The Minister in the Prime Minister's Office (Policy, Parliament, Labour, Employment and people with disability) Ms Jenista Mhagama has assured that no members of four merged pension funds will lose his/her benefits following the decision by the government to merge the pension schemes.
↧
No one will lose his/her benefits following merging of pension funds; govt
↧
Case of man who attempted to bribe lands minister being investigated
Investigation in the case facing a businessman, Mohamed Kiluwa who allegedly attempted to bribe the Minister of Lands, Housing and Human Settlement Development Mr William Lukuvi with $40,000 (Sh90 million) is yet to be completed.
↧
↧
CHAMA CLATOUS, ‘REMEMBER THIS NAME’
NA ABDULAH MKEYENGE
NAMWOMBEA afya njema kiungo mpya wa Simba, Chama Clatous, raia wa Zambia. Chama amesajiliwa na Simba akitokea Dyanamos FC ya kwao. Sitamani majeraha yamkute mchezaji huyu.
Chama ametumia dakika 90 za mchezo wa kirafiki wa Simba dhidi ya Asante Kotoko kuwaonyesha mashabiki wa Simba kuwa yeye ndiye mfalme mpya wa dimba pale Msimbazi. Narudia tena. Namwombea asipate majeraha.
Chama hakai na mpira. Mpira kwake ni kama njia. Unapita tu kwenda kwingine. Anacheza juu ya viungo wawili wa Simba (James Kotei na Jonas Mkude). Anachokifanya ni kuurahisisha mpira.
Sikumbuki ni lini nimemuona kiungo wa namna hii wa ndani akicheza mbele ya mboni zangu. Nina kundi kubwa la marafiki zangu wanaocheza eneo lake, lakini hawatimizi majukumu ya kiungo wa mbele anavyotakiwa kuwa. Kila mmoja ana upungufu wake.
Rafiki yangu mmoja anaweza kupunguza watu, lakini hajui kupiga pasi sahihi kwa wakati sahihi. Rafiki yangu mwingine fundi wa mpira kama alivyo Chama, lakini anakaa na mpira. Huyu anachelewesha mashambulizi.
Lakini Chama sehemu ya kukupa pasi anakupa, sehemu ya kutembea na mpira anafanya hivyo. Ubongo wake una mawasiliano mazuri na miguu. Kuna kitu cha kujifunza hapa kwa rafiki zangu wa eneo hili.
Majeraha ni kitu kibaya sana kwenye mchezo wa mpira. Kuna wachezaji wengi mahiri wamekatisha ndoto zao kutokana na majeraha. Lakini kama Chama hatopata majeraha, wapinzani wa Simba watapata sana tabu. Ndiyo watapata sana tabu.
Na nilivyoitazama Simba ya msimu huu inakwenda kumzunguka yeye. Okwi atabaki kuwa mchezaji staa na muhimu ndani ya timu, lakini mipango ya timu kiufundi naiona ikienda kwa Mzambia huyu.
Huyu ndiyo ataamuru timu icheze kwa staili ipi. Ikimbie uwanjani, itembee au ipoe kabisa. Niliona akifanya hivi dhidi ya Asante Kotoko. Alipokimbia Simba ilikimbia na alipopoa Simba ilipoa. Simba mpya itajengeka kwake, kwenda kwa Kichuya, Okwi na wachezaji wengine.
Mfalme wa eneo la Chama ni mtoto wa Gisenyi Rwanda (Haruna Niyonzima). Haruna anapaswa kujitazama upya. Ujio wa Chama umekuja kuleta mageuzi ya mashabiki.
Hapa kama Haruna akiwa fiti, Simba itakuwa na viungo mahiri wa mbele ndani ya kikosi chake, lakini mpaka sasa Chama ni ‘most of them.’
Hata Haruna mwenyewe amemalizwa na majeraha mpaka sasa anaonekana na sura hii ya kuonekana kama mzigo klabuni. Kama Haruna akiwa vyema na Chama akawa hivi alivyo, Simba itakuwa imekamilika kwenye eneo la kiungo. Namwombea Chama asipate majeraha.
Kwake kuna mambo mengi ya kujifunza kwa hawa mastaa wetu wa ndani. Wachezaji wetu wajifunze jinsi jamaa anavyoupokea mpira na anavyoutendea haki. Si vibaya rafiki zangu wakaiba maufundi ya Mzambia huyu. Kubwa ni kuwataka watu walikumbuke jina hili.
The post CHAMA CLATOUS, ‘REMEMBER THIS NAME’ appeared first on Gazeti la Dimba.
↧
EMERY NI MOYES AU GUARDIOLA MWINGINE ENGLAND?
LONDON, England
HATIMAYE Ligi Kuu England imerejea na kubwa linalovutia ni mabadiliko yaliofanywa na baadhi ya timu.
Katika klabu sita ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kutwaa taji la Ligi Kuu England, ni mbili tu ambazo zimebadili makocha wake kwenye msimu huu ulioanza wiki iliyopita.
Chelsea hawako tena na Antonio Conte, ambaye aliiwezesha klabu hiyo kutwaa taji la Ligi Kuu na FA kwa misimu miwili aliyokuwa ndani.
Kila mmoja amekuwa na mawazo yake juu ya mabadiliko hayo yaliyotokea, ila ilikuwa inasubiriwa nini kitatokea baada ya Arsene Wenger kuachana na Arsenal.
Ni Unai Emery ambaye amekabidhiwa mikoba ya kuinoa Arsenal baada ya Wenger aliyedumu ndani ya timu hiyo kwa miaka zaidi ya 20.
Ni mabadiliko makubwa ambayo yametokea huku kila mmoja akijaribu kuangalia kwa undani zaidi kama ilivyotokea kwa mabingwa wa kihistoria nchini England, Manchester United.
Baada ya Sir Alex Ferguson kuachana na timu hiyo aliyokaa kwa miaka 26, Man United walimgeukia David Moyes na kumpa nafasi ya kuinoa klabu hiyo.
Moyes na Man United mambo yalienda kombo kwa kipindi cha miezi 10 tu kilitosha kutamatisha mikataba waliyosaini.
United walishindwa kunyanyuka zaidi ya kuendelea kwenda chini, viatu vya Sir Alex vilikuwa vikubwa kwa mrithi wake, Moyes.
UNAI NI MOYES MWINGINE?
Tangu uteuzi wake wa kuchukua nafasi ya Wenger ndani ya Arsenal, mashabiki wa kikosi hicho wanaonekana kugawanyika pande mbili.
Pamoja na Emery kushinda mataji akiwa na klabu alizowahi kufundisha, bado imani inaonekana kuwa ndogo kwa mashabiki wa Arsenal.
Kubwa zaidi kuelekea kwenye mabadiliko hayo kila mmoja amekuwa akimtaja Moyes kama mfano baada ya kuiangusha Man United, baada ya kurithi nafasi ya Sir Alex.
Inaonekana ni aina ya matukio yanayofanana na hilo la Wenger na Emery, kinachosubiriwa ni kuona kama kocha huyo mpya raia wa Hispania atakikimbia kivuli cha Moyes.
MBINU ZAKE
Ni muda gani Emery atachukua kuijenga Arsenal mpya? Pia, ni muda gani kocha huyo atatambua kuwa ameingiza miguu sehemu ambayo Wenger alikanyaga kwa zaidi ya miaka 20?
Katika mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester City ulitosha kutufungua macho kutambua kuwa anahitaji muda mrefu kuibadili timu hiyo yenye maskani London.
Lakini katika mchezo huo, ulitosha kumfanya kocha mkongwe nchini England, Sam Allardyce, kuamini Emery ana kazi ngumu ya kuifanya huko mbele.
Kwenye kipigo cha mabao 2-0 alichokipata kutoka kwa Man City kilikuwa kipimo sahihi kwake kuona jinsi atakavyojenga kikosi chake.
Ukiacha historia ya kutowahi kumfunga Pep Guardiola, wengi waliangalia jinsi Arsenal ya Emery itakavyocheza kupambana na mabingwa hao.
Lakini kila mmoja aliondoka kichwa chini kwa kuwa hakukuwa na jipya kutoka kwenye kikosi hicho, Arsenal ilikuwa ile ile iliyozoeleka.
Sikia hii, miaka 10 iliyopita, Pep Guardiola alisimama katika mchezo wa kwanza akiwa kocha wa Barcelona baada ya Frank Rijkaard kukinoa kikosi hicho kwa miaka mitano.
Katika mchezo wake wa kwanza Guardiola alipata kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Numancia, uliofuata alipata sare ya 1-1 dhidi ya Racing Santander.
Mashabiki wengi walipiga kelele aondolewe katika kikosi hicho sababu hawakujua ni kipi anafanya, lakini baada ya muda mfupi jina lake liliimbwa ndani ya Camp Nou kwa kuifanya timu hiyo kuwa tishio zaidi Ulaya na ulimwenguni.
Mchezo unaofuata Arsenal itasafiri hadi Stamford Bridge kuwafuata Chelsea, ni mchezo mwingine mkubwa na kipimo kwa Emery, baada ya kufungwa mchezo wa kwanza.
Je, kuna kitu kipya kitaonekana? Tusubiri ikiwa hata Chelsea ya Maurizo Sarri ipo katika majaribio makubwa.
The post EMERY NI MOYES AU GUARDIOLA MWINGINE ENGLAND? appeared first on Gazeti la Dimba.
↧
SULTAN SULEIMAN MALKOCHOGLU NI MMOJA WA MATAJIRI WAKUBWA NCHINI UTURUKI
MSOMAJI wa safu hii natumai tuko pamoja katika mwendelezo wa kuwafahamu wahusika wakuu katika tamthilia ya Sultan Suleiman.
Tumewaona Sultan Suleiman, mke wake, Hurrem Sultana, Waziri wake mkuu, Ibrahim Pasha ambaye kwa sasa anaugulia maumivu ya kuondoa sumu kwenye mwili wake kupitia kisima cha ajabu.
Leo nakuletea historia ya mlinzi binafsi wa Sultan Suleiman, Malkochoglu ambaye jina lake Kamili ni Burak Özçivit, huyu ni mwigizaji wa Kituruki na mwanamitindo. Amepata mafanikio na kupendwa mno kutokana na namna alivyocheza kwenye tamthilia ya Sultan na Calikusu.
Licha ya sifa hizo lakini pia ni maarufu mno katika masuala ya mitindo ndani na nje ya Uturuki.
Malkochoglu amezaliwa Desemba 24,1984 huko Instanbul, nchini Uturuki. Amesoma Shule ya Sekondari Kazim Ismen baada ya kuhitimu amesoma zaidi masuala ya sanaa katika Chuo cha Marmara.
Kabla hajaingia katika sanaa ya uigizaji alikuwa akitamba katika masuala ya mitindo miaka ya 2000 na 2005 na mwaka 2010, safari yake ya uigizaji ikaanza rasmi ambapo alifanikiwa kuigiza katika tamthilia mbalimbali nchini humo.
Amepata tuzo mbalimbali za sanaa ambapo mwaka 2014, alipata tuzo ya mafanikio, mwaka 2016 akapata tuzo ya mwigizaji mwenye mafanikio kwa mwaka huo na mwaka 2017 alipata tuzo ya mwanaume bora katika uigizaji.
Mke wake
Malkochoglu amemuoa mrembo, Fahriye Evcen, wameoana tangu Juni 29, 2017 huko Istanbul lakini walivishana pete Desemba 24, 2016, wawili hao wameanza urafiki wa kimapenzi tangu mwaka 2014.
Mke wake Malkochoglu ni ana mchanganyiko wa Ujerumani na Uturuki lakini pia Fahriye Evcen ni kama mume wake, kwani naye ni muigizaji wa kike amecheza kwenye filamu ya Yaprak Dökümü lakini hadi sasa hawakujaaliwa kupata mtoto.
Malkochoglu ana zaidi ya wafuasi milioni 11 kwenye mtandao wake wa Instagram na zaidi ya watu milioni 1.3 wanamfuatilia kwenye ukurasa wake wa Twitta na watu zaidi ya 500,000 wanampenda kwenye mtandao wa Facebook.
Katika idadi ya watu maarufu matajiri nchini Uturuki kwa mwaka 2017, ni mmoja wao, alikuwa akishika namba nne akiwa na utajiri wa dola za Marekani milioni 3.
Malkochoglu anaingiza fedha zake kupitia filamu na tamthilia alizoigiza lakini pia anaingiza fedha nyingi kupitia fedha za wahisani.
Hadi wiki ijayo usikose kufuatilia tamthilia hii ya Sultan Suleiman. Maoni na ushauri 0755625042. Usibipu tafadhali.
The post SULTAN SULEIMAN MALKOCHOGLU NI MMOJA WA MATAJIRI WAKUBWA NCHINI UTURUKI appeared first on Gazeti la Dimba.
↧
↧
Three Tanzanians jailed 20 years for possessing ivory
The Serengeti district resident magistrate court has sentenced three people to 20 years jail each after being found guilty of possessing two pieces of ivory worth Sh33 million.
↧
Tandahimba yamgeuzia kibao Bwire, yaipapasa Ruvu Shooting
Ubovu wa uwanja wa Makonga, umetajwa kuwa sababu iliyowafanya Ruvu Shooting kufungwa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Tandahimba.
↧
Tshishimbi awainua Yanga
Katika mechi ya Kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Mkamba Rangers mpaka sasa dakika ya 70, Yanga wapo mbele kwa bao 1-0 lililofungwa na kiungo mkabaji Papy Kabamba 'Tshishimbi' dakika ya 82 pasi kutoka kwa Deus Kaseke.
↧
Inside the Jeremy Corbyn wreath row cemetery in Tunisia
The BBC's Rana Jawad has been to the cemetery in Tunis that Labour leader Jeremy Corbyn attended in 2014.
↧
↧
Bi. Zuwena Salum Said Amepewa Nafasi ya Kukaa Jumba la Treni Kwa Muda Wake Wote wa Maisha Yake Bila ya Kulipa Kodi.
↧
CRDB BANK YAWAPIGA MSASA WA MWISHO WAJASIRIAMALI WANAWAKE WAFUGA KUKU SIKU YA UFUNGAJI WA SEMINA YAO, YAAHIDI KUWAMWAGIA MIKOPO KEDEKEDE MKURANGA MKOANI PWANI
Meneja Mwandamizi Dawati la Akinamama wa CRDB Bank, Rehema Shambwe (kulia), akielezea sera za benki hiyo, kwa Wajasiriamali wanawake wafuga kuku wa Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, wakati wa siku ya ufungaji wa semina yao, ya siku mbili inayokuwa ikifanyika kwenye ukumbi wa Flex Gardern. Semina hiyo, imefungwa na Mbunge wa jimbo hilo, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalla Ulega. CRDB Bank imedhamini semina hiyo. Baadhi ya Wajasiriamali wanawake wafuga kuku wa Wilaya ya Mkuranga, wakimsikiliza Meneja Mwandamizi Dawati la Akinamama, Rehema Shambwe, alipokuwa akizungumza nao kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na benki hiyo, kwa wateja wake. Meneja wa CRDB Bank Tawi la Mbagala jijini Dar es Salaam, Midlaster Nsanzugwanko, akizungumza na Wajasiriamali wanawake wafuga kuku wa Wilaya ya Mkuranga katika siku ya mwisho ya semina hiyo, kuhusu kutoa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kufikia malengo yao, ya kuwa wafugaji wa kutegemewa na taifa.Mwakilishi wa Taasisi za US CEVA Animal Health na US Grains Ancil Tanzania, Dk. Peter Makang'a, akitoa elimu kuhusu ufugaji bora na vyakula gani na vyenye virutubisho gani vinafaa kwa ufugaji kuku. Pia aina za dawa zinazofaa kutumiwa kwa mifugo katika kuwafanya kutopata maradhi ya kuambukiza.Meneja Msaidizi wa Kampuni ya uuzaji wa vyakula na dawa za mifugo ya Farmers Centre, Muhsin Awadhi, akitoa maelezo ya dawa mbalimbali za mifugo kwa wanasemina, Wajasiriamali wanawake wafuga kuku wa Wilaya ya Mkuranga, waliofika kwenye banda lao katika siku ya ufungaji wa semina yao hiyo. Kampuni hiyo, ni moja wa wadhamini wa semina hiyo. Baadhi ya Wajasiriamali wanawake wafuga kuku wa Wilaya ya Mkuranga, wakiwa kwenye banda la CRDB Bank kupata huduma mbalimbali, zikiwemo za kujiunga na benki hiyo.Wanasemina Wajasiriamali wanawake wafuga kuku wa Wilaya ya Mkuranga, wakicheza kwa furaha wakati wakitoka kumpokea mgeni rasmi katika ufunguji wa semina yao, Mbunge wa jimbo hilo, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalla Ulega. Mgeni rasmi katika ufungaji wa semina hiyo, Mbunge wa Mkuranga, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalla Ulega, akipongezwa kwa kupeana mikono na wanasemina hao, Wajasiriamali wanawake wafuga kuku.Mgeni rasmi, Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalla Ulega, akizungumza na Wanasemina Wajasiriamali wanawake wafuga kuku, wakati akiifunga semina yao hiyo. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wilayani Mkuranga, Mariam Ulega, wa tatu ni Makamu Mwenyekiti wa Jikwaa, Christina Mrema na kushoto ni Mhazini wa Jukwaa, Shufaa Msangi. Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalla Ulega, akimkabidhi cheti cha kuthamini mchango wao, Meneja wa CRDB Bank Tawi la Mbagala, jijini Dar es Salaam, Midlaster Nsanzugwanko. Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalla Ulega (katikati), akimkabidhi cheti cha kuthamini mchango wake, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, Juma Abeid (kulia). Kushoto ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wilayani Mkuranga, Mariam Ulega. Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalla Ulega, akimkabidhi cheti cha kuthamini mchango wake Afisa Maendeleo ya Jamii, Mkuranga, Safina Msemo.Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalla Ulega, akimkabidhi cheti cha kuthamini mchango wao, Mwakilishi wa Benki ya NMB, Mkuranga, Halima Nkya. Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalla Ulega, akiwaeleza jambo, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wilayani Mkuranga, Mariam Ulega (katikati) na Makamu wake, Christina Mrema.
↧
Kikwete amjulia hali Dkt. Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangalla kitengo cha mifupa MOI anapopatiwa matibabu. Kulia ni Mke wa Waziri Dk Kigwangalla, Dkt. Bayoum Awadhi Kigwangalla.Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Andrew Chale ambaye ni Mwandishi wa Habari Maalum wa Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangalla. Kulia ni Dkt. Bayoum Awadhi Kigwangalla mke wa Waziri Dkt.Kigwangalla.Na Andrew Chale, DarRais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete jioni ya tarehe 14, Agosti 2018 amemtembelea na kumjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika wodi maalum kitengo cha Taasisi ya mifupa MOI, hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.Hii inakuwa ni mara ya pili kwa Kikwete kumtembelea Dk Kigwangalla ambapo awali alimtembelea Agosti 8, alipokuwa amelazwa Wodi ya Mwaisela akipatiwa Matibabu ya awali.Kikwete amemtakia kila lakheri katika kipindi hiki kwa kuuguza majeraha ya mkono na sehemu za mwili ikiwemo mbavu ambazo kwa sasa hali yake inaendelea kuimarika kwa majibu wa Madaktari wa kitengo hicho cha mifupa MOI.Awali tokea kufanyiwa operesheni ya mkono ameweza kufanya mazoezi taratibu ikiwemo kutembea mwenyewe katika viunga hivyo vya Muhimbili.Dkt. Kigwangalla alipata ajali ya gari mnamo Agosti 4, 2018 huko Manyara akiwa katika ziara ya kikazi ambapo katika ajali hiyo iliyokuwa na watu 6, watano walijeruhiwa na mmoja alifariki dunia ambaye alikuwa afisa habari mwandamizi wa Wizara hiyo, Hamza Temba.
↧
Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Yaadhimisha Miaka 20 Kwa Usafi wa Mazingira Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar.
Mkurugenzi Utawala na Uendeshaji Hospital ya Mnazi Mmoja Zanzibar Ndg. Abubakari Khamis Hamad, akizungumza na Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) katika viwanja vya Hospitali Kuu ua Mnazi mmoja wakati walipofika kwa ajili ya ufanyaji wa usafi wa mazingira katika maeneo ya hospitali hiyo.Ikiwa ni kuadhimisha miaka 20 ya kuazishwa kwake Zanzibar. Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Bi. Raya akiwa na Wafanyakazi wa ZSSF katika viwanja vya Hospitali ya Mnazi Mmoja kwa akili ya kuadhimisha miaka 20 ya kuazishwa kwa Mfuko huo kwa shughuli za usafi wa mazingira ya maeneo ya Hospitali hiyo. Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakiwa katika maeneo ya Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja wakifanya usafi wa mazingira katika maeneo hayo ya Hospitali wakiadhimisha miaka 20 ya ZSSF.
↧
↧
Opinion: Niger and Germany – a questionable friendship
In its efforts to staunch the flow of migrants from Africa, Germany sees Niger as a key partner. But it risks supporting a president who is becoming increasingly authoritarian, warns DW's Thomas Mösch.
↧
Cambodia: Hun Sen sweeps all in election result
All 125 seats in Cambodia's parliament were won by the ruling party of Prime Minister Hun Sen, according to official results just published. Rights groups say the vote was a sham after a crackdown on a rival party.
↧
Vodacom yajipanga kivingine
WAKATI Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na hata Bodi ya Ligi Kuu Bara iikitangaza msimu huu hakuna mdhamini mkuu wa Ligi Kuu, waliokuwa walidhamini Kampuni ya Vodacom wamefichua huenda ikarudi kuidhamini ligi hiyo kivingine.
↧
Beki wa Gor Mahia ndani, Uganda wakianika kikosi
Beki wa mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Kenya, klabu ya Gor Mahia, Godfrey Walusimbi ni miongoni mwa nyota 28 walioitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uganda, kitachoumana na Taifa Stars, katika mechi ya kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya Kombe la mabara Afrika (2019 AFCON), itakayopigwa Septemba 8, Jijini Kampala.
↧
↧
Simba watuma salamu kwa Mtibwa Sugar
Ushindi Wa mabao 2-1 walioupata timu mabigwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba dhidi ya Timu ya Arusha United wamesema kuwa inaakisi matokeo yao dhidi ya Mtibwa Sugar.
↧
Je ni kwa nini bei ya Saruji imepanda Tanzania?
Nchini Tanzania bei ya Saruji ama Cement imepanda ghafla kutokana na uhaba wa bidhaa hiyo katika masoko.
↧
NABY KEITA NA UKAMILISHO WA TORATI YA LIVERPOOL
April 28 mwaka 1990, ndiyo ulikuwa mwaka wa mwisho kwa Liverpool kubeba kombe la ligi kuu ya England.
Miaka 28 iliyopita, umri wa mtu mzima. Na kuna uwezekano kabisa asilimia kubwa ya mashabiki wa Liverpool wa sasa hawajawahi kushuhudia timu…The post NABY KEITA NA UKAMILISHO WA TORATI YA LIVERPOOL appeared first on Tanzania Sports.
↧