Quantcast
Channel: Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live

Conflict in Eastern DR Congo Makes Ebola Outbreak Extremely Dangerous

$
0
0
World Health Organization chief, Tedros Adhanom Ghebreyesus, says the raging conflict in North Kivu makes the Ebola outbreak in eastern Democratic Republic of Congo extremely challenging and presents dangers and difficulties not experienced since the historic 2014-2015 epidemic in West Africa. WHO Director-General Tedros returned Sunday from a visit to Beni and Mangina, the epicenters of the Ebola outbreak in eastern Democratic Republic of Congo.  He says he was worried before he went on this mission, but he is more worried now after having observed first-hand the dangers and difficulties posed by the active conflict in North Kivu. He says more than 100 armed groups operate in the region.  He says there have been 120 violent incidents this year involving killings, kidnappings, rapes and other atrocities. “That environment is really conducive for Ebola actually to transmit freely because in that area there are places called Red Zones, inaccessible areas because there are many armed groups that operate in that region ... And, these Red Zones could be hiding places for Ebola,” said Tedros. Tedros is calling on the warring parties for a cessation of hostilities, warning this extremely contagious virus is dangerous for everyone.  Despite the many concerns, he says WHO and partners are moving ahead aggressively with the operation to contain this deadly virus.   He says more than 216 health workers and 20 people from the community have been vaccinated against Ebola.  He says more vaccinators have been deployed from Guinea to speed this process along, and DRC authorities have given the greenlight for the use of several experimental Ebola drugs. Tedros says health workers have begun working on case identification and contact tracing, as well as community outreach and educational programs.  He says WHO is working with countries neighboring DRC, and is helping Uganda, Burundi, Rwanda and South Sudan strengthen their surveillance and screening programs to try to prevent the deadly Ebola virus from crossing their borders.      

Russia: Rights groups slam teenage trials

$
0
0
A young woman is on trial in Moscow for allegedly founding an extremist group - one of a number of teenagers Russian authorities are prosecuting. Human rights groups are concerned, reports Miodrag Soric from Moscow.

Maelezo ya jinsi ya kucheza mchezo wa Kabaddi

$
0
0
Sanjeevani kabaddi, ni mchezo ,maarufu wa kugusana kusini mwa bara Asia ambao kwanza ulianzia India na sasa umeanza kupata umaarufu nchini Kenya.

Duniani Leo August 15, 2018

Victor Moses: Chelsea's Nigeria winger announces international retirement at 27

$
0
0
Chelsea's Nigeria winger Victor Moses announces his retirement from international football at the age of 27.

Mashabiki wa Soka Kuanza Kuingia Uwanjani Nchini Misri

$
0
0
Waziri wa michezo wa Misri Ashraf Sobhy ametangaza kuruhusu mashabiki wa kandanda kuingia uwanjani katika michezo ya ligi ya nchini MisriRuksa hiyo ikiwa ni mara ya kwanza toka mwaka 2012.Mo Salah achunguzwa na polisi EnglandSergio Ramos amshutumu meneja wa LiverpoolMashabiki wa kandanda walifungiwa kuingia uwanjani toka mwezi Februari 2012 baada ya mashabiki 74 wa Al Aly kufarikiWapenda soka wataanza kuingia viwanjani kuanzia tarehe 1, ya mwezi ujao na Waziri huyo wa michezo amesema watazamaji hawatakiwi kuzidi 5000 katika kila mchezo.

Zidane, Pogba, Messi, Godin, Rose, Herrera, Cattermole, Odegaard, Grujic

$
0
0
Mkufunzi wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zidane anataka kurudi katika kazi yake ya ukufunzi na anajiandaa kumrithi Jose Mourinho katika klabu ya Manchester United msimu ujao. (L'Equipe - in French)Mkurugenzi wa Barcelona Ariedo Braida anasema klabu yake haiwezi kutoa ofa kwa Paul Pogba wa Manchester United msimu huu, lakini amemtaja mchezaji huyo Mfaransa mwenye miaka 25 kama mchezaji mzuri na atakuwa anamfuatilia Mfaransa huyo. (Mirror)

IGP Afanya Mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza na Mkoa wa Pwani .


IGP Simon Sirro Wawapongeza Wananchi Kwa Utulivu Wakati wa Uchaguzi Mdogo Mkoani Kilimanjaro.

$
0
0
Na Jeshi la Polisi.Jeshi la Polisi nchini limewahakikishia wananchi kuendelea kuwepo kwa hali ya usalama na Amani hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwepo kwa hali ya utulivu na usalama katika chaguzi ndogo.Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro wakati akiwa katika ziara katika Shule ya Polisi Moshi (CCP) ambapo aliweza kuzungumza na Wakufunzi na Askari waliopo mafunzoni Chuoni hapo ikiwa na lengo la kukagua mwenendo wa mafunzo yanayoendelea katika Vyuo vya Polisi nchini.IGP Sirro amesema katika maeneo yaliyofanya uchaguzi mdogo hali ilikuwa shwari licha ya kuwepo kwa matukio madogo ambayo yanaendelea kushungulikiwa na upelelezi utakapokamilika majalada yao yatapelekwa kwa Waendesha mashtaka kwa hatua zaidi.“Hali iliuwa shwari na ni wazi kuwa wananchi sasa wameelewa umuhimu wa kutii sheria bila ya  kushurutishwa na natoa rai waendelee kudumisha hali hiyo ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa za Wahalifu na uhalifu katika maeneo yao” Alisema Sirro.Katika hatua nyingine akiwa Shule ya Polisi Moshi zamani CCP  IGP Sirro alitoa pongezi zake kwa Walimu na Uongozi kwa kazi kubwa wanayofanya ya kuwapika Askari hususani katika mafunzo yao ya awali ambapo ametaka kila Askari kutambua wajibu wakeKwa upande wake Mkuu wa Shule ya Polisi Moshi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Mungi amesema Chuo hicho kinaendelea kutoa mafunzo kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha kuwa kila Askari anayetoka anakuwa na ukakamavu wa kutosha na nidhamu ya kuwahudumia Wananchi licha ya kuwepo kwa Changamoto za madeni ya maji na umeme.Alisema wanaendelea kuboresha miundombinu ya Chuo hicho kwa kutumia miradi iliyopo ili kukiweka katika hali ya usalama zaidi ikiwemo kujenga uzio imara kuzunguka maeneo hayo.

Govt, stakeholders in crisis meeting over cement prices

$
0
0
The government on Wednesday August 15 called an emergency meeting with stakeholders in Dar es Salaam to discuss issues surrounding the rise of cement prices in the country.

Mawaziri Waidhinisha Kuundwa Kwa Baraza la Taifa la Kiswahili Nchini Kenya

$
0
0
Baraza la Mawaziri nchini Kenya limeidhinisha kubuniwa kwa Baraza la Taifa la Kiswahili ambalo litatwikwa jukumu la kukuza na kuendeleza lugha hiyo nchini humo.Pendekezo hilo linafuata kipengee 137 cha Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambacho kinasema kwamba lugha ya Kiswahili itaimarishwa, kukuzwa na kutumika kama lugha ya Jumuiya hii.Baraza hilo litatumika kutoa ushauri, na vile vile kuimarisha maongozi ya serikali kuhusiana na kukuza, kulinda na kuunga mkono matumizi ya lugha ya Kiswahili na kushirikisha kazi ya mashirika ya kitaifa, kandaa hii, kitamaduni, mashirika ya elimu na mashirika mengine yanayohusika na lugha ya Kiswahili.Je unazifahamu nchi zinazotumia Kiswahili Afrika?Kamusi Kuu ya Kiswahili yazinduliwa TanzaniaWasomi wa Kiswahili na wadau wengine wamekuwa wakihimiza kuundwa kwa baraza hilo kwa muda mrefu.Prof Hezron Mogambi ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi anasema hatua hiyo ni ya kupongezwa sana."Tumekuwa tukiingoja kwa muda mrefu kwa sababu maendeleo na makuzi ya Kiswahili yamekuwa yakikwazwa kwa sababu ya kukosa baraza kama hili. Matumizi sawa ya Kiswahili yamepigwa jeki," amesema.Kutetea hadhi ya KiswahiliMiongoni mwa mwengine, anasema baraza hilo litasaidia sana katika kuhakikisha kuwa hadhi ya Kiswahili kama lugha rasmi na ya taifa nchini Kenya na kwamba lugha hiyo "inazingatiwa na kuheshimiwa.""Kwa sasa hakuna chombo cha kufanya hivyo. Kiswahili kimekuwa kikitumiwa nchini Kenya katika hafla na shughuli mbalimbali kwa njia isiyofaa. Hakuna wa kukosoa na kuelekeza. Matumizi sawa na upotoshaji utazuiwa kwa kuwa na chombo cha kufanya kazi hii," anasema.Maneno ya Kiswahili yaongezwa kamusi ya KiingerezaProf Mogambi anaeleza kuwa kutokana na kutukuwepo kwa baraza hilo, kumekuwa na vitabu vingi ambavyo vimechapishwa kiholela bila kufuata viwango bora vya lugha na vimekuwa changamoto kuu katika kuendeleza lugha ya Kiswahili."Hii ni pamoja na vitabu vya shule na vile vya kiada. Uchunguzi na urekebishaji wa maandishi kama haya pamoja na mengine yanaweza tu kurekebishwa na kuhakikishiwa ubora baraza la Kiswahili litakapokuwepo," anasema.Aidha, anasema baraza hilo litasaidia taaluma ya tafsiri na ukalimani kwa kuwa "kuna matini nyingi sana ikiwemo stakabadhi za serikali, za watu binafsi, mashirika ya ndani ya nchi na ya kimataifa ambazo zahitaji kutafsiriwa. Huduma kama hii itasaidiwa sana na kusawazishwa kimsamiati na barala la Kiswahili."Mhadhiri na msomi wa lugha ya Kiswahili Hezekiel Gikambi amesema: "Kuanzishwa kwa Baraza la Kiswahili Kenya hata kulikuwa kumechelewa. Tanzania wana Bakita kwa muda Mrefu. Ni hatua nzuri katika kusaidia Kiswahili kukita mizizi kama lugha rasmi nchini Kenya na pia kukidhi hitaji la Jumuiya ya EAC kifungu 137.""Tunatumai wabunge watagundua hilo wapitishe haraka na wataalamu wa Kiswahili wapate kazi katika Baraza hilo. Kitakuwa chombo rasmi cha kukuza Kiswahili nchini."Kwa muda mrefu, wasomi wa Kiswahili wamekuwa wakitegemea taasisi na vyama vya Kiswahili ambavyo si za serikali kukusanyika pamoja na kujadili masuala ya lugha.Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akionyesha Kamusi Kuu ya Kiswahili baada ya kuizindua kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 19, 2017.Miongoni mwa vyama hivyo ni Chama cha Kiswahili cha Taifa (Chakita) kilichoanzishwa mwaka 1998 na Prof Kimani Njogu.Kuna pia Chama Cha Waandishi wa Kiswahili wa Taifa Leo (WAKITA) ambacho huwaleta pamoja wadau wa gazeti la pekee la Kiswahili nchini humo Taifa Leo linalochapishwa na kampuni ya Nation Media group. (Wakita ya Kenya ni tofauti na Wafia Kiswahili Tanzania na Watetezi wa Kiswahili Tanzania)Baraza la TanzaniaTanzania imekuwa na Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania kwa kifupi (Bakita) ambacho ni chombo cha serikali chini ya wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo.Baraza hilo liliundwa na sheria ya bunge ya mwaka 1967 kwa lengo la kukuza, kuimarisha na kuendeleza Kiswahili hasa ndani ya Tanzania. Katika marekebisho ya sheria hiyo yaliyofanyika mwaka 1983 Bakita ilipewa uwezo wa kufuatilia na kusaidia ukuzaji wa Kiswahili katika nchi za nje pia.Mwaka 2015 Bakita ilifanikisha mradi wa kutunga kamusi mpya iliyoitwa Kamusi Kuu ya Kiswahili.Kamusi hiyo ilikusanya maneno mengi makuu, yaani vidahizo, kuliko kamusi zilizotangulia na kufikia mwaka jana ilikuwa ina maneno 45,500.

Historia Isiyofutika ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

$
0
0
Na Emmanuel J. ShilatuKama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhuru ama kama ambavyo Hayati Moringe anavyokumbukwa kwa mapambano ya ubadhirifu wa mali za umma, pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anazidi kujenga historia ya kipindi chote isiyofutika kutokana na utendaji, uchapakazi na uzalendo wake kwa Taifa. Haya hapa ni baadhi ya Mambo ya kihistoria na yenye heshima kubwa kwa Taifa ambayo Rais Dkt. Magufuli aliyoyafanya;- *(i) Kuhamia Dodoma*Wazo la Serikali kuhamia kwenye makao makuu ya nchi mkoani Dodoma liliasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere mwaka 1973 lakini lilishindwa kutekelezwa katika awamu zote. Si awamu ya kwanza, wala ya pili, ama ya Tatu au ya nne bali limeweza kufanikiwa kwenye utawala wa Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Magufuli. Leo hii karibia Serikali yote imehamia Dodoma.Wizara, taasisi na idara za Serikali, Waziri Mkuu wameshahamia Dodoma. Mwishoni mwa mwaka huu Rais Magufuli naye atahamia Dodoma.Iliasisiwa na Mwalimu Nyerere, ikahaidiwa kwenye ilani ya uchaguzi, imekuja kutekelezwa vyema na Rais Magufuli. Hii ni historia isiyofutika ya uthubutu, uzalendo alionao Rais Magufuli. *(ii) Ujenzi wa Miundombinu*Hili halina ubishi kwa asilimia kubwa kabisa miundombinu ya nchi hii imejengwa chini ya usimamizi wa Dkt. Magufuli toka alipokuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Waziri wa Ujenzi na sasa Rais wa nchi.Hauwezi ukazungumzia uwepo wa mitandao ya barabara nchi nzima pasipo kumtaja Rais Magufuli; hauwezi kuzungumzia uwepo wa madaraja makubwa ya kisasa kama ya Daraja la Nyerere, Daraja la Mkapa pasipo kumtambua mchango wa Rais Magufuli. Leo hii nchini tunajivunia uwepo wa flyovers.Rais Magufuli ameonyesha uwezo na heshima kubwa ya ujenzi wa Miundombinu nchini ambayo imekuwa msaada mkubwa wa kimawasiliano, usafirishaji wa Watu na mizigo, kukuza utalii, kuimarisha shughuli za kibiashara na kuongeza mapato ya nchi. *(iii) Kulifufua Shirika la Ndege*Tangu mwaka 1977 nchi yetu ilikuwa na shirika la ndege linalosua sua na linalojiendesha kihasara kubwa. Mara baada ya Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Magufuli imefanikiwa kununua ndege mpya 7 na mpaka sasa zimeshawasili ndege mpya 4 ikiwamo ndege kubwa aina ya Boeing 787-8.Wale baadhi wanaosema ndege si kipaumbele wala muhimu kwa Watanzania inabidi watambue Leo hii makusanyo ya mapato ndani ya Shirika la ndege (ATCL) yametoka Tsh. Milioni 700 mpaka kufikia Tsh. Bilioni 4.5. Hii ndio faida ambayo Watanzania tumeipata ya kuwa na kiongozi mwenye maono na mtazamo wa mbali zaidi, Rais Magufuli. *(iv) Ujenzi wa Stiegler’s Gorge*Utawala wa awamu ya kwanza uliokuwa ukiongozwa na Mwalimu Nyerere ulikuja na wazo wa kujenga Stiegler’s Gorge mnamo mwaka 1981 lakini umeshindwa kufanyika mpaka awamu hii ya 5 inayoongozwa na Rais Magufuli umeamua kufufua na kuliendeleza wazo hili.Mradi wa Stiegler’s Gorge kupitia Mto Rufiji utafanikiwa kuzalisha Megawattz 2100 utakapo kamilika. Ukamilifu wa mradi huu utajenga uhakika wa umeme nchini, utashusha bei ya umeme nchini na pia utamjengea Rais Magufuli heshima kubwa isiyofutika. *(v) Mapambano dhidi ya Rushwa na ufisadi nchini.*Rais Magufuli ameingia kwenye historia ya kiongozi ambaye Serikali anayoiongoza kuwa na mapambano ya dhahiri ya rushwa na ufisadi nchini. Tumeshuhudia Mafisadi Papa ambao walikuwa hawashikiki wala kukamatika wakipandishwa Mahakamani.Katika miaka ya nyuma ilikuwa suala gumu sana kwa Watuhumiwa “Mapapa” kuguswa tu, achilia mbali kupandishwa Mahakamani. Haya ni mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais Magufuli ya vita dhidi ya rushwa na ufisadi nchini.Leo hii Tanzania imepanda kwa nafasi 13 katika mwaka 2016 na 2017 na pia ikishika nafasi ya pili (2) kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. *(vi) Uwazi wa taarifa na udhibiti wa rasilimali za nchi* Tumeshuhudia Serikali ikiweka uwazi kwenye mikataba na uchunguzi wa rasilimali za Taifa na kuweka makubaliano mapya yenye tija Mathalani tumeona uwazi wa sekta ya madini ya dhahabu, almas na Tanzanite ambapo Taifa tumeona namna ambavyo tulivyokuwa tukiibiwa na Serikali kuweka mikakati mipya ya kutokuibiwa tena. Kama haitoshi tumeshuhudia wawekezaji wakibanwa vilivyo juu ya mikataba isiyokuwa na tija kwa Taifa.Ni Serikali ya Rais Magufuli iliweka uthubutu wa kuwabana wawekezaji wa madini wa ACACIA iliyozaa matunda kwa Serikali ya Tanzania kumiliki asilimia 16 ya hisa katika makampuni ya uchimbaji wa madini, Serikali kupata gawio la faida ya madini ya asilimia 50 kwa 50. Yote haya yamewezekana kwa sababu ya uzalendo wake Rais Dk. Magufuli *(vii) Ujenzi wa Bomba la Mafuta*Serikali ya Rais Magufuli imefanikisha vilivyo kushirikiana na nchi ya Uganda kujenga Bomba la Mafuta linalotoka nchini Uganda mpaka Tanga nchini Tanzania.Ujenzi huo wa bomba la mafuta utazalisha ajira nchini na utaongeza pato la Taifa. Hayo yote yamefanikiwa kutokana na Serikali ya Rais Magufuli kuzidi kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyinginezo. *Itaendelea …..* *Shilatu E.J*0767488622

UEFA: Bao la Mchezaji Cristiano Ronaldo Kushindania Tuzo ya Bao Bora la Msimu Ulaya

$
0
0
Bao lililofungwa na mchezaji wa sasa wa Juventus ya Italia Cristiano Ronaldo limeteuliwa kushindania tuzo ya bao bora la msimu uliopita Ulaya.Ronaldo alifunga bao hilo la kushangaza la 'bicycle-kick' na kuwasaidia Real Madrid kuwalaza Juventus 3-0 katika mechi ya mkondo wa kwanza ya robofainali katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.Alikuwa pia amefunga bao la kwanza kwenye mechi hiyo na kwa mabao yote mawili aliandika historia.Ronaldo alivyofunga bao la kushangaza dhidi ya JuventusSababu ya Ronaldo kuorodheshwa wa 49 dunianiCristiano Ronaldo aweka rekodi InstagramSergio Ramos amshutumu meneja wa LiverpoolGoli la Pavard ndilo bora zaidi Kombe la Dunia 2018Kwanza, alifikia krosi ya Isco na kufunga bao la Real la kwanza dakika ya 3 ambapo aliweka historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao katika mechi 10 mtawalia Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.Ronaldo alifungaje bao lake?Dani Carvajal alituma krosi eneo la hatari na Ronaldo akapaa juu angani na kutoa kiki kali ambayo ilimwacha kipa stadi wa Juve Gianluigi Buffon akiwa ameduwaa dakika ya 64.Bao hilo lilikuwa la ustadi mkubwa kiasi kwamba mashabiki wa Juventus ya Italia, ambao bila shaka walivunjiwa matumaini ya kufika nusufainali na bao hilo, walisimama na kumshangilia Ronaldo.Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane alivyolipokea bao hilo la pili la Ronaldo ilitosha kufahamu ustadi uliotumiwa.Alitingisha kichwa chake na kuonekana kupigwa na butwaa usoni, alipindua kichwa upande na kisha kuonekana kulikubali.Katika maisha yake ya uchezaji alifunga mabao mengi ya kushangaza akiwa Turin mwenyewe, lakini alichokiona kutoka kwa Cristiano Ronaldo kilikuwa cha kipekee.Ronaldo, 33, alikuwa ameruka juu kana kwamba ni kawaida yake tu na kuutuma mpira kimiani.Wasanii na wachezaji matajiri zaidi duniani watajwaBaada ya mpira kutulia kwenye wavu, mashabiki wa Juve walimfuata Zidane na kusimama kumshangilia Ronaldo.Winga wa zamani wa Scotland ambaye alikuwa akitangazia BBC Radio 5 live alishangazwa pia na Ronaldo."Unapoona mpira unaelekea kwake, unafikiria 'Oh, hautajaribu kuupiga mpira huyo kwa kuupitisha juu cha kichwa chako.' Kisha, pa! Unajionea mwenyewe, unatazama.""Si jambo la kawaida. Watu wanazungumzia jinsi Ronaldo anazeeka sasa - lakini hakuna kasoro yoyote kwenye mwili wake iwapo anaweza kufanya jambo kama hilo. Alipima vyema kabisa, na ubunifu wa kufanya hivyo ni wa kushangaza."Wengine wanaoshindania tuzoKwa jumla, kuna mabao 11 ambayo yanashindania tuzo hiyo, ambapo kuna pia bao alilolifunga Mwingereza Lucy Bronze wa timu ya kinadada ya Lyon ya Ufaransa dhidi ya kina dada wa Manchester City.Mabao yanayoshindania tuzo hiyo yalifungwa katika kipindi cha miezi 12 iliyopita na yanashirikisha michuano yote ambayo huratibiwa na Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa).Mchezaji mwingine wa Uingereza Elliot Embleton ameteuliwa kutokana na bao lake alilolifunga hatua ya makundi michuano ya ubingwa wa wachezaji wa chini ya miaka 19 didi ya Uturuki.Ronaldo Jr atakuwa stadi wa kandanda kama babake?Chelsea wavunja rekodi na kumnunua kipa Kepa'Sergio Ramos ana bahati hatutakutana uwanjani'Goli la Pavard ndilo bora zaidi Kombe la Dunia 2018Bao la kiungo wa Tottenham Christian Eriksen wakati wa mechi ya muondoano wa kufuzu kwa Kombe la Dunia baada ya hatua ya makundi dhidi ya Jamhuri ya Ireland pia limeorodheshwa kushindania tuzo hiyo.Lucy Bronze akifunga dhidi ya kina dada wa Manchester CityBao la Ronaldo limeteuliwa badala ya bao karibu sawa na lake alilolifunga mshambuliaji wa Real Madrid nyota wa Wales Gareth Bale wakati wa ushindi wao Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Liverpool.Orodha kamili ya mabao yanayoshindania tuzoLucy Bronze (LYON 1-0 Manchester City)Nusufainali Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya ya Wanawake 29/04/18Olga Carmona (Uswizi 0-2 UHISPANIA)Hatua ya makundi ubingwa wa wachezaji wa chini ya miaka 19 ligi ya wanawake 21/07/18Elisandro (Sporting CP 2-5 INTER FS)Fainali ya Kombe la Futsal Cup, 22/04/18Elliot Embleton (Uturuki 2-3 ENGLAND)Ubingwa wa wachezaji wa chini ya miaka 19 ligi ya wanaume, 17/07/18Christian Eriksen (Jamhuri ya Ireland 1-5 DENMARK)Mechi za muondoano Ulaya za kufuzu kwa Kombe la Dunia baada ya hatua ya makundi, 14/11/17Paulo Estrela (PORTO 5 -1 Beşiktaş)Ligi ya Vijana hatua ya makundi, 13/09/17Eva Navarro (Ujerumani 0-2 SPAIN)Ubingwa wa wachezaji wa chini ya miaka 17 ligi ya wanawake, 21/05/18Dimitri Payet (MARSEILLE 5-2 Leipzig)Robo fainali Europa League, 12/04/18Gonçalo Ramos (Slovenia 0-4 URENO)Ubingwa wa wachezaji wa chini ya miaka 17 ligi ya wanawake hatua ya makundi, 07/05/18Ricardinho (URENO 4-1 Romania)Mechi za Futsal EURO hatua ya makundi, 31/01/18Cristiano Ronaldo (Juventus 0-3 REAL MADRID)Robofainali Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya, 03/04/18

US Ambassador to Zimbabwe: Sanctions Removal Linked to Genuine Reforms

$
0
0
U.S. Ambassador to Zimbabwe Brian Nichols has said the southern African country must embark on genuine reforms if it wants Washington to remove sanctions against some of the country's top officials. The ambassador spoke Wednesday after meeting with Zimbabwe President Emmerson Mnangagwa at the State House in Harare. The approximately hour-long meeting took place a week after U.S. President Donald Trump signed the Zimbabwe Democracy and Economic Recovery Amendment Act of 2018, also known as ZIDERA. The act renewed sanctions the U.S. imposed on Zimbabwean individuals and companies starting in 2002, following accusations of human rights abuses and election rigging against then-president Robert Mugabe.  Current President Mnangagwa is among those targeted by the travel bans and financial restrictions. When Mnangagwa came into power last November, he promised to normalize relations with the U.S. and with European countries that also imposed sanctions. Nichols said Wednesday that the U.S. likes the reforms introduced since Mugabe's ouster last November, but is troubled by the post-election violence seen August 1, when troops opened fire on demonstrators protesting a delay in presidential election results. "President Mnangagwa's commitment to a transparent investigation of those events is very, very important for my government," Nichols said. "The violence of August 1st, the death of six people in the streets here, intimidation of the opposition polling agents, violence in the areas around Harare, have all been issues of concern." Mnangagwa eventually was declared the winner of the July 30 poll, but the opposition has filed a legal challenge in the Constitutional Court, saying the results are false and that opposition leader Nelson Chamisa was the actual victor. Nichols said Wednesday he hopes the court will be impartial in its handling of the case. Mnangagwa described the Wednesday meeting with Nichols as "very, very positive." "[Nichols] must have a correct appreciation of the environment in the country," Mnangagwa said. "We were able to share his views and my views on the current situation in the country. And we are moving forward as a country and we want our people to be peaceful. Only when the country is peaceful and stable can development thrive, not when you are throwing stones at each other." When asked to comment on ZIDERA, the 75-year-old president laughed off the question before departing in a waiting car. The Constitutional Court has about two weeks to rule on the opposition's electoral petition. 

Kenyatta's War on Corruption: Lasting Legacy or Political Theater?

$
0
0
Two top-ranking officials in Kenya were charged with corruption this week in a $3 billion Chinese-built railway project, as part of President Uhuru Kenyatta's efforts to show no official is out of reach in the war on graft. However, some analysts question if the charges will lead to convictions or if they are simply political theater. Kenya Railways' managing director Atanas Maina and Lands Commission chairman Muhammad Swazuri are accused of overseeing $2 million in fraudulent compensation payments. More than a dozen other Kenyan officials and business people are also facing charges related to the illegal buying and selling of the state corporation's land. While the accused deny the charges, the arrests were hailed in Kenya as a rare crackdown on top-level corruption. However, political analyst Linda Oloo says the prosecutions are less about systemic change and more about Kenyatta. "Uhuru [Kenyatta] is more concerned about his legacy [and] how will history judge him after his presidency, so that is why he is trying to play the good-man syndrome right now, by doing things that will appeal to the general public. What he is doing is mostly for his image after office," Oloo said. In June, Kenyatta announced that all public servants would undergo a compulsory "lifestyle audit" to account for the sources of their income and assets. Some argue it's not all political theater. Kenyatta and Swiss President Alain Berset signed an agreement aimed at helping Kenya recover corrupt assets stashed by Kenyan officials in Swiss banks. In addition, Kenyatta's director of public prosecutions has arrested top officials at Kenya's National Youth Service, electric power provider, and more than a dozen firms accused of benefiting from illegal tenders and misappropriated funds. And Kenyatta on Sunday declared his determination to win the war on graft, even if he has to go after his close associates. "Over the last few weeks, I have lost many friends," Kenyatta said. "Many have called me asking, 'How can you be watching when all the destruction is going on?' I say a time has come to fight impunity." Opposition leader Raila Odinga last year accused the president of diverting the railway to benefit the Kenyatta family. Odinga ceased his criticism in April after making a deal with Kenyatta to work together. In June, a Kenyan lawmaker linked Kenyatta's younger brother, Muhoho, to the importation of contraband sugar. In response, President Kenyatta said that if there is evidence, then his brother should be investigated and prosecuted. But going after a sitting president's family is unlikely in Kenya, and the National Land Accord Movement's David Kimanzi doubts top officials will be among those punished. "There has not been a single conviction of a person who has looted the public coffers. Every person now is looking for how it is going to be their turn to eat," Kimanzi said. Despite this week's high-level arrests, there are still officials who are untouchable, according to Kimanzi. If you touch them, he says, you touch the very core of the government.

Masau Bwire avuna umaarufu vijijini Mtwara

$
0
0
 KUANZIA halmashauri ya Newala mjini yenye kata  16 hadi vijijini katika tarafa za Mchemo, Mkwedu, Chilangala, Kitangali mkoani Mtwara jina la msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire limetawala midomoni mwa watu.

TFF na timu za Ligi Kuu bara msife moyo

$
0
0
Ni habari ambazo haziwezi kuwa nzuri kusikika kwa wapenzi wa mpira wa miguu pamoja na timu shiriki katika ligi kuu ya Tanzania bara kwamba ligi yetu bado haijapata mdhamini mkuu mpaka sasa. Hili linakuja huku zikiwa zimebaki siku kadhaa kabla ya kipenga cha kwanza katika msimu wa 2018/19 kupulizwa baada ya waliokuwa wadhamini wakuu, Kampuni ya

Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Azungumza na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar.

$
0
0
BALOZI Mdogo wa Oman anayefanya kazi zake Zanzibar Dk. Ahmad Hamood Al Habsy (Kulia), akizungumza na wanafunzi wanaosomea fani ya Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa, wakati walipofanya ziara kwenye ofisi za ubalozi huo zilizopo Migombani mjini Zanzibar.BALOZI Mdogo wa Oman anayefanya kazi zake Zanzibar Dk. Ahmad Hamood Al Habsy (Kulia), akizungumza na wanafunzi wanaosomea fani ya Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa, wakati walipofanya ziara kwenye ofisi za ubalozi huo zilizopo Migombani mjini Zanzibar.DK. Ahmed Hamood Al Habsy, Balozi Mdogo wa Oman visiwani Zanzigar (Kulia) na Mhadhiri wa somo la Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa katika Chuo Kikuu Zanzibar kilichoko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja, Mohammed Yussuf.WANAFUNZI, wahadhiri na baadhi ya maofisa wa Ubalozi Mdogo wa Oman mjini Zanzibar, wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mdogo Dk. Ahmad Hamood Al Habsy nje ya jengo la ubalozi huo Migombani, Zanzibar baada ya ziara ya wanafunzi hao iliyolenga kubadilishana mawazo na kujifunza shughuli za Kidiplomasia na Mahusiano ya Kimataifa. (Picha na Haroub Hussein )Na Salum Vuai,.JUKUMU la mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika mataifa ya nje, ni kuwaunganisha wananchi na sio kuwa karibu na serikali na viongozi pekee.Kauli hiyo imetolewa na Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Dk. Ahmad Hamood Al Habsy, alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu wanaosomea diplomasia na uhusiano wa kimataifa walipomtembelea ofisini kwake Migombani mjini Unguja.Balozi huyo alieleza kuwa, kwa kutambua hilo, amefungua milango ya ofisi yake kutoa fursa kwa wananchi mbalimbali wa Zanzibar pamoja na viongozi, kwenda kujifunza masuala muhimu kwa lengo la kuimarisha mahusiano ya kihistoria kati ya nchi yao na Oman.Alisema, baadhi ya watu wanadhani kwamba kufanya kazi katika ofisi za kibalozi kuna mipaka inayowatenganisha mabalozi na wananchi wa kawaida, jambo alilosema sio sahihi.Dk. Al Habsy alisema licha ya mabalozi kuwajibika kiserikali katika mataifa wanayopelekwa kufanya kazi, pia wanapaswa kuwa karibu na wananchi wa nchi za nje wanazokuweko, wakitambua kuwa nayo ni sehemu ya majukumu yao.“Kwa kuwa balozi huwa anapeperusha bendera ya nchi yake ugenini, anapaswa kujua kwamba wenyeji wake sio serikali na viongozi pekee, bali wananchi wana haki ya kuwa miongoni mwa wahudumiwa wake kwa mambo mbalimbali,” alieleza.Balozi huyo alieleza kufurahishwa kwake na ziara ya wanafunzi hao iliyolenga kubadilishana mawazo pamoja na kujifunza juu ya shughuli za kidiplomasia, akiwataka pia kujibidiisha katika kusoma lugha mbalimbali za kimataifa ikiwemo Kiarabu.Alisema kutokana na uhusiano wake na Oman uliodumu kwa zaidi ya karne mbili sasa, Wazanzibari hawana sababu ya kutokujua lugha ya Kiarabu ambayo pia ndiyo msingi wa dini ya Kiislamu inayofuatwa na asilimia kubwa ya wananchi.Kwa upande mwengine, alisema mahusiano ya Zanzibar na Oman sio ya kirafiki ambao unaweza kufa, bali ni ya udugu wa damu utakaobaki milele hadi mwisho wa dunia.“Oman inasaidia nchi nyingi lakini kwa Zanzibar  ina msaada wa kipekee kwani watu wa nchi hizi ni ndugu wa damu na hilo haifutiki. Ziara kati ya nchi zetu zimeongezeka sana, hata nafasi za ndege kati ya Muscat na Zanzibar au Tanzania, zinakuwa shida kutokana na wingi wa wasafiri,” alifafanua Dk. Al Habsy.Kwa hivyo, alisema ofisi yake itahakikisha inatanua fursa mbalimbali za kuisaidia Zanzibar hasa katika uwanja wa elimu, ili kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kijamii kwa manufaa ya watu wa pande mbili hizo. Mapema, Mhadhiri wa somo la diplomasia na mahusiano ya kimataifa katika Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu Mohammed Yussuf, akitoa shukurani kwa ubalozi huo alisema, ziara hiyo imewafunza mengi yenye tija.Aidha alisema ziara kama hizo katika ofisi za kibalozi, ni sehemu ya mafunzo yanayoweza kuwaongezea maarifa wanafunzi wa fani hiyo ambao ndio mabalozi wa miaka ijayo.“Namna wewe Mhe. Balozi unavyofanya kazi ya kuwaunganisha wananchi wa Oman na Zanzibar, ni darsa tosha kwetu na hasa wanafunzi hawa, kujua nidhamu inayohitajika kwenye kazi hii ya kidiplomasia,” alisema Mhadhiri huyo.Kwa upande wao, wanafunzi hao walieleza kufarijika kwa mapokezi waliyopata, na kusema wana matumaini makubwa ziara hiyo itafungua milango zaidi ya ushirikiano kati yao na ubalozi huo.Aidha walimuomba balozi huyo mambo mbalimbali, ikiwemo kuangalia uwezekano wa kuwatafutia Chuo Kikuu chochote nchini Oman kitakachokuwa tayari kuanzisha urafiki na chuo chao, na hatimaye kujenga utamaduni wa kutembeleana kwa lengo la kujifunza.Halikadhalika, walishauri kusaidiwa njia za kujiendeleza katika lugha ya Kiarabu ambayo pia wanafundishwa katika chuo chao, kuwaandaa kumudu kazi ya kidiplomasia.Balozi mdogo Dk. Al Habsy, aliahidi kuangalia namna ya kuyatafutia majibu maombi yao, huku akiutaka uongozi wa chuo hicho kuyawasilisha rasmi kwa barua ili yafanyiwe kazi kadri itakavyowezekana.

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Yakabidhi Msaada wa Vitanda na Vifaa Vya Usafi Kwa Hospitali ya Mnazi Mmoja Kuadhimisha Miaka 20 ya Mfuko Huo Tangu kuazishwa Kwake Zanzibar.

$
0
0
MKURUGENZI Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (zssf) Bi. Sabra Issa Machano kulia akimkabidhi msaada wa Vifaa vya Usafi Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Harusi Said Suleima (katikati) na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bi. Halima Maulid, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Hospitali ya Wazazi Mnazi mmoja Zanzibar, ikiwa na sherehe za kutimia miaka 20 ya ZSSFMKURUGENZI Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhui ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Bi. Sabra Issa Machano (kulia) akimkabidhi mashuka Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar Mhe. Harusi Said Suleiman , ZSSF imekabidhi vitanda 13 na mashuka yake na vifaa vya usafi kwa hospitali hiyo ikiwa ni maadhimisho ya miaka 20 ya kuazishwa kwa mfuko huo, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Hospitali hiyo Mnazi Mmoja Zanzibar 

Mfumo wa malipo bila pesa walaumiwa Marekani

$
0
0
Mwanachama wa Baraza la Jiji la Washington, DC, David Grosso, ana amini kwamba mfumo wa malipo bila pesa taslimu, unabagua idadi kubwa ya wakaazi wa jiji ambao mfumo wao pekee wa malipo ni kwa kutumia pesa taslimu.
Viewing all 132783 articles
Browse latest View live
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>