Britons set to protest against Johnson's Brexit move
London. Demonstrations are expected across Britain on Saturday against Prime Minister Boris Johnson's move to suspend parliament in the final weeks before Brexit.
View ArticleKesi Ya Vigogo CHADEMA Yapigwa Kalenda
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kutokana na wakili wa...
View ArticleNitasikitika sana kufa na kumbukumbu nyingi sandukuni
Sina maelezo kwa nini nilianza tabia ya kukusanya picha na hadithi za wanamuziki toka nikiwa na umri mdogo, nilijikuta tu nikihakikisha nakusanya picha za magazetini na picha kamili kwa miaka mingi.
View ArticleMiss tz 2006, walikula maharage ya wapi?
Pope John Paul (RIP). Vijana wa dunia yake aliwaita “Kizazi cha CCN”. Kafariki miaka 14 iliyopita (Aprili, 2005) akiwa na miaka 84, JK akiwa kwenye fainali ya kuingia Ikulu ya Magogoni. Si vibaya...
View ArticleHEKAYA ZA MLEVI: Bingwa wa macho hatibu sikio
Mbwa ana mambo ya ajabu kidogo. Kwanza inasemekana anaona rangi mbili tu, nyeusi na nyeupe. Panapo kiza yeye huona vitu vyote kuwa vyeupe, na kwenye mwanga huviona kwa rangi nyeusi. Ajabu yake ya pili...
View ArticleMwanaume asulubiwa kama Yesu baada ya kuunga mkono chama tawala
Polisi nchini Uganda inachunguza kisa cha mwanamume mmoja aliyeshambuliwa kisha kupigiliwa mismari katika msalaba.
View ArticleMaajabu Mabingwa Ulaya
HABARI ndiyo hiyo. Kila mtu ashajua anacheza na nani kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya droo ya makundi kupangwa huko Monaco, Ufaransa juzi Alhamisi.
View ArticleNamba 7 ina gundu Man U
MANCHESTER United hatimaye imefanikiwa kumwondoa kwa muda kwenye kikosi chake supastaa Alexis Sanchez.
View ArticleMechi za kibabe Ligi Kuu England
KESHO Jumapili ni Arsenal na Tottenham Hotspur kwenye Ligi Kuu England. Bonge la mechi linalohusu mahasimu wawili wa huko London ya Kaskazini. Arsenal na Spurs zinapokutana, basi panachimbika.
View ArticleZambian opposition leader denies defaming president
A leader of Zambia's opposition denied defamation charges in court on Friday after being arrested for a video in which he allegedly refers to President Edgar Lungu as a dog.
View ArticleIndia citizenship lists: Nearly 2 million face statelessness
An effort by the state of Assam to tackle illegal immigration dating back five decades has identified 1.9 million people who are ineligible for Indian citizenship. Critics say the list discriminates...
View ArticlePacha wa Kagera watenganishwa kwa Sh bilioni 1.1
AVELINE KITOMARY-DAR ES SALAAM PACHA waliougana Anisia na Melnes Bernard, wamewasili jana katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakitokea nchini Saudi Arabia baada ya...
View ArticleAussems aibua jambo Simba
THERESIA GASPER-DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amefurahi na kusema wachezaji wake walicheza kama watoto, licha ya ushindi wa mabao 3-1 ilioupata timu yake dhidi ya JKT Tanzania...
View ArticleYanga kupanga mauaji ya Zesco Mwanza
MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM KIKOSI cha Yanga, kinatarajia kwenda Mwanza, Septemba 4 mwaka huu, kwa ajili ya kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wao wa raundi ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi...
View ArticleMo Dewij awaomba msamaha Mashabiki wa Simba
Muwekezaji wa simba SC Mohamed Dewij amefunguka na kuonyesha jinsi alivyoumizwa na matokeo mabaya ya timu ya Simba dhidi ya wapinzani wao kutoka Msumbiji UD Songo katika michuano ya klabu bingwa...
View ArticleFitina kali inayomzunguka Ousmane Dembele
NILIKWENDA Barcelona Mei mwaka huu. Niliwahi kuandika hapa nikakuta mashabiki wa Barcelona hawampendi Philippe Coutinho lakini wanampenda staa mwingine wa timu hiyo, Ousmane Dembele. Wote hawa walikuwa...
View ArticleCasillas aipinga tuzo ya Lionel Messi, amtaja Iniesta
Katika toleo lililopita mwandishi Luca Caioli alizungumzia tukio la Messi kutwaa tuzo ya kwanza ya Ballon d’Or lilivyokuwa na kugusia kidogo madai kwamba tuzo hiyo ilitakiwa kwenda kwa staa mwenzake wa...
View ArticleAt U.S.-Mexico Border, Africans Join Diversifying Migrant Community
VOA's Ramon Taylor contributed to this report.SAN ANTONIO, TEXAS — It took Julia and her two daughters five years to get from Kassai, in the Democratic Republic of Congo, to a cot on the floor of a...
View ArticleAussems acharuka Simba
NA WINFRIDA MTOI LICHA ya kuanza Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, bado anaumiza kichwa juu ya kikosi chake. Simba iliibuka na...
View ArticleMAJALIWA AKUTANA NA KAMISHINA WA UNHCR
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamishina Mkuu wa UNHCR, Filippo Grand kabla ya mazungumzo yao kwenye kituo cha maonyesho cha Pacifiko Yokohama nchini Japan, Agosti30, 2019. Mheshimiwa...
View Article