafuta kutoka nje ya nchi.Alisema kuwa Tanzania inauhitaji wa mafuta ya kula kiasi cha Tani 570,000 lakini pamoja na kuwa na ardhi nzuri na yenye rutuba lakini juhudi za uzalishaji bado ni ndogo kwani kama nchi inazalisha Tani 250,000 pekee.Alisema kuwa kiasi cha Bilioni 678 zilitumika mwaka 2018 kuagiza mafuta ya kula kutoka nje ya nchi ilihali kuna uwezo wa kuzalisha kwa wingi zao hilo na fedha ambazo zinatumika kuagiza  zingeweza kutumika katika kutekeleza miradi mingine.Kuhusu Sukari, Waziri huyo wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga amesema kuwa Tanzania ina uhitaji wa sukari kiasi cha Tani 675,000 ambapo Tani 175,000 kati ya hizo ni sukari za viwandani ilihali kiasi kilichosalia ni sukari ya kawaida, lakini uwezo wa nchi ni kuzalisha Tani 359,000 pekee.Alisema kuwa ni jambo la ajabu kuagiza sukari nje ya nchi  kwa kutumia gharama kubwa ilihali kuna maeneo mazuri kwa ajili ya kilimo na kuzalisha miwa.Aidha, amewasihi wakulima kuzalisha miwa kwa wingi kwani ni miongoni mwa mazao yanayohitajika zaidi katika biashara sambamba na kufanya mabadiliko katika sekta ya Kilimo kupitia mkazo wa Programu ya kuendeleza sekta ya Kilimo awamu ya pili (ASDP II).Kongamano hilo la fursa za Kilimo biashara katika viwanja vya Nyakabindi kwenye maonesho ya Sikukuu ya wakulima (Nanenane) katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu limefunguliwa na Waziri Mkuu mstaafu wa serikali ya awamu ya nne ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda.MWISHO

Waziri Jafo Akabidhi Pikipiki 23 Kwa Maafisa Maendeleo Kata Kwa Jiji La Dodoma.

$
0
0
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Seleman Jafo ameshiriki kwa pamoja kikao cha Baraza la madiwani jijini Dodoma na kukabidhi pikipiki   23 kwajili ya maafisa maendeleo ya kata na kulipongeza jiji hilo kwa kazi kubwa linazofanya..Waziri jafo ameyasema hayo Jijini hapa katika kikao cha Baraza la Madiwani pamoja na kukabidhi pikipiki  kwa maafisa hao, huku akiwataka madiwani hao kuwa na upendo ili kuweza kuipelekea Dodoma mbele.Aidha, Waziri jafo amewataka kutokubezana,kunyong’onyeshana ,unyanyapaa kwani kuna baadhi ya watu katika maeneo mengine wamekuwa na tabia ya kunyanyapaa wenzao na kwa kufanya hivyo si sawa.  Katika hatua nyingine Waziri jafo amempongeza mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma  Godwini Kunambi ,kwa kazi kubwa anayoifanya , kwani katika wakurugenzi  wanaojitahidi, amekuwa akifanya vizuri katika uongozi wake.   Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma Bwana Godwin Kunambi amesema kuwa uchangiaji wa miradi ya maendeleo umeongezeka  kutoka shilingi Bilioni 13.590  kwa mwaka wa fedha 2017/2018 hadi kufikia shilingi Bilioni 54.352 kwa mwaka wa fedha 2018/2019  sawa na ongezeko la asimia 74.9%.  Mbali na hilo kunambi amesema halmashauri inajukumu jingine la kustawisha makao makuu ya nchi,huku akisema katika mwaka wa fedha 2018/2019 halmashauri ilikisia kukusanya  na kupokea jumla ya shilingi Bilioni 159,Milioni 467,35 elfu 337.  Patrobas Katambi ni mkuu wa wilaya ya Dodoma ametumia kikao hicho kumpongeza waziri jafo ,kwa kazi kubwa ambayo anaifanya  pamoja na na kusema kuwa katika utawala bora wamekuwa wakisimamiana vizuri kuweza kuhakikisha kuwa sheria,kanuni ,taratibu,kanuni ,miongozo na maagizo ya viongozi yanafuatwa.   Hatahvyo, Kunambi amesema bajeti ya Halmashauri iliongezeka kutoka  shilini Bilioni 20.798 kwa mwaka wa fedha 2017/2018 hadi shilingi Bilioni 67.149 kwa mwaka wa fedha 2018/2019 sawa na ongezeko la asilimia 69.02% ya makadirio ya mapato ya ndani.

Magazeti Ya Leo Jumatano 7 August 2019, Hardnews, Udaku Na Michezo

UN members sign treaty on mediation in trade disputes

$
0
0
The treaty aims to improve the international trade and investment environment. The United States and China signed the treaty at a time they are locked in an escalating trade war.

StanChart launches cash deposit machines

$
0
0
Standard Chartered bank yesterday launched Cash Deposit Machines Services (CDMs) for its large and medium clients who operate businesses with a turnover of Sh100 million.

Stanbic, Chinese bank strike deal

$
0
0
Stanbic Bank Tanzania, Industrial Commercial Bank of China (ICBC) and the Tanzania Tourism Board (TTB) have partnered in a banking initiative that will reward Chinese who visit Tanzania.

CRDB Bank profit jumps by 98pc in first 2019 half

$
0
0
CRDB Bank Plc’s profit for the first half of 2019 jumped by 98 per cent, fuelled largely by yields from its investment in government securities and forex dealings.

Telecoms companies are reducing the digital gender gap across Africa

$
0
0
The GSMA 2019 Mobile Gender Report shows that in sub-Saharan Africa, women are 13 per cent less likely to own a mobile phone and 41 per cent less likely to use mobile internet than men.

US Supreme Court to hear 1998 embassy bombings case

$
0
0
Lawyers representing hundreds of Kenyan and Tanzanian victims of the 1998 embassy bombings are optimistic that the United States Supreme Court will rule to award a total of $4.3 billion to their clients.

Uganda's Bobi Wine charged with 'annoying' Museveni

$
0
0
A Ugandan court on Tuesday charged pop star turned leading opposition figure Bobi Wine with "annoying" President Yoweri Museveni, his lawyer told AFP.

Watanzania tulipe kodi ili kuisadia Serikali katika jitihada za kuleta maendeleo

$
0
0
Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kwa kutambua umuhimu wa kodi, imekuwa ikihimiza ukusanyaji wa mapato pamoja na kupambana na rushwa na ufisadi ili kupunguza ukali wa maisha kwa Watanzania.

Benki ya Uchumi yatoa gawio la asilimia 8 kwa wanahisa

$
0
0
Benki ya Uchumi imetoa gawio la asilimia 8 sawa na Shs 80 kwa kila hisa kwa wanahisa wake ikiwa ni sehemu ya faida ya benki hiyo kwa mwaka 2019.

Tekno matatani kuwarekodi wasichana wakiwa na mavazi ya utupu mtaani

$
0
0
Mwanamuziki wa nchini Nigeria, Tekno Miles anashikiliwa na polisi jijini Lagos kwa tuhuma za kuwarekodi wasichana wakicheza nusu utupu mtaani.

Ajifungulia kwenye teksi jijini Nairobi

$
0
0
Jana Jumanne, Agosti 6, 2019 mwanamke mmoja alijifungua mtoto mchanga ndani ya taxi nje ya ofisi kuu za kampuni ya Nation Media Group jijini Nairobi.

MoCU ni Chuo pekee kinachotoa huduma za elimu na ushauri wa kitaalamu katika masuala ya ushirika nchini

$
0
0
Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kimetokana na kupandishwa hadhi kwa kilichokuwa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi. Kihistoria,kilianzishwa rasmi kwa Sheria ya Bunge Namba 32 ya mwaka 1964 (iliyofutwa) kama Chuo cha Ushirika Moshi. Mwaka 2004 Chuo cha Ushirika Moshi kilipandishwa hadhi na kuwa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCoBS) chini ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA).

Kaseja anaendelea kutupa somo la kujifunza

$
0
0
MWEZI wa Agosti mwaka huu umekuwa na matukio mengi hasa katika upande wa soka kwenye timu za taifa na hata klabu, kwa kuweka rekodi mbalimbali na matukio ambayo yameendelea kufanyika ambayo kwa namna moja au nyingine yameendelea kuwa alama katika mchezo huu.
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>