$ 0 0 Mchezaji nyota wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela, vyombo vya habari nchini Uhispania vinaripoti.