Rais John Magufuli amewataka wanasiasa wa vyama vya upinzani kutomwingilia wakati akitekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.
↧