An explosion at the Danish Tax Agency was a "deliberate attack," police say. However, authorities are still trying to determine who exactly was behind it.
↧
Denmark: Police probe blast at tax office in Copenhagen
↧
Kashmir: The world's most dangerous conflict
The dispute over Kashmir has poisoned relations between India and Pakistan since the two became independent countries in 1947. Here's an overview of how tensions have grown more dangerous over the past seven decades.
↧
↧
Sh575bn is spent each year on boosting ports
The government spends an average of $250 million (Sh575 billion) each year to enhance capacity of six major ports to support development and industrial growth.
↧
Nairobi woman gives birth in a taxi
A woman on Tuesday August 6, gave birth inside a taxi, outside the headquarters of Nation Media Group, in Nairobi.
↧
Vice President launches new laboratory at Sokoine University
Vice President Samia Suluhu Hassan today laid a foundation stone for construction of a modern laboratory at Sokoine University of Agriculture.
↧
↧
Inflation rate in Zanzibar drops by 0.3 per cent
Inflation rate in the Isles has dropped from 2.7 per cent recorded in June to 2.4 recorded last month.
↧
Uchaguzi Serikali za Mitaa nchini Tanzania giza nene kwa vyama vya upinzani
Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kikieleza kupata ratiba na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, vyama vya upinzani vimesema vipo njia panda na havijui kinachoendelea kuhusu uchaguzi huo.
↧
Coutinho aziingiza vitani Arsenal, Spurs
Klabu ya Arsenal imejipanga kunasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Barcelona, Philippe Coutinho kwa mkopo.
↧
Maguire apewa jezi namba tano Manchester United
Manchester United imethibisha beki wake mpya Harry Maguire atakuwa akivaa jezi namba tano katika msimu huu.
↧
↧
Rwanda, Congo Restrict Unnecessary Border Travel Amid Ebola
Rwanda and Congo are discouraging travel across their border, as officials try to prevent further spread of the highly contagious Ebola virus.
Travel restrictions are part of measures taken by Rwandan and Congolese health officials who met in Rwanda late on Tuesday.
According to a statement issued at the end of the meeting, people traveling across the border for non-essential reasons such as attending workshops and religious crusades will need clearance from both governments.The Ebola outbreak in eastern Congo has killed more than 1,800 people.Rwanda briefly closed its border with Congo last week after a patient tested positive for Ebola in Goma, a Congolese city of more than 2 million people about 7 kilometers (4.5 miles) from Rwanda's main border town of Gisenyi.
↧
Mbunge Bobi Wine wa Uganda ashtakiwa kwa kumkasirisha Rais Yoweri Museveni
Mbunge wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi Ssentamu ambaye ni mashuhuri zaidi kwa jina la Bobi Wine ameshtakiwa kwa kosa la kumkasirisha na kumkejeli Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni.Mbunge huyo na wenzake wanatuhumiwa pia kuurushia mawe msafara wa Rais Yoweri Museveni wakati wa mkutano wa kampeni za uchaguzi katika mji wa kaskazini wa Arua mwaka uliopita wa 2018. Aidha shitaka hilo jipya limeongezwa katika orodha ya mashtaka mengine yanayomkabili Mbunge huyo wa upinzani likiwemo lile la uhaini. Taarifa zaidi zinasema kuwa, iwapo Bobi Wine atapatikana na hatia atakabiliwa na kifungo cha maisha jela.Bobi Wine bado anakabiliwa na mashtaka katika mahakama nyingine kwa kuongoza maandamano dhidi ya sheria inayoweka kodi katika mitandao ya kijamii pamoja na biashara zinazofanywa kupitia malipo ya simu za mkononi.Halikadhalika, Mbunge hivi karibuni alitangaza nia yake ya kugombea kiti cha urais katika uchaguzi ujao.
↧
Korea Kaskazini yasema majaribio ya makombora ni onyo kwa Marekani
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema majaribio ya makombora yaliyofanywa na nchi yake hapo jana, yalikuwa onyo kwa Korea Kusini na mshirika wake Marekani. Shirika la Habari la Korea Kaskazini KCNA limemnukuu Kim akisema kuwa onyo hilo ni jibu kwa mazoezi ya pamoja ya kijeshi yanayofanywa na vikosi vya Marekani na Korea Kusini. Awali, wizara ya mambo ya nje ya Korea Kaskazini ilisema kuwasili kwa nyambizi ya Marekani yenye silaha za nyuklia katika bandari ya Korea Kusini, ni sababu tosha ya nchi hiyo kuimarisha mpango wake wa silaha, na kuongeza kuwa sababu zinazotolewa na Marekani pamoja na Korea Kusini kutetea mazoezi yao ya pamoja, haziondoi azma yao ya uchokozi. Mapema jana Korea Kaskazini iliyarusha makombora mawili ya masafa ya kati kutoka mkoa wa Kusini wa Hwanghae, na makombora hayo yalisafiri umbali wa km 450 kabla ya kutua Baharini. Chini ya vikwazo vya Umoja wa Mataifa, nchi hiyo hairuhusiwi kuyafanya majaribio hayo.
↧
Ronaldo afichua siri yaushangiliaji wake
TURIN, ITALIA. SI unaijua ile staili ya kushangilia la Cristiano Ronaldo? Sasa je unajua ilianzia wapi? Straika huyo amefunguka kwamba aliianzisha kwa mara ya kwanza baada ya kuwatungua bao Chelsea.Straika huyo Mreno hivi sasa anajulikana kwa aia yake hiyo ya ushangiliaji ambayo huruka juu na kugeuka kabla ya kurudisha mikono kwa nyuma huku akimalizia na ukulele wa "Sii" – kila anapofunga goli.Nyota huyo mwenye umri wa miaka 34 aliitumia staili ya ushangiliaji mara 21 akiwa na Juventus kwenye Serie A msimu uliopita, lakini mashabiki wa soka wa nchini Marekani ndiyo waliokuwa wa kwanza kuishuhudia staili hiyo.Akizungumza na YouTube ya Soccer.com, mshindi huyo mara tano wa tuzo ya Ballon D'or alibainisha aliitumia staili hiyo kwa mara ya kwanza wakati akichezea Real Madrid katika mechi ya kirafiki dhidi ya Chelsea."Ndiyo, nilikuwa Marekani na tulikuwa tukicheza dhidi ya Chelsea na sijui ilitokea wapi. Nilifunga tu goli na kisha kusema, 'sii!'" anakumbuka."Lakini ilikuwa tamu sana, niwe muwazi.
↧
↧
MwanzoSoka Mastaa hawa kuzibeba timu michuano ya Caf
KIPUTE cha michuano ya kimataifa kinatarajia kuanza mwishoni mwa wiki hii kwa Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho kwa wawakilishi wetu wanne kuanza kutupa karata zao uwanjani huku Yanga pekee ikianzia nyumbani.Yanga itaikaribisha Township Rollers katika Uwanja wa Taifa, huku Simba ikikipiga na UD Songo (Ligi ya Mabingwa) wakati KMC itakwaana na AS Kigali ilhali Azam FC ikitifuana na Fasil Kanema (Kombe la Shirikisho).Hakuna kisichojificha ndani ya timu hizo kwa usajili uliofanywa ni kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao kwa michuano hiyo, na hapa Mwanaspoti linakuletea orodha ya mastaa ambao wanatazamwa kama wakombozi kwenye timu hizo.MEDDIE KAGERE- SimbaNdiye mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu uliopita aliyepachika nyavuni mabao 23, na ndiye mchezaji bora wa mwezi wa nane na wa pili. Huyu alikuwa msaada mkubwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu uliopita kwa Simba.Kagere katika orodha ya wafungaji bora alikuwa anashika nafasi ya pili akiwa na mabao sita huku kinara akiwa na mabao saba ambaye ni Moataz Al Mehdi wa Al Nasr ambaye timu yake ilitolewa hatua za awali kabisa kwenye michuano hiyo.Pia Soma Maguire apewa jezi namba tano Manchester UnitedMaguire apewa jezi namba tano Manchester United Mshambuliaji mkongwe Diego Forlan astaafu sokaMshambuliaji mkongwe Diego Forlan astaafu soka Lowry atoboa siri ya Leonard kuondoka TorontoLowry atoboa siri ya Leonard kuondoka Toronto Familia yamrudisha Rooney EnglandFamilia yamrudisha Rooney EnglandFRANCIS KAHATA - SimbaAlikuwa kwenye kikosi cha timu ya Kenya kilichoichapa Taifa Stars 3-2 kwenye michuano ya Afcon mwaka huu kule Misri. Huyu ni kiungo tegemeo kwenye klabu yake ya Gor Mahia kama ilivyo kwa Kagere msimu uliopita.Kahata alitupia bao muhimu kwenye mchezo dhidi ya Super Sports United na kuiwezesha timu hiyo kuvuka hatua ya makundi kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho msimu uliopita.JOHN BOCCO -SimbaMsimu uliopita alifunga mabao 16 kwenye Ligi Kuu, huku safu ya Simba ndio ilikuwa ikiongoza kwa kufumania nyavu kwenye ligi. Amekuwa mchezaji tegemeo wa Simba na mwaka jana kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Mwadui alitupia mawili na kufikisha jumla ya mabao 100.Kuondoka kwa Emmanuel Okwi kwenye kikosi hicho kunampa nafasi nyingine nahodha huyo wa Msimbazi kufanya yake msimu huu na kuzidi kuwaaminisha mashabiki wao kuwa bado ni tegemeo lao.MAPINDUZI BALAMA - YangaMoja ya usajili ulioonekana kuzungumzwa sana na mashabiki jukwaani katika mchezo wa kirafiki kati ya Yanga na Kariobangi Sharks ni pamoja na Mapinduzi Balama, dogo aliyetua kutoka Alliance FC baada ya kuupigwa mpira mwingi na Kocha Mwinyi Zahera kummwagia sifa nyingi.Balama alitua Alliance mwaka 2015 akitokea Mtwivila FC ya Iringa wakati timu hiyo ikishiriki Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) na kuisaidia hadi kupanda Ligi Kuu na kufanya makubwa msimu uliopita kiasi cha kumkuna Zahera aliyemhitaji.FAROUK SHIKALO - YangaKipa huyu amesajiliwa kutoka timu ya Bandari ya Kenya inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo (KPL). Kuondoka kwa Benno Kakolanya ndani ya Yanga kuliwapa nafasi ya kusaka mwingine kwa ajili ya michuano ya Ligi Kuu na ile ya kimataifa.Shikalo anao uzoefu mkubwa kwenye soka la ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, kwani amewahi kuzitumikia timu za Posta Rangers FC, Muhoroni FC, Posta Rangers FC na Tusker FC zote za Kenya.PATRICK SIBOMANA - YangaYupo kwenye kikosi cha Taifa la Rwanda tangu mwaka 2015, na msimu huu ametua Yanga akitokea Mukura Victory. Katika michezo ya kujiandaa na mwanzo wa msimu alikuwa na mabao manne akifuatwa na Juma Balinya ‘JB’ (3) sawa na Mrisho Ngassa.Mnyarwanda huyo (22) anayecheza nafasi ya kiungo na Mrundi Issa Birigimana ambaye ni mshambuliaji walikamilimilisha usajili wao kwa kusaini miaka miwili kuitumikia Yanga SC.Sibomana alikuwa mchezaji wa tatu kumwaga wino Yanga baada ya Papy Tshishimbi na Issa Bigrimana kumalizana na timu hiyo.IDDY SELEMAN ‘NADO’- Azam FCAzam FC ilikamilisha usajili wa winga huyo kutoka Mbeya City baada ya kocha wa mpya wa kikosi hicho, Etienne Ndayiragije kupendekeza jina la winga huyo kutokana na kufanya vizuri msimu uliopita aliofunga mabao 10.Nado alikuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa msimu huu kwa kuanguka wino wa miaka miwili kuitumika Azam FC.SELEMAN NDIKUMANA - Azam FCKwa mara ya kwanza kutua katika ardhi ya Tanzania ilikuwa mwaka 2006 alipokuwa akiichezea Simba, hivyo ukongwe na uzoefu wake ni faida kubwa kwa Azam ambayo wiki hii itakuwa ugenini kucheza na Fasil Kanema kwenye Kombe la Shirikisho.Azam imemnasa kwa kandarasi ya mwaka mmoja kutoka Al Adalah ya Saudi Arabia. Mrundi huyo pia amekipiga kwenye vikosi vya Molde (Norway) na FK Tirana (Albania).RICHARD DJODI - Azam FCMsimu uliopita alikuwa kwenye kikosi cha Klabu ya Ashanti Gold na Azam FC imemsajili kiungo huyo wa Ivory Coast kwa mkataba wa mwaka mmoja.Djodi anayemudu kucheza nafasi zote za ushambuliaji, alifanikiwa kufunga jumla ya mabao 17 na pasi 13 za mwisho katika mechi 35 alizoichezea Ashanti Gold huku katika mechi 12 za mwisho akipiga manne.SALIM AIYEE - KMC FCKwa sasa yupo kwenye kikosi cha timu ya taifa na alikuwa tishio kwa Meddie Kagere kwenye mbio za kufukuzia ufungaji bora wa Ligi Kuu msimu uliopita baada ya kumaliza ligi akiwa na mabao 18 huku Kagere akimaliza kinara na mabao 23.Aiyee alikuwa mfungaji tegemeo kwenye kikosi cha Mwadui kilichomaliza nafasi ya 17 kikiwa na pointi 44 na kikifunga mabao 47.JUMA KASEJA - KMC FCHuyu mkongwe ambaye ameitwa kwa mara nyingine kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania na mwishoni mwa wiki aliweza kuokoa michomo miwili ya penati kwenye mchezo dhidi ya Kenya kusaka nafasi ya Chan mwakani.Mlinda mlango huyo ana uzoefu wa kucheza michezo mingi ya kimataifa kuanzia kwenye klabu hadi timu ya taifa, na hilo litakuwa fahari kubwa kwa timu hiyo inaposhiriki kwa mara ya kwanza kwenye michuano ya kimataifa.BASALA BOKUNGU -KMC FCMwaka 2016 alikuwa kwenye kikosi cha Simba na sasa ni mara ya pili kurejea nchini kwa Mkongomani huyo anayecheza nafasi ya beki. Pia amewahi kuichezea TP Mazembe na Esperance huku KMC ikimnasa kutoka Groupe Bazano ya Congo.Mwaka 2017 wakati Simba ikitinga hatua ya fainali Kombe la Mapinduzi kwa kuichapa Yanga kwa mikwaju ya penalti 4-2, Bokungu ndiye aliyepiga mkwaju wa mwisho na kuifanya Simba kucheza fainali ambayo iliambulia kichapo.
↧
Benki ya Posta yaahidi kuwaunga mkono wakulima Lindi
Hadija Omary, Lindi
Benki ya Posta Tazania (TPB), Mkoa wa Lindi imesema itaendelea kuwaunga mkono
wakulima wa Mkoa huo moja kwa moja katika kuwapa mikopo ya pembejeo isipokuwa
wakulima wa bangi.
Hayo yameelezwa na Meneja wa benki hiyo Fluence Mushi, alipokuwa anatoa
maelezo kwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu juu ya namna benki
hiyo inavyoshiriki katika kuwasaidia wakulima wa Mkoa huo katika maonyesho ya
wakulima nane nane kanda ya Kusini
katika Viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi yanayoendelea hivi sasa.
Amesema kwa kutambua Shuguli zinazofanywa na wakulima benki hiyo imeamua
kutoa mikopo ya pembejeo na matrekta kwa wakulima yenye lengo la kuwasaidia
kuongeza tija ya uzalishaji katika kilimo chao.
Amesema kuwa wanazo akaunti maalumu za wakulima ambazo wanazifungua kwa
masharti nafuu bila kuhitaji picha wala fedha za kuanzia, lengo likiwa ni
kuwafanya wakulima walio wengi kufungua akauti ili kufanya usalama wa fedha zao
wakati wa mauzo ya mazao yao.
Akizungumza mara baada ya Kupata maelezo hayo kutoka kwa Meneja wa benki
hiyo Naibu waziri Kunyusa, aliushauri uongozi wa benki hiyo kulegeza baadhi ya
masharti wanayoyaweka katika uchukuwaji wa mikopo ili kutoa fursa kwa wakulima
walio wengi kuweza kukopa.
↧
Nigeria police question Tekno for pole dance in Lagos traffic
He insists he was just moving from one location to another during the filming of his music video.
↧
Algeria FA dismisses Mahrez medicine concerns
Concerns over medicine Riyad Mahrez took while on duty with Algeria is a "problem for Manchester City", says the Algerian Football Federation.
↧
↧
Afghanistan: Taliban car bomb kills several people in Kabul
The Taliban has claimed responsibility for a car bomb that has killed at least 14 people and well over 100 injured in the Afghan capital Kabul. Violence in the region has escalated ahead of crucial elections.
↧
UK trade delegation eyes post-Brexit deal with Trump
British ministers were in Washington on Wednesday hoping to fast-track a free trade deal with the US. Some experts warn the US could take advantage of a no-deal Brexit by forcing a hard-handed agreement.
↧
Alichosema mtoto wa dereva wa RC kabla ya kufariki
Muda mfupi kabla ya kifo cha Kasobi Shida (26) aliyefariki usiku wa kuamkia juzi Jumatatu Agosti 5, 2019 katika hospitali ya Mkoa wa Mara alitaka baba yake asishtakiwe kwa kosa lolote badala yake yeye ndiye achukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria na taratibu.
↧