Tambwe awatuliza mashabiki Yanga
NA ZAINAB IDDY, MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amis Tambwe, amesema atarejea uwanjani muda si mrefu, baada ya kuumia katika mechi iliyopita ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar,...
View ArticleMayanja akenua meno 32 Simba
NA SALMA MPELI, KOCHA Msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja, amechekelea kuongoza katika msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baada ya kuwaacha mbali watani wao wa jadi, Yanga. Simba wanaongoza...
View ArticleGermany: No additional arms to peshmerga 'for time being'
The defense ministry says it is not preparing additional weapon supplies to Kurdish peshmerga troops in northern Iraq. The Kurdish forces are involved in the newly-launched operation to retake the city...
View ArticleMahakama zaweka muda maalumu kesi za 'mafataki'
WILAYA ya Tunduru mkoani Ruvuma imetenga muda maalumu mahakamani kusikiliza kesi na mashauri yanayohusu wanaume wanaowapa mimba wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.
View ArticleVIDEO: ‘Alitajwa mke wa marehemu mmoja mimi nafahamu wako wanne au watano’-JPM
Leo October 17 2016 Rais John Magufuli ameongoza wananchi wa jiji la Dar es salaam kuuaga mwili wa aliyekuwa meya wa jiji hilo Dk. Didas Masaburi aliyefariki October 12 2016. Baada ya msomaji wa...
View ArticleGunmen Attack Niger Prison Holding Extremists, 1 Dead
Gunmen attacked a prison in Niger that holds jihadists early Monday and were repelled by security forces who killed an attacker, Niger's interior and public security minister said. Two guards were also...
View ArticlePopular Somali Newspaper Remains Closed
A popular Somali newspaper remains closed and its editor in detention for a second day in the capital, Mogadishu. Employees at the Xog-Ogaal daily newspaper said Somali government forces raided their...
View ArticleWanajeshi wa Iraq wakaribia Mosul
Jeshi la Iraq na wapiganaji wa kikurdi wanaendelea na mapigano makali kuelekea mji wa Mosul katika harakati za kuwafurusha wapiganaji wa Islamic State
View ArticleWalcott: Vita ya namba inaibeba Arsenal
LONDON, England Theo Walcott anaamini kugombania namba ndiyo sababu kubwa inayowafanya Arsenal kung’ara Ligi Kuu England, ambapo kwa kikosi hicho cha Arsene Wenger kina pointi sawa na vinara wa ligi...
View ArticleUPENDO KUSHINDA UFAHAMU [20]
Ilipoishia Jumamosi Roika alikuwa amepanga tena kusafiri kwa mara ya pili kumfuata mrembo wa dunia, Ramona Fika nchini Pakistani. Kwa akili ya kawaida ya binadamu isingeweza kufanya hivyo, ukizingatia...
View ArticleJiulize haya kabla ya kutaka kurudiana naye
IMEANDIKWA kwamba, mwenye kusamehe kwa kosa alilofanyiwa na mwenzake, huwa ni kipenzi cha Muumba. Kwa kuwa Mungu ni mwingi wa kusamehe, humfurahia binadamu mwenye tabia hii. Mbali na mambo mengine, ila...
View ArticleMchezaji wa Nigeria apigwa risasi na kufariki
Mwanasoka mmoja anayesakata dimba katika michuano ya ligi ya Nigeria, amepigwa risasi na kufariki nyumbani kwake
View ArticleNyumba ya Adolf Hitler kuvunjwa Austria
Nyumba nchini Austria ambayo Adolf Hitler alizaliwa inatarajiwa kuvunjwa ili kuzuia kuwa kituo cha wanachama wa Nazi
View ArticleA wooden scooter means survival
In the Democratic Republic of Congo, a wooden scooter called the chukudu transports everything from cement to farm produce. This is one man’s way of making a living.
View ArticleRed Monday… Mourinho ataendelea kuwa mteja wa Klopp?
MERSEYSIDE, England KIU ya kuuona mtanange wa mahasimu wawili wa Kaskazini Magharibi (North West derby) kati ya Liverpool na Manchester United, kuona kama Jose Mourinho atafuta uteja wake kwa Jurgen...
View ArticleGerman court sentences Facebook user to jail for xenophobic comments
A court in Würzburg in southern Germany has sentenced a man to jail for writing hateful comments against Jews and migrants. The punishment follows calls by German politicians to counter online hate...
View ArticleMachar: 'Committed to the peace agreement'
At least 60 people were killed in weekend fighting in Malakal, South Sudan. Rebel leader Riek Machar told DW he remains committed to the peace deal but bemoans a lack of assistance from the...
View ArticleNigerian Doctor Describes Moment When He Laid Eyes on Cousins Kidnapped by...
Dr. Allen Manasseh describes the moment when one of his cousins first saw him on Sunday at the official reunion ceremony for Chibok families in Abuja. "When she saw me, she could not say anything. She...
View ArticleMarubani wasitisha mgomo wao Kenya
Marubani katika shirika la ndege nchni Kenya, Kenya Airways wamesitisha mgomo wao uliotarajiwa kufanyika siku ya Jumanne
View ArticleWizara SMZ yakerwa wanafunzi kufeli
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema haijaridhishwa na kiwango cha ufaulu wa wanafunzi kwa mitihani ya kidato cha pili na cha nne na kuwataka walimu kubuni...
View Article