Tangu Bunge la vyama vingi lianze mwaka 1995 wabunge wa upinzani ambao ni wachache bungeni wamekuwa wanalalamikia kiti cha Spika na kutofautiana naye au kudai wanaburuzwa na wenzao wa CCM.
↧