AudioMPYA: Chris Brown kaachia hii single aliyomshirikisha Wizkid…’Shabba’
Najua jina la Chris Brown sio geni masikioni mwa watu wanaopenda muziki, basi leo Julay 1, 2016 huenda ikawa ni good news kwa muziki wa Afrika, baada ya msanii kutoka Marekani Chris Brown kuachia...
View ArticleCCM wajitapa kuichukua Longido baada ya uchaguzi
Baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kutengua ushindi alioupata aliyekuwa mbunge wa Longido, (Chadema) Onesmo Ole Nangole, CCM Mkoa wa Arusha wamejitamba kuwa wako tayari kwa uchaguzi bila shaka.
View ArticleJoseph Kabila: Uchaguzi utafanyika muda ukifika
Rais Joseph Kabila wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amesema hakuna kitakachokwamisha kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu unaosubiriwa kwa hamu kubwa nchini humo licha ya kuongezeka kwa hofu...
View ArticleKasembe abwagwa, Cecil mbunge halali Jimbo la Ndanda
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara, imemthibitisha Cecil Mwambe (Chadema) kuwa ndiye mbunge halali wa Jimbo la Ndanda wilayani Mtwara na kutupilia mbali madai yaliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM,...
View ArticleUkawa katika misukosuko
Bunge la Jamhuri ya Muungano jana lilimalizika kwa wabunge wa vyama vya upinzani kutoka ukumbini kwa staili waliyosema inaonyesha “kifo cha demokrasia”, huku wenzao watatu zaidi wakiadhibiwa kwa makosa...
View ArticleMadiwani wataka elimu mifuko ya afya
Diwani wa Kabita, Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu Joseah Mgema amesema madiwani wanahitaji elimu zaidi ya kuwawezesha kujiunga na mifuko ya bima ya afya kwani wengi wao hawana bima hivyo...
View ArticleMCAMEROON AKABIDHIWA RASMI MAJUKUMU YA KUINOA SIMBA
Klabu ya Simba imemtambulisha rasmi kocha wao mpya Joseph Omog kama kocha mkuu wa Wekundu wa Msimbazi baada ya timu hiyo kudumu kwa muda mrefu chini ya Jackson Mayanja aliyeajiriwa kama kocha msaidizi....
View ArticleOpinion: Brexit blues and a country in meltdown after referendum
Surprise has turned to shock and utter confusion for many in the UK a week after the British voted to leave the EU. DW's Birgit Maass lives in London and describes her case of the "Brexit blues."
View ArticleVyombo vya habari Kenya vyashutumiwa kuzoretesha maudhui ya jamii
Utafiti wa halmashauri ya mawasiliano nchini Kenya kwa ushirikiano na shirika la utafiti la Momentrum Consulting Africa unaonesha kwamba wakenya saba kati ya 10 wanakhisi kuchukizwa na baadhi ya...
View ArticleEuro 2016: Ronaldo na Ureno wajikongoja kuelekea nusu fainali.
Katika mechi kali na ya kusisimua iliyochezwa jana kati ya Ureno na Poland, Ureno wamefanikiwa kuingia nusu fainali ya michuano ya UEFA EURO 2016 kwa mikwaju ya penati huku mchezaji bora wa Ureno...
View ArticleBalozi wa S Leone atekwa nyara Nigeria
Naibu balozi wa Sierra leone nchini Nigeria ametekwa nyara.
View ArticleCCM Z'bar yaendelea uhakiki wa mali zake
Na Is-haka Omar, Zanzibar.CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewataka wananchi wanaoishi katika maeneo yanayomilikiwa na chama hicho kuhakikisha wanafunga mikataba rasmi ili kuepuka usumbufu wakati...
View ArticleMashindano ya Tour de France yaanza
Mashindano maarufu duniani ya baiskeli maarufu kwa jina Tour de France, inaanza hii leo katika eno la Normandy kaskazini mwa Ufaransa.
View ArticleUS yatoa idadi ya watu waliouawa na ndege zisizo na rubani
Serikali ya Marekani imetoa idadi ya raia waliouawa katika mashambulizi ya ndege zisizokuwa na rubani za Kimarekani
View ArticleKigeugeu cha wabunge wa upinzani tangu mwaka 1995-(2)
Tangu Bunge la vyama vingi lianze mwaka 1995 wabunge wa upinzani ambao ni wachache bungeni wamekuwa wanalalamikia kiti cha Spika na kutofautiana naye au kudai wanaburuzwa na wenzao wa CCM.
View ArticleUCHAMBUZI: Uhuru wa wapinzani utawala wa JK uliwapa faida gani?
Rais John Magufuli amewataka wanasiasa wa vyama vya upinzani kutomwingilia wakati akitekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.
View ArticleUCHAMBUZI: Msimamo wa Nyerere na ukombozi wa mwanamke-2
Wiki iliyopita Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kiliandaa kongamano la wanataaluma (Intellectual Festival) juu ya maisha na utumishi wa Mwalimu Kambarage Nyerere. Tamasha hili lilikutanisha...
View ArticleTaliban chief: US forces must leave Afghanistan
Newly appointed Taliban leader Haibatullah Akhundzada has used his first public address to call on the US to withdraw from Afghanistan. The militant mullah took charge after his predecessor was killed...
View ArticleAustralians vote in hotly contested election
Australians have been voting to select their next prime minister. The election has been divisive, with an emphasis on hot-button domestic issues.
View ArticleEuro2016: Wales yaibwaga Ubelgiji
Timu ya soka ya Wales iliweka rekodi nzuri usiku wa Jumamosi katika historia ya soka nchini humo walipotoka nyuma na kuishinda Ubelgiji katika michuano ya Euro 2016
View Article