Kumekuwapo na picha ambazo zimesambaa kuhusu ajali inayodaiwa kuhusisha basi la kampuni ya Ngorika na lingine la Ratco kwamba yamegongana uso kwa uso. Millardayo.com imempat kamanda polisi Pwani, Bonaventure Mushongi na ameeleza haya >>> ‘mpaka sasa hivi kulingana na mimi nilivyofuatilia bado sijaona, tumejaribu kufuatilia kila hatua, hawa waliotuma wanaweza wakatusaidia lakini mpaka sasa hivi […]
The post AUDIO: Polisi Pwani yazungumizia picha zinazosambaa kuhusu ajali ya Ngorika na Ratco eneo la Msata appeared first on MillardAyo.Com.
↧
AUDIO: Polisi Pwani yazungumizia picha zinazosambaa kuhusu ajali ya Ngorika na Ratco eneo la Msata
↧